Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Huyo hujampa kwa sababu haudumii angekuwa anahudumia watoto ungetanua kama kawa..
Tumeachana 5 years sasa, huko nyuma alihudumia alipooa tu ndo aliacha kwanini skumpa before? Huu Mbususu sio maembe kila mtu ale. kama ulikula before basi. Jua ukianza kufanya tu hisia zitarud mara umezaa tena na mtu ana mkewe huko si ujinga huo. Sasa nilidai talaka ya nini
 
Habari zenu wanajukwaa,

Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha.

Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa.

Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana watoto wengine. Mwaka jana alipiga kimya kwenye ada na matumizi ya watoto wake nikahustle mwenyewe hadi mwaka ukaisha.

Mwaka huu alinicheck kuwa anataka kuwaona wanae nikamwambia ruksa waone. Akaniuliza kuhusu ada nkampa mkeka, akadai hayuko vizuri. Nikamwambia nitamsaidia kukopa ila atakapolipa alipe na riba yake akakubali.

Nikapewa Tshs. 50,000 ya kununua vifaa sikulalamika, nikasema hayupo vizuri kwa sasa. Nashangaa anaanza kusema kamiss misosi yangu nkamwambia siwezi mpikia tena, akasema amemiss mbususu na show kali nkamwambia tushaachana haitakuja kutokea.

Nyie watu; imefika muda wa kulipa (technically nilikadiria sababu ada nishalipa baada ya kusota mwaka jana sikutaka ijirudie nkajipanga). Napiga simu haipokelewi wala message sijibiwi tena.

Kisa nimekataa kutoa show mtu kagoma kuhudumia wanae?? he he.

Nawasihi single mothers wenzangu usikubali kutumika kwa majukumu ya mtu. Kama anafanya afanye hataki pambana.

Nawapenda
mi

nyie wakina NEW GAL hawa wanaume wa namna hii huwa mnawatoa wapi lkn? Irresonsible men even to his own children?
 
Tumeachana 5 years sasa, huko nyuma alihudumia alipooa tu ndo aliacha kwanini skumpa before? Huu Mbususu sio maembe kila mtu ale. kama ulikula before basi. Jua ukianza kufanya tu hisia zitarud mara umezaa tena na mtu ana mkewe huko si ujinga huo. Sasa nilidai talaka ya nini
Sema una kamsimamo flani hivi ambapo as a man ukikutana nao lazima uappreciate, the more mzazi mwenzako au ex wako anakukazia ndio vile unazidi kumuona hot, sijui tumeumbwaje sisi wanaume 😅
 
toka enzi nikiachana na mtu imeisha hyo, labda kwa kurogwa naweza nisibishe mana sio mkali kwenye imani
Bado hujakutana na kiboko yako, hivi uliwezaje kuwa na mwanaume kama huyo? anayesusia mpaka kuhudumia mwanae? dah kweli mapenzi ni konyo.
 
Mtakuwa mliachana kwa shari ingekuwa mmeachana kwa heri mngemegeana bila hiyana.
Natamani nngekupa mkanda mzima, hatukuachana kwa shari na hadi mkewe wa sasa nishawah salimiana nae inshort hamna bifu at all. Jamaa hana muda na watt mm ndo huwa namsisitiza hata kumptia siku za graduation. siwez andika everything hapa. Varangati limeanza nilipokataa kutoa mbususu
 
Back
Top Bottom