I guess mwenye mada hana mtoto ndo maana hajui faida ya mtoto.
Kwa kifupi dunian kumejaa mambo mengi, usipofanya moja lazima ufanye jingine, waswahili wanasema shuguli huvunjwa na shuguli.
So usipotumia effort katika kushiriki uumbaji basi possibly utatumia nguvu zako na muda katika mambo mengine ppossibly destruction ya mambo ya wengine.
Kwa kifupi unatakiwa uchague nguvu zako utawekeza katika kifanya nn? Sasa wale wenye watoto wanajua faraja inayopatikana kutoka kwa watoto, they smoothy your sorrow.
So chagua tu la kufanya, unaweza kuwa na vidog/vicat vikakushughulisha zaidi ya watoto, na mwingine akawa na watoto wa3-10, halafu wote mkapata mihangaiko sawa katika kuwalea watoto wenu.
Sasa, nani atapata faraja zaidi inategemea na perception ya mtu ila wote lazima mhangaike, na usipohangaika basi utapata la kukuhangaisha