Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

hakuna mwanamke atahududiwa vyema na watoto wake kutunzwa na mtaliki ati na akawa mgumu kutoa mbususu kwa mtaliki anaewajali. Tusidanganyane hapa na kupotezeana muda.

haiwezekani kuziba tundu la panya kwa mkate. Wewe unamahasira yako ya kunyimwa ada ndio maana UMEJITIA KAUZU.

na jambo la ziada masingle mother hua mnajivika kua victims sana ili hali wote tunajua 98% ya mahusiano na ndoa huvunjika kutokana na ujuaji, viburi na jeuri zenu.
unakosea sana kaka, na kama unaona hivyo bora uchukue wanao ukawalee mwenyewe. ukiwa na mda ntakupa mkanda wote ili unijudge vzuri. sio kuassume vitu usivyovijua ni heri ungeniuliza
 
Mbona tunawalaumu wanaume tu..hawa single mamas nao wanashida sana..maana huyu nilie zaanae ninafanya vyote kuhusu gharama za mwanangu lakini ananiletea mitego mingi sana mpaka namblock, wakati tulishashamoveon. Kama ambavyo hutoi mbususu kwa x mimi kama kidume Sitoi dushe kwa x hata kidogo sitengui kauli.
Khe ya kweli haya😀
 
Co-parenting hapa ndipo huwaga vijana ndipo wanapo ogopa kuoa single mother,japo wapo single mother wachache wanaoweza kuwakazia walio wazalisha.
 
Ila wanaume sisi, yani watoto wakwako mwenyewe kuwahudumia hataki kisa umenyimwa mbususu😂. Shikilia hapo hapo dada akitaka mbususu akapewe na mkewe huko😂
DIAMOND mwenyewe alishawahi kusemaa yani nimhudumie yeye na mtoto alafuu nisilambee utamuu wee umesikiaa wapiii???? huyu ni suala la muda tu ila atatoa tu utamuuu
 
Single mothers waheshemimiwe! Ila ukibahatika kuingia kwenye mahusiano na wanawake wa namna hii huwaga ni perfect sana! Kwa sababu wana experience na exposure ya mambo mengi maishani hususani NDOA. Wameshasota sana!

Walio wengi huwa na akili na mawazo mazuri + mapenzi ya dhati.
Unatumia kinywaji gani ?? Agiza naja lipia

Nafurahishwa na kina nyie mnaotuchukulia in positive ways

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom