Kuzaliwa familia za kiafrika ni adhabu

Kuzaliwa familia za kiafrika ni adhabu

Famili za kiafrika NI ufalaaaa
Kulogana
Ujinga mwingi
Umaskini
Yani daaaah
Tatizo letu kubwa ni UJINGA, hayo mengine yanasababishwa na ujinga.

Jambo la muhimu ni kutafuta maarifa ya kukukomboa na changamoto zitokanazo na ujinga kama vile ushirikina na umaskini.

Umaskini na ushirikina ni utumikishwaji wa kiroho hivo kuupeka ni lazima upate maarifa ya kudhibiti hali hizo.

Wenzetu wazungu hutumia zoezi la kupumua kama njia ya kuvunja maagano hasi yenye lengo la uharibifu.
 
Ushasema wazazi...
Ndugu unaangalia..ndugu wengine ndo hao hao hawakutakii mema
Ambavyo mimi Utopolo Mwandamizi sikutakii kabisa mema wewe Makolokolo Mwandamizi 😏

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Ukiwa muafrika halafu ukaishi maisha ya kizungu lazima upate tabu , naona kijana unajiona maskini kwa vile mzee wako hakuwa na land Rover...
 
Ukiona kwenye ukoo wenu ata mwalimu wa primary hajawai kuwepo ukipata gap kidogo zaa na familia zinazojiweza tena ikiwezekana kabila njingine ili wakikutupia wewe majini mtoto au watoto wa survive ujombani. Ila wewe karungu yeye unaoa tena mwanamke karungu yeye watoto wenu watapata shida sana.
 
Mzee wetu David Musuguri (former CDF wa TPDF) anapendelea sana kutoa ushauri kwa kutaja mambo matatu, anasema "Kama mwanaume unapaswa 1. Kutoogopa chochote 2. Kutokata tamaa 3. Kupambana mpaka mwisho.

Kuna mambo yanaudhi mno ila hakuna namna ndiyo ushazaliwa Africa.

Huyu Mzee katuheshimisha sana.

Kwa Msuguri (Mbezi) nimeshuka mara nyingi sana na daladala.
 
Ukiona kwenye ukoo wenu ata mwalimu wa primary hajawai kuwepo ukipata gap kidogo zaa na familia zinazojiweza tena ikiwezekana kabila njingine ili wakikutupia wewe majini mtoto au watoto wa survive ujombani. Ila wewe karungu yeye unaoa tena mwanamke karungu yeye watoto wenu watapata shida sana.
Sasa watu waachane?
 
Aiseeeeh
 
Shida ya Africa ni Kuna kila tatizo la ndugu yako ni lako...na ndugu zako kuona kufanikiwa kwako ni lazima uwasaidie. Shida kubwa IPO hapo sio uchawi Wala nini...Sasa ole wako ukosee kuoa ndio utasalimia mpaka mbwa mtaani ....
Hapo kwenye matatizo ndipo Kuna tatizo.

Michango, kulaaniana kisa hujasaidia fulani.

Ajabu sana!
 
Sasa watu waachane?
Wewe lengo sikizazi chako kikombolewe kutoka kwenye umasikini wa ukoo wenu? Kwan ata mkiachana wakati mna watoto atawabadilisha ubini? Hyo inaitwa kujitoa kafara ili kizazi chako kisipitie mateso uliyopitia wewe. Yani kuna koo ata ufanyeje ukianza kutoboa hawatokaa wakuache salama yani ni kama pai r2.
 
Afrika uchawi ni mwingi hili ni tatizo kubwa wachawi Wanamiliki majini muda wowote anaweza kumtupia mtu jini na ndio mana Afrika watu maarifa ni madogo wenzetu wachawi walishawamaliza kwa kuwaua kama biblia ilivyoagiza
Usiwachokoze sasa wamiliki wa majini
 
Back
Top Bottom