- Thread starter
- #261
Mh nikijitambulisha kuwa nina watt na nmeachana na alyekuwa mume wanasema ni single momIla wewe sio single mother wewe ni mtalaka,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh nikijitambulisha kuwa nina watt na nmeachana na alyekuwa mume wanasema ni single momIla wewe sio single mother wewe ni mtalaka,
Single mother no yule aliyepachikwa,mimba na kuzaa mtoto kabla hajaolewa au baada ya kuolewa lakini wewe ni mtalaka .Mh nikijitambulisha kuwa nina watt na nmeachana na alyekuwa mume wanasema ni single mom
Sio kweliUkioa single mum umeoa mke wa mtu. Jiandae kushare
Pole,ilikuwa sio bahati yakoHawa wanawake ukiwin saikolojia yake mbususu anatoa tu hata awe mtalaka
Back in day nilipata manzi mashaalah hadi nikahisi kama nimeokota dhahabu kariakoo.
A woman was very beautiful kaumbika,nidhamu ya kutoka maana alikuwa anaishi kwao na familia yao ilikuwa I.ejengwa kwa misingi ya dini sana.Basi tukaelewana na yule manzi upendo ukastawi vizuri siku zikaenda pole pole nikaanza kujipenyeza kwao(yani kufahamika)mahusiano yakawa ya wazi familia zetu zote zikafahamia,uchumba ukafuata finally ndoa ikafungua ukrasa rasmi wa safari ya maisha ya mke mume.
Basi nikabeba mke tukaingia mtaani sasa kuyapigania na kuchenga maisha.Mke alikuwa mama wa nyumbani mimi nilikuwa na kibiashara fulani tu,pesa ya kula na matumizi madogo madogo ilikuwepo sana tu.
Wife akaanza kunenepa ule uzuri ukachipukia maradufu,mguu wa bia siyo pia,mgomba si mgomba yani akivaa sketi kila anapopita mabaharia lazima wamtupie jicho(kuna siku nilitoka naye OUT sasa pale tulipokaa pembeni yetu alikuwepo jamaa mmoja smart hivi,wakati tumekaa na wife pale nikagundua jamaa anatuqngalia sana.Kama baharia nika notice jamaa anavia wife ili kudhibitisha nikazuga kama naenda msalani halafu nikabana pembeni nikawanamzoom jamaa.Anamfanyia ishara wife kuwa anaomba namba wife akawa anagoma nikarudi mezani jamaa akajifanya yupo bize na simu yake,muda si mrefu jamaa akaondoka akaanza business kadi yake kama mtego kwa wife.Mimi nikaenda ichukue nikaichana mbele ya wife na nikampa onyo wife)
Miezi ikasogea wife kanasa kitumbo tukaza mtoto wa kwanza,upendo ukatawala kwenye familia wife kazidi kunenepa.Kadri siku zinavyoenda wife kaanza kubadilika tabia,wakati mwingine nikirudi home ghafla nakuta hayupo tunaishia kugombana huku tabia inazidi kukua.Nikawa namuuliza tatizo nini analeta sababu mara nilienda kwa jirani kuangalia tv(wana dstv),kuona hivyo na mimi nikaweka DSTV ndani kila sababu aliyotoa niliifanyia kazi(namnunulia ili akatulie home)
Sababu zikawa haziishi mara aage anaenda kumsalimia rafiki yake kajifungua kumbe anaenda kwa wanaume.Ikafikia kipindi hata marafiki zake niliwapiga marufuku wasifike kwangu kuna mmoja nilimtia makofi kabisa.
Tukawa tunagombana mara kwa mara wife anarudi kwao na kule ukweni walikuwa wananikubali sana wanamwambia mwanamke wewe ndiyo TATIZO.Hadi baba mkwe akamwambia wife akirudi nyumba awe anakuja na barua ya ruhusa kutoka mumewe(MIMI).lakini wife hakutulia washikadau na marafiki wapambe wanamuharibu.
Mwisho nikaona hapa napoteza muda,kinachofuata ntaletewa UKIMWI bure[emoji23][emoji23][emoji23]ikabidi nimwambie wife asee kama hatuwezani unaweza ukaondoka maana unanivuruga sana.Basi nikampa talaka akasepa.Wajuaji wa mjini wakamuamisha mkoa kabisa akolewa huko.Mimi niliendelea kutuma pesa yamatumizi ya mwanangu.
