Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Habari zenu wanajukwaa,

Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa.


Nawapenda

Wewe ndo umewaharibia single Mothera kabisa, hatari sana........
 
Kwa majibu hayo mbona umeshakubali? Kitendo tu cha kutafutana hadi mkaanzisha hizo mada hiyo ni sababu tosha ya sisi vijana kupiga vita suala la kuoa singo maza

Zamani tulilegeza masharti tukaweka sharti la kuonyeshwa kaburi ila kwa sasa tumeboresha masharti Kabla hatujaoa singo maza ni lazima tuwe tumeshiriki kwenye mazishi na kuchimba kaburi la baba mtoto wako.
 
Vile tuliozaa na single mothers tunaandaa notes kuwa ni lazima waliwe💪😁😁😁
AIPysi.jpeg
 
hakuna mwanamke atahududiwa vyema na watoto wake kutunzwa na mtaliki ati na akawa mgumu kutoa mbususu kwa mtaliki anaewajali. Tusidanganyane hapa na kupotezeana muda.

haiwezekani kuziba tundu la panya kwa mkate. Wewe unamahasira yako ya kunyimwa ada ndio maana UMEJITIA KAUZU.

na jambo la ziada masingle mother hua mnajivika kua victims sana ili hali wote tunajua 98% ya mahusiano na ndoa huvunjika kutokana na ujuaji, viburi na jeuri zenu.
Hasira za kukosa matunzo
 
Habari zenu wanajukwaa,

Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa.

Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana watoto wengine. Mwaka jana alipiga kimya kwenye ada na matumizi ya watoto wake nikahustle mwenyewe hadi mwaka ukaisha.

Mwaka huu alinicheck kuwa anataka kuwaona wanae nikamwambia ruksa waone. Akaniuliza kuhusu ada nkampa mkeka, akadai hayuko vizuri. Nikamwambia nitamsaidia kukopa ila atakapolipa alipe na riba yake akakubali.

Nikapewa Tshs. 50,000 ya kununua vifaa sikulalamika, nikasema hayupo vizuri kwa sasa. Nashangaa anaanza kusema kamiss misosi yangu nkamwambia siwezi mpikia tena, akasema amemiss mbususu na show kali nkamwambia tushaachana haitakuja kutokea.

Nyie watu; imefika muda wa kulipa (technically nilikadiria sababu ada nishalipa baada ya kusota mwaka jana sikutaka ijirudie nkajipanga). Napiga simu haipokelewi wala message sijibiwi tena.

Kisa nimekataa kutoa show mtu kagoma kuhudumia wanae?? he he.

Nawasihi single mothers wenzangu usikubali kutumika kwa majukumu ya mtu. Kama anafanya afanye hataki pambana.

Nawapenda
Wee single mama wa kwanza duniani kuwa na roho ya uchoyo
 
Yaani we mkuu unajikuta una muelezea Mwanamke kama vile yeye ndio Wewe yaani unamjua nje ndani sasa kama pesa ina mtuliza Mwanamke mbona mabillionea wana achwa,Nataka nikwambie kuna Wanawake kama hana hisia na wewe hawezi tena kufanya sex hata kuwe na pesa mbele.
Huko kwa mabilionea wanaondoka mikono mitupu?
 
Kuwa na uamuzi mmoja ni vyema sana kwa wenza hata wapenzi walio achana wamezaa na wasio zaa, wanawake wengi wamedhalilishwa na kuumizwa ila bado wanakubali kupanua miguu kwa watu hao hao, kuwa na msimamo na maisha yako.
Unapokosa msimamo unatafuta haya
1. Maradhi mana wengi wanaume huwa na mahusiano mapya
2. Ugomvi na mwanamke mwingine
3. Kuendelea kuwa chombo cha starehe
4. Kudumaa kimawazo kwa kuendelea kukaa kwenye duara la umaskini wa hisia, mana anakula na anakuacha.
5. Utajenga kuonekana wewe ndio mbaya kwa mtoto wako.
6. Unajichafua
7. Msongo wa mawazo
8. Kuzidi kuwa maskini/ kufirisiwa
9. Kupoteza sifa ya kuolewa tena
Pendeni watoto wenu na wapeni nafas wanaume wingine.
#Kadhaa moyo wako
 
Ni vile hajaamua tu, akilipa ada na vizawadi kidogo anaupiga mwingi. Waga mnaeleweka basi!
 
Back
Top Bottom