Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mpe mbususu tu.Weka namba nikutumie hata lunch umenifurahisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe mbususu tu.Weka namba nikutumie hata lunch umenifurahisha
Eti bhana,sijui hawana pa kwenda?All in all kuna wanaume hawana misimamo... Kama ulishatapika/tapikwa yanini kutaka kuyalamba matapishi?
anajifanya haelewiUnarudia yale yale yaani kama kweli pesa ndio kila kitu kwa Mwanamke kama mawazo yenu yalivyo why anaondoka nimeuliza hilo usiruke swali.
unataka kusema siwez pata kwengine hvyo ni kwake tu. akitoa ada ni jukumu lake sio msaada kwangu bro.Ni vile hajaamua tu, akilipa ada na vizawadi kidogo anaupiga mwingi. Waga mnaeleweka basi!
Mali za mwanaume unazitakia nini ?? Pambana upate zako wanawake acheni tamaa kwa mali za wanaume zenu. Mtu kumpikia na kumpa mbususu nd unasema mmetafta wote. Acheni tamaa tafteni za kwenuTatizo ni yeye, makubaliano ni kusaidiana kulea watoto, kwenye mali hapo usinitie uchungu. Tuliachana mdogo ana mwaka mmoja mkubwa mi3
Elezea sababu za upumbavu wangu mkuu may be unaweza nielimisha na mm nikuelemishe. Pia Punguza jazba unapomjibu mtu usiyemfahamuWe ni mwanamke mpumbavu sasa usiinhie kwenye mahusiano kama hutaki mapenzi ni bora uwe msagaji
Huyo mwanaume yuko sahii
Nimeandika nikafuta....nimeandika nikafutaa....Habari zenu wanajukwaa,
Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa.
Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana watoto wengine. Mwaka jana alipiga kimya kwenye ada na matumizi ya watoto wake nikahustle mwenyewe hadi mwaka ukaisha.
Mwaka huu alinicheck kuwa anataka kuwaona wanae nikamwambia ruksa waone. Akaniuliza kuhusu ada nkampa mkeka, akadai hayuko vizuri. Nikamwambia nitamsaidia kukopa ila atakapolipa alipe na riba yake akakubali.
Nikapewa Tshs. 50,000 ya kununua vifaa sikulalamika, nikasema hayupo vizuri kwa sasa. Nashangaa anaanza kusema kamiss misosi yangu nkamwambia siwezi mpikia tena, akasema amemiss mbususu na show kali nkamwambia tushaachana haitakuja kutokea.
Nyie watu; imefika muda wa kulipa (technically nilikadiria sababu ada nishalipa baada ya kusota mwaka jana sikutaka ijirudie nkajipanga). Napiga simu haipokelewi wala message sijibiwi tena.
Kisa nimekataa kutoa show mtu kagoma kuhudumia wanae?? he he.
Nawasihi single mothers wenzangu usikubali kutumika kwa majukumu ya mtu. Kama anafanya afanye hataki pambana.
Nawapenda
nimesema sitak kuiongelea, ss mbona umejipa majibu tayari, wabongo jaman aiseeMali za mwanaume unazitakia nini ?? Pambana upate zako wanawake acheni tamaa kwa mali za wanaume zenu. Mtu kumpikia na kumpa mbususu nd unasema mmetafta wote. Acheni tamaa tafteni za kwenu
Kwanini MkuuNimeandika nikafuta....nimeandika nikafutaa....
Ngoja nibakie kusoma comment za wadau..
Basi tuKwanini Mkuu
Hii presentation tu inatosha kuonyesha unajielewa na kujitambua. Kila mtu akale alikoacha mboga.Habari zenu wanajukwaa,
Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa.
Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana watoto wengine. Mwaka jana alipiga kimya kwenye ada na matumizi ya watoto wake nikahustle mwenyewe hadi mwaka ukaisha.
Mwaka huu alinicheck kuwa anataka kuwaona wanae nikamwambia ruksa waone. Akaniuliza kuhusu ada nkampa mkeka, akadai hayuko vizuri. Nikamwambia nitamsaidia kukopa ila atakapolipa alipe na riba yake akakubali.
Nikapewa Tshs. 50,000 ya kununua vifaa sikulalamika, nikasema hayupo vizuri kwa sasa. Nashangaa anaanza kusema kamiss misosi yangu nkamwambia siwezi mpikia tena, akasema amemiss mbususu na show kali nkamwambia tushaachana haitakuja kutokea.
Nyie watu; imefika muda wa kulipa (technically nilikadiria sababu ada nishalipa baada ya kusota mwaka jana sikutaka ijirudie nkajipanga). Napiga simu haipokelewi wala message sijibiwi tena.
Kisa nimekataa kutoa show mtu kagoma kuhudumia wanae?? he he.
Nawasihi single mothers wenzangu usikubali kutumika kwa majukumu ya mtu. Kama anafanya afanye hataki pambana.
Nawapenda
Poleni sana warembo kwa mnayopitia...Kama vile umeniongelea mimi hawa wanaume washenzi sana tuendelee kupambana kwaajili ya watoto
hebu ntumie no yko niwe ur comfortKwanini Mkuu
Hamna kuwa huruBasi tu
Anayenipa kiburi ni Mungu pekee Mkuu. Usiongee as if wanaume wameisha hii dunia hawawezi nipa mimbaUtaliwa tu ni suala la muda tu.
Mwamba amekuja kwenye wrong time kuna mtu anakupa kiburi lkn some times later when ur desparate and u need comfort mwamba atapiga na ukifanya masihara na mimba nyingine utabeba.