Kuzaliwa familia za kiafrika ni adhabu

Kuzaliwa familia za kiafrika ni adhabu

inategemea umezaliwa wapi,huwezi kuskia mchaga au mhaya anasema hayo maneno unless kama umezaliwa Utete rufiji.
Wewe sasa ndio umenifanya NIcheke, maana Mimi mama wa tarakea baba mhaya, kwahyo kumbe Sisi wahaya sio waafrica maana Mimi nmezungumzia wa africa
 
Mtu anayeamini kuna kurogana dunia ya leo ni mjinga, kwa asilimia kubwa tatizo ni yeye.
 
Kwa utafiti wangu dawa ni "CUT THE CHAIN" yaani kutoka kwenye familia za kimaskini inabidi uwe BANDIDU kuliko UBANDIDU wenyewe.Kanuni ya maendeleo ni kwamba kuna watu lazima wateseke tena sana mpaka WACHAKAE ili wengine waje kuishi vizuri
Agree with ,binafsi niligundua hili baada ya kuteseka Kwa miaka8. Tangu niwakaushie nimekua na amani lakini pia akili imeanza kuwakaa Sawa..Kwa familia za kiafrika ili utoboe inahitaji uwe bandidu Sana tu
 
waafrika ni .....
Screenshot_20240717-193448~2.jpg
 
Afrika uchawi ni mwingi hili ni tatizo kubwa wachawi Wanamiliki majini muda wowote anaweza kumtupia mtu jini na ndio mana Afrika watu maarifa ni madogo wenzetu wachawi walishawamaliza kwa kuwaua kama biblia ilivyoagiza
Iv kwann Mungu aliruhusu uchawi uwepo hswa kwa afrika, maana uchawi unaharibia watu maisha,ndoa,maradhi,

Mtu anarogwa anafirisika au kupata maradhi,halafu uyo mtu mwisho wa siku anamkufuru Mungu wake kwa kuona kuwa mungu amemuonea kumfirisi au kumpa matadhi,kumbe wachawi ndio chanzo, na pia wanaofanyabiashara kwa level ya chini unakuta wale mabingwa wakuroga ndio wanafanikiwa kibiashara, we unaejifanya mlokole au mchamungu biashara zinafeli!!
 
Hizi ni Myth tu. Hayo majini mbona hawawatupii wasiojulikana?
Ajali zile unazoziona sometims akutoka mtu gari right off,ndio wasiojulikana hao wamepigwa makombora, au jitu limepalalaizi unakutananalo muhimbili na ukiliangalia muonekano anafanana na wasiojulikana,ndio makombola hayo
 
Yeah unaweza kudhani ni Jirani kapata ajali kumbe alikuwa miongoni mwa wasiojulikana.
Yeah,ndio ukweli,kuna jirani yangu nyumba yake iliunguaga moto yote,haikupita muda akaja akapata janga lingine, na alikuwa mtu dizaini kama wa eagle house
 
Iv kwann Mungu aliruhusu uchawi uwepo hswa kwa afrika, maana uchawi unaharibia watu maisha,ndoa,maradhi,

Mtu anarogwa anafirisika au kupata maradhi,halafu uyo mtu mwisho wa siku anamkufuru Mungu wake kwa kuona kuwa mungu amemuonea kumfirisi au kumpa matadhi,kumbe wachawi ndio chanzo, na pia wanaofanyabiashara kwa level ya chini unakuta wale mabingwa wakuroga ndio wanafanikiwa kibiashara, we unaejifanya mlokole au mchamungu biashara zinafeli!!
Mungu si mwepesi wa hasira hao wachawi Kuna siku inawezekana wakabadilika ndio mana wameachwa tu waishi nabii eliya aliwaua wachawi 400
 
Back
Top Bottom