Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Mh nikijitambulisha kuwa nina watt na nmeachana na alyekuwa mume wanasema ni single mom
Single mother no yule aliyepachikwa,mimba na kuzaa mtoto kabla hajaolewa au baada ya kuolewa lakini wewe ni mtalaka .
 
Hawa wanawake ukiwin saikolojia yake mbususu anatoa tu hata awe mtalaka

Back in day nilipata manzi mashaalah hadi nikahisi kama nimeokota dhahabu kariakoo.
A woman was very beautiful kaumbika,nidhamu ya kutoka maana alikuwa anaishi kwao na familia yao ilikuwa I.ejengwa kwa misingi ya dini sana.Basi tukaelewana na yule manzi upendo ukastawi vizuri siku zikaenda pole pole nikaanza kujipenyeza kwao(yani kufahamika)mahusiano yakawa ya wazi familia zetu zote zikafahamia,uchumba ukafuata finally ndoa ikafungua ukrasa rasmi wa safari ya maisha ya mke mume.

Basi nikabeba mke tukaingia mtaani sasa kuyapigania na kuchenga maisha.Mke alikuwa mama wa nyumbani mimi nilikuwa na kibiashara fulani tu,pesa ya kula na matumizi madogo madogo ilikuwepo sana tu.
Wife akaanza kunenepa ule uzuri ukachipukia maradufu,mguu wa bia siyo pia,mgomba si mgomba yani akivaa sketi kila anapopita mabaharia lazima wamtupie jicho(kuna siku nilitoka naye OUT sasa pale tulipokaa pembeni yetu alikuwepo jamaa mmoja smart hivi,wakati tumekaa na wife pale nikagundua jamaa anatuqngalia sana.Kama baharia nika notice jamaa anavia wife ili kudhibitisha nikazuga kama naenda msalani halafu nikabana pembeni nikawanamzoom jamaa.Anamfanyia ishara wife kuwa anaomba namba wife akawa anagoma nikarudi mezani jamaa akajifanya yupo bize na simu yake,muda si mrefu jamaa akaondoka akaanza business kadi yake kama mtego kwa wife.Mimi nikaenda ichukue nikaichana mbele ya wife na nikampa onyo wife)

Miezi ikasogea wife kanasa kitumbo tukaza mtoto wa kwanza,upendo ukatawala kwenye familia wife kazidi kunenepa.Kadri siku zinavyoenda wife kaanza kubadilika tabia,wakati mwingine nikirudi home ghafla nakuta hayupo tunaishia kugombana huku tabia inazidi kukua.Nikawa namuuliza tatizo nini analeta sababu mara nilienda kwa jirani kuangalia tv(wana dstv),kuona hivyo na mimi nikaweka DSTV ndani kila sababu aliyotoa niliifanyia kazi(namnunulia ili akatulie home)

Sababu zikawa haziishi mara aage anaenda kumsalimia rafiki yake kajifungua kumbe anaenda kwa wanaume.Ikafikia kipindi hata marafiki zake niliwapiga marufuku wasifike kwangu kuna mmoja nilimtia makofi kabisa.
Tukawa tunagombana mara kwa mara wife anarudi kwao na kule ukweni walikuwa wananikubali sana wanamwambia mwanamke wewe ndiyo TATIZO.Hadi baba mkwe akamwambia wife akirudi nyumba awe anakuja na barua ya ruhusa kutoka mumewe(MIMI).lakini wife hakutulia washikadau na marafiki wapambe wanamuharibu.

Mwisho nikaona hapa napoteza muda,kinachofuata ntaletewa UKIMWI bure[emoji23][emoji23][emoji23]ikabidi nimwambie wife asee kama hatuwezani unaweza ukaondoka maana unanivuruga sana.Basi nikampa talaka akasepa.Wajuaji wa mjini wakamuamisha mkoa kabisa akolewa huko.Mimi niliendelea kutuma pesa yamatumizi ya mwanangu.

Ikawa akirudi kwao anainiletea mwanangu namuona na kupiga na picha za ukumbusho pamoja na watoto wangu niliona sasa
NB:Wakutanisha wanangu na kuwapiga picha ili watambuana na kuimarisha undugu

POINT YA ANDIKO
Ni mtalaka kila anapokuja anasema anipe MBUSUSU,nikuliza kwanini anasema anatambua thamani yangu sana kuwa mimi ndiye niliyemfungulia dunia ya UANAMKE
Kwamba heshima yake ipo juu yangu sana.
Mimi huwa namwambia mimi sitaki MBUSUSU yake mimi nilikufuata wewe kwenu nilitaka uwe mke wangu wa maisha siyo wa kufanya mapenzi tu .Basi tunaishiaga hapo.


Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Pole,ilikuwa sio bahati yako
 
Huyo jamaa mpuuzi!, hulipi ada za madogo sababu umenyimwa mbususu?...1
 
Wewe unasem kwa kwa luwa hana mupunga angeuwa na mpunga wa kuiipa hayo mazagazaga ungefungua hiyo kufuli mwemyewe
 
Sahihi kabisa. Huo ndio mtazamo kwa wanawake wenye watoto Kwa wanaume waliozaa nao.

Ndio maana kuchapwa na wazazi wenzao huwa ni lazima.

Tofauti na hapo inahitaji mwanamke wa shoka kweli kweli.
 
Kwa kwel singo mazaz huwa wanajidhalilisha mno weni iti kamzi kupasha kiporo,wanaliwa mno tena kirahisi ndio maana hizi mada haziishi...ukwel mchungu ukioa singo maza basi kuna% nying ex wake kumkula hasa mkiwa sawa au kakuzid kiuchumi huyo mwamba!
 
Siku hizi mnachukulia maisha vile mnavyoona ndiyo njia sahihi ya kuendesha maisha.

Binti katoa sumu, wenzake wanamuunga mkono na kuna Vijana wa kiume nao wanaingia kichwa kuunga mkono kisa usifiwe kwa kuunga mkono ujinga.

Ukiona au kusikia NDOA yenye watoto imevurugika hadi kusambaratika unapaswa kutulia, kuomba nia njema kwa Mola wako, siyo kutoa sifa sababu na wewe ni mmoja kati ya Me/Ke.

Vijana tafakarini sana mwisho wenu, laiti ungejua hatma ya nafsi yako kwa uzao wako usingepata nafasi ya kuja kushangilia kuvunjika kwa mahusiano hapa.

Sabato njema!
.
 
Mtego huu, wanaume tulishakubaliana single mama ni wa kupiga na kutembea. Muoe single mama kama tu mumewe alishakufa, daftari la matanga na kaburi uyaone.
 
Lwa taarifa yako haya mambo ya kuliwa na x zenu huwa mnajirahisisha wengi wenu.

Na hao wanaume wanaokataa watoto wao mnawatoaga wapi?
 
Dah pole sana mkuu
 
Lwa taarifa yako haya mambo ya kuliwa na x zenu huwa mnajirahisisha wengi wenu.

Na hao wanaume wanaokataa watoto wao mnawatoaga wapi?
Huku huku ulipo wewe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…