Ikawa akirudi kwao anainiletea mwanangu namuona na kupiga na picha za ukumbusho pamoja na watoto wangu niliona sasa
NB:Wakutanisha wanangu na kuwapiga picha ili watambuana na kuimarisha undugu
POINT YA ANDIKO
Ni mtalaka kila anapokuja anasema anipe MBUSUSU,nikuliza kwanini anasema anatambua thamani yangu sana kuwa mimi ndiye niliyemfungulia dunia ya UANAMKE
Kwamba heshima yake ipo juu yangu sana.
Mimi huwa namwambia mimi sitaki MBUSUSU yake mimi nilikufuata wewe kwenu nilitaka uwe mke wangu wa maisha siyo wa kufanya mapenzi tu .Basi tunaishiaga hapo.
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Wewe unasem kwa kwa luwa hana mupunga angeuwa na mpunga wa kuiipa hayo mazagazaga ungefungua hiyo kufuli mwemyeweHabari zenu wanajukwaa,
Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa.
Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana watoto wengine. Mwaka jana alipiga kimya kwenye ada na matumizi ya watoto wake nikahustle mwenyewe hadi mwaka ukaisha.
Mwaka huu alinicheck kuwa anataka kuwaona wanae nikamwambia ruksa waone. Akaniuliza kuhusu ada nkampa mkeka, akadai hayuko vizuri. Nikamwambia nitamsaidia kukopa ila atakapolipa alipe na riba yake akakubali.
Nikapewa Tshs. 50,000 ya kununua vifaa sikulalamika, nikasema hayupo vizuri kwa sasa. Nashangaa anaanza kusema kamiss misosi yangu nkamwambia siwezi mpikia tena, akasema amemiss mbususu na show kali nkamwambia tushaachana haitakuja kutokea.
Nyie watu; imefika muda wa kulipa (technically nilikadiria sababu ada nishalipa baada ya kusota mwaka jana sikutaka ijirudie nkajipanga). Napiga simu haipokelewi wala message sijibiwi tena.
Kisa nimekataa kutoa show mtu kagoma kuhudumia wanae?? he he.
Nawasihi single mothers wenzangu usikubali kutumika kwa majukumu ya mtu. Kama anafanya afanye hataki pambana.
Nawapenda
Sahihi kabisa. Huo ndio mtazamo kwa wanawake wenye watoto Kwa wanaume waliozaa nao.Hawa wanawake ukiwin saikolojia yake mbususu anatoa tu hata awe mtalaka

Ndo maana ake, na siyo kufanya kama huyo lofa [emoji16]Sijashangaa, mbinu ziende na kutimiza majukumu.ni bora watu wakaheshimu viungo ambavyo wao hawana.utu ni mhimu.
Sawa sawa.Watu kama hawa mtoa mada kama dada yako mnalivizia mnalibaka.Ndo maana ake, na siyo kufanya kama huyo lofa [emoji16]
Mi mwenyewe Mpunga nnao Mkuu, ni jukumu lake kama mzazi kutoa adaWewe unasem kwa kwa luwa hana mupunga angeuwa na mpunga wa kuiipa hayo mazagazaga ungefungua hiyo kufuli mwemyewe
Lwa taarifa yako haya mambo ya kuliwa na x zenu huwa mnajirahisisha wengi wenu.Habari zenu wanajukwaa,
Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa.
Mimi ni single mother niliolewa kabisa tukashindwana tukaachana na mwenzangu kashaoa na ana watoto wengine. Mwaka jana alipiga kimya kwenye ada na matumizi ya watoto wake nikahustle mwenyewe hadi mwaka ukaisha.
Mwaka huu alinicheck kuwa anataka kuwaona wanae nikamwambia ruksa waone. Akaniuliza kuhusu ada nkampa mkeka, akadai hayuko vizuri. Nikamwambia nitamsaidia kukopa ila atakapolipa alipe na riba yake akakubali.
Nikapewa Tshs. 50,000 ya kununua vifaa sikulalamika, nikasema hayupo vizuri kwa sasa. Nashangaa anaanza kusema kamiss misosi yangu nkamwambia siwezi mpikia tena, akasema amemiss mbususu na show kali nkamwambia tushaachana haitakuja kutokea.
Nyie watu; imefika muda wa kulipa (technically nilikadiria sababu ada nishalipa baada ya kusota mwaka jana sikutaka ijirudie nkajipanga). Napiga simu haipokelewi wala message sijibiwi tena.
Kisa nimekataa kutoa show mtu kagoma kuhudumia wanae?? he he.
Nawasihi single mothers wenzangu usikubali kutumika kwa majukumu ya mtu. Kama anafanya afanye hataki pambana.
