Kuzaliana kunamsaidia nini kiumbe anayezaa?

Sikuwaumba Makini na watu isipokua wapate kuniabudu mimi
 
Nimekuelewa sana sana, hakuna faida ya kuzaliana hasa kama una uwezo mdogo ni kuleta viumbe vitakavyoteseka tu duniani,..wenzetu huko mbele wanalielewa hili ndio maana ni normal tu kuishi hadi kufa bila kuzaa kama unaona hauko financially, physically or mentally stable to raise a child.
Tatizo bongo hii usipozaa mzee inakua tabuu,kila mtu atakusimanga huna kizazi bila ya kujalisha watakusaidia kulea,je kichwani uko sawa kukuza mtoto au mwili wako unaweza kuhimili mikikimikiki ya ulezi n.k
Watu wengi wangetambua hili,dunia ingekua sehemu nzuri sana na salama kwa watoto wetu.
 
Asilimia kubwa na wanawake wanapenda sana kuzaa,
 
Barikiwa sana ndugu yangu umeongea pointi ya maana sana.
 
Nature. Ni ecosystem, ukienda darasani ukajifunza utaelewa. Kila kilichomo hapa duniani, mchwa, konokono, Simba, jongoo, tembo, panzi, chura, binadamu, miti, maua, majani vimo kwenye mfumo huo.
Umejibu kizembe sana, unahisi humu tuko wanafunzi wa form two C?
 
Kama huna Malengo yoyote kwenye maisha yako bhasi hata Kuwa HAI hakuna maana...!! Na ukiwa hai inawezekana wew huoni maana ya kuwa hai ila Ukatumika kukamilisha Malengo ya wengine..
 
Sio mbaya kuishi kama Hikikomori WA kijapani


 
Na ndio hapo binadamu tunafeli Sana kutumia common sense ,wewe unazaa kama panya with no means to take care huyo kiumbe , unajua na kili au matope ? , Then huyo kiumbe abaisgia kuwa chokoraa with miserable existence ,wtf
 
Kama huna Malengo yoyote kwenye maisha yako bhasi hata Kuwa HAI hakuna maana...!! Na ukiwa hai inawezekana wew huoni maana ya kuwa hai ila Ukatumika kukamilisha Malengo ya wengine..
Ng'ombe wana malengo gani?
 
Miaka kadhaa iliyopita kabla ya kushimiri kwa dini hizi zilizoletwa katika Afrika, watoto walikuwa wanatokewa na wazee wao waliokufa na kuongea nao

Hii ilimaanisha kwamba ukifa ukaacha watoto utaendelea kuishi duniani au ukifa utaendelea kuwa kiongozi kwa wote walioko duniani uliowazaa

Sasa hii ilikuwa inamfanya mtu apambane kuzaa kabla hajafa maana akifa bila mtoto anakosa utawala huo wa enzi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
walioendeleza maisha tangu miaka hiyo ya zamani sasa huko walipo wanafaidika nini na kizazi walichoendeleza
Haya maswala ni mazito kuliko upeo wa watu.
Aliyejitaabisha kulea watoto 15 mwaka 1000 AD kwa sasa ana tofauti ipi na jirani yake ambaye hakuwa na mtoto.
 
Ng'ombe wana malengo gani?
ng'ombe huwezi mfananisah na binadamu... binadamu anamfunga ngombe ili kesho ampe maziwa..amuuze apate helaa hayo ni MALENGO YA BINADAMU sio ya ngombe. Binadamu alipewa utashi ili asiishi kama mbwa au ngombe sasa wew ndo una matatizo maana huoni tofauti yako na ngombe πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hujaielewa hii mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…