Kuzaliwa familia za kiafrika ni adhabu

Kuzaliwa familia za kiafrika ni adhabu

Mzee wetu David Musuguri (former CDF wa TPDF) anapendelea sana kutoa ushauri kwa kutaja mambo matatu, anasema "Kama mwanaume unapaswa 1. Kutoogopa chochote 2. Kutokata tamaa 3. Kupambana mpaka mwisho.

Kuna mambo yanaudhi mno ila hakuna namna ndiyo ushazaliwa Africa.
 
Afrika uchawi ni mwingi hili ni tatizo kubwa wachawi Wanamiliki majini muda wowote anaweza kumtupia mtu jini na ndio mana Afrika watu maarifa ni madogo wenzetu wachawi walishawamaliza kwa kuwaua kama biblia ilivyoagiza
🤣🤣🤣🤣
 
Hivi mzee bado yupo?
 
Famili za kiafrika NI ufalaaaa
Kulogana
Ujinga mwingi
Umaskini
Yani daaaah
Mkuu cut the chain bila hivyo hutoboi maana unaweza kusaidia ukadhani watapata unafuu lakini wapi.Kibaya zaidi kuna kitu kama vile OSMOSIS NA DIFFUSION,yaani unachopata kidogo halafu kinaenda kuyeyuka kwakukigawa kidogo kidogo then inakuwa 0
 
Jikomboe wewe na watu wako wa karibu mkuu
Kwa utafiti wangu dawa ni "CUT THE CHAIN" yaani kutoka kwenye familia za kimaskini inabidi uwe BANDIDU kuliko UBANDIDU wenyewe.Kanuni ya maendeleo ni kwamba kuna watu lazima wateseke tena sana mpaka WACHAKAE ili wengine waje kuishi vizuri
 
Afrika uchawi ni mwingi hili ni tatizo kubwa wachawi Wanamiliki majini muda wowote anaweza kumtupia mtu jini na ndio mana Afrika watu maarifa ni madogo wenzetu wachawi walishawamaliza kwa kuwaua kama biblia ilivyoagiza
Hizi ni Myth tu. Hayo majini mbona hawawatupii wasiojulikana?
 
Back
Top Bottom