Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Tatizo lilikuwa kwa nani?

Makubaliano baada ya kuachana yalikuwa ni yapi?

Mliachana kwa taraka ngapi?

Kuna mali zozote mligawana baada ya kuachana au zote alikuachia wewe?

Mliachana kipindi hicho watoto walikuwa na umri gani?
Tatizo ni yeye, makubaliano ni kusaidiana kulea watoto, kwenye mali hapo usinitie uchungu. Tuliachana mdogo ana mwaka mmoja mkubwa mi3
 
Jamaa yako anapigo za kishamba tu, lakini mimi ukishanizalia na tukaachana, amini kwamba nitakuwa nakula anytime ninapojisikia na mbinu mojawapo ya kukufanya uwe unakileta mwenyewe ni kama alivyosema mkuu Carlos hapo juu.

Hiyo ni mbinu mojawapo tu ya kivita, lakini zipo nyingi sana za kukufanya uwe unaileta mbunye mwenyewe bila bugza yoyote.
 
Kama ulichoongea ni uhalisia basi nakupa big up mkuu, haya mambo lazima wawepo watu wa mfano kama wewe. Ukijiheshimu heshima itakufuata hongera sana.. hapo hata mtu akisema anaoa single mama anakuwa salama kutokana na msimamo wako, kingine sijui nani alisemaga ukizaa na mwanamke mkashindwana kupasha kiporo ni lazima, haya mambo siyawezi once we done , we have done kila mtu ashike na zake.. hongera mkuu.
 
Habari zenu wanajukwaa,

Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha.
Ni suala la muda tu vile viungo huwa vinakumbukana. Kwahiyo usijisifie saaana maana mwendo bado hujaumaliza.
Wapo ambao hata simu walikuwa hawapokei ila mwisho wa siku watu waliliwa vizuri na mimba ya ex akabebeshwa zigo aliyeoa.
Wahenga wanasema "KIPORO HAKIHITAJI MOTO MWINGI".
 
Iliwekwa lakini hajawahi kuifata, wapo walionishauri niende ustawi wa jamii. Ila jamaa mfanyabiashara si rahisi kupata kipato chake, so nmeona kwa kuwa naweza pambana acha nmpotezee
Kama una uwezo wako hakuna sababu ya kujilizaliza kwake,somesha wanao ili kesho na keshokutwa some aibu yeye.

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Sikubishii mkuu wao ni wao na mm ni mm. Ambacho nna uhakika nacho ni hunijui
 
Asante Mkuu
 
toka enzi nikiachana na mtu imeisha hyo, labda kwa kurogwa naweza nisibishe mana sio mkali kwenye imani
 
Huyo hujampa kwa sababu haudumii angekuwa anahudumia watoto ungetanua kama kawa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…