Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Nadhani kuoana na kuachana na mizenguo kwenye kulea ndo imekupa urahisi wa kumnyima jamaa mbusus, mngezaa tu bila attachment ya ndoa halafu mkashindwana na akaendelea kulea mtoto wake vizuri bila kupigishana kelele, mbusus ungekuwa unampatia tu.. Nawakilisha
 
Nadhani kuoana na kuachana ndo imekupa urahisi wa kumnyima jamaa mbusus, mngezaa tu bila attachment ya ndoa halafu mkashindwana na akaendelea kulea mtoto wake vizuri bila kupigishana kelele, mbusus ungekuwa unampatia tu.. Nawakilisha
Una kitu usikilizwe mkuu
 
Umeanza kupenda slope lini Carlos, usiseme sijakuonya
Bidada ananiambia, Kwann ufikie Lodge Carlos .. naishi pekeangu, huku nmehamia kikazi, Nina miezi minne tu .


Sasa nifanyaje ??.

Mbaya zaidi Leo nisiku yake ya Ovulation, nmemwambia subiri siku zipite, ananilazisha, njooo unipe mimba.

Sasa hapa nmebeba kipimo Cha mimba , nikifika nampima Kisha nimwagie Manii
 
Mbona tunawalaumu wanaume tu..hawa single mamas nao wanashida sana..maana huyu nilie zaanae ninafanya vyote kuhusu gharama za mwanangu lakini ananiletea mitego mingi sana mpaka namblock, wakati tulishashamoveon. Kama ambavyo hutoi mbususu kwa x mimi kama kidume Sitoi dushe kwa x hata kidogo sitengui kauli.
 
Back
Top Bottom