Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Jamaa yako anapigo za kishamba tu, lakini mimi ukishanizalia na tukaachana, amini kwamba nitakuwa nakula anytime ninapojisikia na mbinu mojawapo ya kukufanya uwe unakileta mwenyewe ni kama alivyosema mkuu Carlos hapo juu.

Hiyo ni mbinu mojawapo tu ya kivita, lakini zipo nyingi sana za kukufanya uwe unaileta mbunye mwenyewe bila bugza yoyote.
Inategemea na walivyoachana
 
Habari zenu wanajukwaa,

Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa.

Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana watoto wengine. Mwaka jana alipiga kimya kwenye ada na matumizi ya watoto wake nikahustle mwenyewe hadi mwaka ukaisha.

Mwaka huu alinicheck kuwa anataka kuwaona wanae nikamwambia ruksa waone. Akaniuliza kuhusu ada nkampa mkeka, akadai hayuko vizuri. Nikamwambia nitamsaidia kukopa ila atakapolipa alipe na riba yake akakubali.

Nikapewa Tshs. 50,000 ya kununua vifaa sikulalamika, nikasema hayupo vizuri kwa sasa. Nashangaa anaanza kusema kamiss misosi yangu nkamwambia siwezi mpikia tena, akasema amemiss mbususu na show kali nkamwambia tushaachana haitakuja kutokea.

Nyie watu; imefika muda wa kulipa (technically nilikadiria sababu ada nishalipa baada ya kusota mwaka jana sikutaka ijirudie nkajipanga). Napiga simu haipokelewi wala message sijibiwi tena.

Kisa nimekataa kutoa show mtu kagoma kuhudumia wanae?? he he.

Nawasihi single mothers wenzangu usikubali kutumika kwa majukumu ya mtu. Kama anafanya afanye hataki pambana.

Nawapenda
We ni mwanamke mpumbavu sasa usiinhie kwenye mahusiano kama hutaki mapenzi ni bora uwe msagaji
Huyo mwanaume yuko sahii
 
Msimamo wako mzr, sema sasa tatizo lipo Kwa wahusika asilimia kubwa hawawezi hii misimamo ukizingatia hawajaolewa n shughuli.
 
Habari zenu wanajukwaa,

Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa.

Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana watoto wengine. Mwaka jana alipiga kimya kwenye ada na matumizi ya watoto wake nikahustle mwenyewe hadi mwaka ukaisha.

Mwaka huu alinicheck kuwa anataka kuwaona wanae nikamwambia ruksa waone. Akaniuliza kuhusu ada nkampa mkeka, akadai hayuko vizuri. Nikamwambia nitamsaidia kukopa ila atakapolipa alipe na riba yake akakubali.

Nikapewa Tshs. 50,000 ya kununua vifaa sikulalamika, nikasema hayupo vizuri kwa sasa. Nashangaa anaanza kusema kamiss misosi yangu nkamwambia siwezi mpikia tena, akasema amemiss mbususu na show kali nkamwambia tushaachana haitakuja kutokea.

Nyie watu; imefika muda wa kulipa (technically nilikadiria sababu ada nishalipa baada ya kusota mwaka jana sikutaka ijirudie nkajipanga). Napiga simu haipokelewi wala message sijibiwi tena.

Kisa nimekataa kutoa show mtu kagoma kuhudumia wanae?? he he.

Nawasihi single mothers wenzangu usikubali kutumika kwa majukumu ya mtu. Kama anafanya afanye hataki pambana.

Nawapendae
Ushauri wako ni mzuri,lakini wengi huo mtego huwa hawachomoki,akiombwa anajikuta kaingia tena,kumbe mwenzake anataka kumuonja,wakati yeye ana amini kuwa jamaa ndio anarudi...
 
Single mama unajifariji tu, kuna mwingine atakuja akulambe mbususu yako ajifanye amezima data halafu akutie vya fasta fasta umzalie watatu halafu anakuacha, utakuwa na jeuri ya kukatalia mbususu tena?
Kwanini mnafocus kumuombea mabaya zaidi mtu aliyekumbwa tayari na matatizo. Hapo ndipo wanaume tunaposhindwa kuelewana, yaani kwanini ufocus kumuombea mabaya mwanamke na tulishasema akili zao na zetu hatufanani. Kizazi cha ajabu hiki[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Single mothers waheshemimiwe! Ila ukibahatika kuingia kwenye mahusiano na wanawake wa namna hii huwaga ni perfect sana! Kwa sababu wana experience na exposure ya mambo mengi maishani hususani NDOA. Wameshasota sana!

Walio wengi huwa na akili na mawazo mazuri + mapenzi ya dhati.
Hii campaign unayotaka kuianzisha haifai, badala ya kuwanadi ndio utawaharibia kabisa. Kiache kizuri kijitangaze, siasa haifai katika mahusiano. Utaumbuka, watu wanaexperience tofauti, hivyo acha campaign uchwara.
 
Wacha negativity bwamdogo!

Huyo ulimpata wewe alikuwa mapepe tu! Single mothers waheshimiwe. Hujui maumivu wanayoyabeba!
 
Nani kaongelea swala la heshima boss, nimekuambia tu, hizo campaign hazifai zitakuumbua bwana mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23]. Halafu mimi na single mother wapi na wapi. Ila jua tu mahusiano hayana siasa, sawa bwana mkubwa. Wema hauozi na kizuri hakifichiki hivyo punguza siasa.
 
Nimegundua we ni ZWAZWA! siasa iko wapi hapa?! Wewe baba yako alikatazwa kuingia siasani mje mle mema ya nchi muache kuchukia na kukasirikia watu?!

SIKUJIBU TENA WE KILAZA

#SINGLEMOTHERSWAHESHIMIWE
 
Umenitukana na kuniita majina yote, 😂😂😂 hapo ndio mtu dhaifu ajulikanapo. Comment yenyewe umeshindwa kuielewa😂😂😂. Acha campaign za mapenzi ni ukosaji wa maarifa. Jifunze utu uzima🤣🤣
 
Sasa ukimbania mbususu ndo utakuwa umempunish eti?
Mbona ataenda tu kupewa kwingine.
 
Back
Top Bottom