Majibu yanaweza kuwa hapa kwenye majibu ya maswali haya:
- Je wewe ni mtoto usiye na faida kwa wazazi wako? If the answer is NO, then hizo ndio sababu za kuzaliana
- Je kutozaa kunamsaidia nini asiyezaa?
Life is a game of risk that is worth taking, na hizi ni baadhi ya faida za kuzaa kwa anayezaa:
1. Kutengeneza familia
2. Kupokea upendo usio na conditions
3. Kurekabisha makosa ya kimaisha na kimalezi ya wazazi wa anayezaa
4. Raha ya kuwa na wajibu usiokoma
Mwisho, naunga mtoto swali lako kwamba ni vizuri kabla ya kuwa na mtoto mtu kujiuliza faida na hasara na kama ataweza kufanikisha yote anayoyategemea.
Kutegemea na mtazamo wa mtu, either positive ama negative, there is no single answer that fit all but it should be looked at in a case to case basis.
Let me declared my interest, I am a married father with kids na pamoja na majukumu yote niliyonayo, I have never been this happy ukilinganisha na kipindi sijaoa na sina watoto.
Nawasilisha