Nawapenda
Dah pole sana mkuuHawa wanawake ukiwin saikolojia yake mbususu anatoa tu hata awe mtalaka
Back in day nilipata manzi mashaalah hadi nikahisi kama nimeokota dhahabu kariakoo.
A woman was very beautiful kaumbika,nidhamu ya kutoka maana alikuwa anaishi kwao na familia yao ilikuwa I.ejengwa kwa misingi ya dini sana.Basi tukaelewana na yule manzi upendo ukastawi vizuri siku zikaenda pole pole nikaanza kujipenyeza kwao(yani kufahamika)mahusiano yakawa ya wazi familia zetu zote zikafahamia,uchumba ukafuata finally ndoa ikafungua ukrasa rasmi wa safari ya maisha ya mke mume.
Basi nikabeba mke tukaingia mtaani sasa kuyapigania na kuchenga maisha.Mke alikuwa mama wa nyumbani mimi nilikuwa na kibiashara fulani tu,pesa ya kula na matumizi madogo madogo ilikuwepo sana tu.
Wife akaanza kunenepa ule uzuri ukachipukia maradufu,mguu wa bia siyo pia,mgomba si mgomba yani akivaa sketi kila anapopita mabaharia lazima wamtupie jicho(kuna siku nilitoka naye OUT sasa pale tulipokaa pembeni yetu alikuwepo jamaa mmoja smart hivi,wakati tumekaa na wife pale nikagundua jamaa anatuqngalia sana.Kama baharia nika notice jamaa anavia wife ili kudhibitisha nikazuga kama naenda msalani halafu nikabana pembeni nikawanamzoom jamaa.Anamfanyia ishara wife kuwa anaomba namba wife akawa anagoma nikarudi mezani jamaa akajifanya yupo bize na simu yake,muda si mrefu jamaa akaondoka akaanza business kadi yake kama mtego kwa wife.Mimi nikaenda ichukue nikaichana mbele ya wife na nikampa onyo wife)
Miezi ikasogea wife kanasa kitumbo tukaza mtoto wa kwanza,upendo ukatawala kwenye familia wife kazidi kunenepa.Kadri siku zinavyoenda wife kaanza kubadilika tabia,wakati mwingine nikirudi home ghafla nakuta hayupo tunaishia kugombana huku tabia inazidi kukua.Nikawa namuuliza tatizo nini analeta sababu mara nilienda kwa jirani kuangalia tv(wana dstv),kuona hivyo na mimi nikaweka DSTV ndani kila sababu aliyotoa niliifanyia kazi(namnunulia ili akatulie home)
Sababu zikawa haziishi mara aage anaenda kumsalimia rafiki yake kajifungua kumbe anaenda kwa wanaume.Ikafikia kipindi hata marafiki zake niliwapiga marufuku wasifike kwangu kuna mmoja nilimtia makofi kabisa.
Tukawa tunagombana mara kwa mara wife anarudi kwao na kule ukweni walikuwa wananikubali sana wanamwambia mwanamke wewe ndiyo TATIZO.Hadi baba mkwe akamwambia wife akirudi nyumba awe anakuja na barua ya ruhusa kutoka mumewe(MIMI).lakini wife hakutulia washikadau na marafiki wapambe wanamuharibu.
Mwisho nikaona hapa napoteza muda,kinachofuata ntaletewa UKIMWI bure[emoji23][emoji23][emoji23]ikabidi nimwambie wife asee kama hatuwezani unaweza ukaondoka maana unanivuruga sana.Basi nikampa talaka akasepa.Wajuaji wa mjini wakamuamisha mkoa kabisa akolewa huko.Mimi niliendelea kutuma pesa yamatumizi ya mwanangu.
Ikawa akirudi kwao anainiletea mwanangu namuona na kupiga na picha za ukumbusho pamoja na watoto wangu niliona sasa
NB:Wakutanisha wanangu na kuwapiga picha ili watambuana na kuimarisha undugu
POINT YA ANDIKO
Ni mtalaka kila anapokuja anasema anipe MBUSUSU,nikuliza kwanini anasema anatambua thamani yangu sana kuwa mimi ndiye niliyemfungulia dunia ya UANAMKE
Kwamba heshima yake ipo juu yangu sana.
Mimi huwa namwambia mimi sitaki MBUSUSU yake mimi nilikufuata wewe kwenu nilitaka uwe mke wangu wa maisha siyo wa kufanya mapenzi tu .Basi tunaishiaga hapo.
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Huku huku ulipo wewe mkuuLwa taarifa yako haya mambo ya kuliwa na x zenu huwa mnajirahisisha wengi wenu.
Na hao wanaume wanaokataa watoto wao mnawatoaga wapi?