Kuzaliwa mwanaume ni hatia

Kuzaliwa mwanaume ni hatia

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ job true true au sio
Wewe mimi nawazidishia visukari labda niamke na roho mtakatifu
Na vile NHIF sasa imepunguza matibabu ya kusukari kwenye list maana imeonekana kuna watu wanajitafutia kisukari kwa makusudi,utaua watu
 
Uwe unaniita nikusaidie kuwajibu ๐Ÿ˜‚
Unapenda kununua ugomvi weye!kwenye ule uzi wangu last weekend mwafula alikuja mwendo wa ngiri nikatamani nikupambanishe nae sema ulikuwa guangzhou busy na mabox๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Uzi ulikua mzuri kabla ya wazee wa haki sawa kutia timu.

Wazee wa haki sawa kata stimu sana.
 
๐Ÿ˜…Huyo ukimwita hadi atakula ban,usimwite tafadhali bado tunamuhitaji mawazo yake humu
Roger that wise one ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ ila kwa ninavyozijua akili zangu inabidi huyu mtoto Lamomy tumpige stop kuwa karibu na mimi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ instead awe karibu na wewe tu mpaka tukjiridhisha umemuambukiza hekima za kutosha na roho mtakabifu kamtoka.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.

Hope umekua na ibada njema leo mtumishi
 
Yaani UKAWA wenu utakuwa mbaya kuliko ule wa Lipumba na mbowe,huyo mwaache nataka nipige neno awe binti binti Yerusalem...by the way leo nimesali tu nyumbani nipo peke yangu nataka nisikie The most high anasema nini na mimi...
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ umeona ee!
Nishamuacha.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Ingekua dangerous duo isingejulikana nani dada nani lastborn๐Ÿ˜€

Sawa mtumishi.
Mambo ya meditation nini?
 
Kwa hio wewe utawekeza rasilimali na muda wako kwa mwanamke wa aina gani nikuulize?! ...

Kuambulia hasara ni matokeo tu...hii haimaanishi hautawekeza kwenye mahusiano utakayopata, hata walioambulia hasara haikuwa mwisho waliendelea kuwekeza kwenye mahusiano mengine...both wanaume na wanawake wanakua kwenye uhusiano sababu they are gaining something in return, hakuna mahusiano ambayo mtu habenefit anything...so wewe kusema kuna wanaume hawafanyi lolote na bado wako na mahusiano na wadada Is total fallacy...you don't offer anything and expect mtu akupe muda wake?
Kumbee upoo dada, nilikumic mnoo.
 
Na vile NHIF sasa imepunguza matibabu ya kusukari kwenye list maana imeonekana kuna watu wanajitafutia kisukari kwa makusudi,utaua watu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Watakufa km imetolewa, na sie huku hatuna huruma tunakipandisha mwanzo mwishoooo
 
Unapenda kununua ugomvi weye!kwenye ule uzi wangu last weekend mwafula alikuja mwendo wa ngiri nikatamani nikupambanishe nae sema ulikuwa guangzhou busy na mabox๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Weeh mwafula anajitakia kisukari cha jumla jumla ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Sema ile week nilitingwa sana, ss hivi naibia ibia halafu njoo tsap..
 
Uzi ulikua mzuri kabla ya wazee wa haki sawa kutia timu.

Wazee wa haki sawa kata stimu sana.
kuna mafeminist nimeyaona uko juu nime-scoll down tu bila hata kusoma maongezi yao, ni majinga halafu yanajionaga smart kinoma.
 
Back
Top Bottom