Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,495
- 3,453
Kwa kweli la sivyo unaitwa feminist sasa hivi😀Ushamkwaa muungwana tayari 😂😂
Punguza kusema ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli la sivyo unaitwa feminist sasa hivi😀Ushamkwaa muungwana tayari 😂😂
Punguza kusema ukweli
Kuna watu muda wote hata hawajui kusoma comment za utani na za serious wao ni kupanic tu....job truetrueKwa nini lawama ziwe kwa bibi na sio kwa bibi na babu mkuu?
Sitetei wizi na nilivyosema wanaume wapigwe sikua serious na hapo nilikua nataniana na rafiki zangu ila ndani ya utani wangu kuna asilimia za ukweli.😀
inshort nikiwa na chat na Joannah na Lamomy mara nyingi ni kutaniana na kufurahi tu so take it easy mkuu
Ni kazi aiseeKuna watu muda wote hata hawajui kusoma comment za utani na za serious wao ni kupanic tu....job truetrue
Wana stress pesa hawana na wanawake hawawataki wakiona hivyo basi hasira zao zote wanamalizia kwetu 😂😂Kwa kweli la sivyo unaitwa feminist sasa hivi😀
Ni hatari dogo ila mi nishajiambia sitaruhusu mtu aniambukize stress zake. hapa JF😀Wana stress pesa hawana na wanawake hawawataki wakiona hivyo basi hasira zao zote wanamalizia kwetu 😂😂
😂😂😂 Mi nawaongezea kuwapandisha visukari wakafie huko.!Ni hatari dogo ila mi nishajiambia sitaruhusu mtu aniambukize stress zake. hapa JF😀
😂😂😂 job true true au sioKuna watu muda wote hata hawajui kusoma comment za utani na za serious wao ni kupanic tu....job truetrue
Wewe tena😀😂😂😂 Mi nawaongezea kuwapandisha visukari wakafie huko.!
Kuna muda nawapelekea moto mpk wanaenda kufungua id mpya ili wapooze machungu yao 🤣🤣🤣Wewe tena😀
Wangekua wanamexa dawa zao za presha na sukari kabla ya kukuvaa!😀
Huwa nikikuonaga engo hizo nacheka sana hlf wao wanakua serious hawajui hizo vitu mwenzao unaona kama mchezo😀Kuna muda nawapelekea moto mpk wanaenda kufungua id mpya ili wapooze machungu yao 🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾Uzi ungeuandikia kwenye boxer yako ukauficha huko ningeuonea wapi? Au ungeandikia kwenye toilet paper ukauchambia, ili nisiuone
Wangeona ninavyowajibu huku nacheka nadhani wangeacha wanachofanya kwa afya yao ya akili 🤣🤣🤣Huwa nikikuonaga engo hizo nacheka sana hlf wao wanakua serious hawajui hizo vitu mwenzao unaona kama mchezo😀
I know 😀Wangeona ninavyowajibu huku nacheka nadhani wangeacha wanachofanya kwa afya yao ya akili 🤣🤣🤣
Yaani naenjoy hawajui tu, nawageuza ninavyotaka nawaacha wanasonya mpk usingizini 😹😹
Weeh wale sukari inawapandaga kweli wananiombeaga had ban 😂😂😂I know 😀
Ila ukute hata hawakuchukii labda na wao wanakuchokoza tu for fun😀
Ukute vile unawawashia moto na wao wanachekaa ila walio na chuki kweli ndo hapo sukari zinawapanda😀
Haters wa kweli hawakosekani mdogo wangu ila sio ajabu kuna wengine ukute anajiambia kabisa ngojeq nimzingue lamomy leo ila moyoni anakupenda😀Weeh wale sukari inawapandaga kweli wananiombeaga had ban 😂😂😂
Mkigusa panapouma lazima akimbilie JF HQ kujitetea, wakiona wamekushindwa wanafungua id mpya warudi kivingine watukane wapooze machungu yao na wasichokijua hakuna tusi naliogopa na jipya yote ya zamani na yashaexpire wanajichosha.. 😹😹😹
Wengine wanafanya kusudi ili niwajibu siku yao iende vizuri, wengine yakinishindwa yanaanza kunibebisha 😂😂😂Haters wa kweli hawakosekani mdogo wangu ila sio ajabu kuna wengine ukute anajiambia kabisa ngojeq nimzingue lamomy leo ila moyoni anakupenda😀
Haters fake yaani😀
😀😀Wengine wanafanya kusudi ili niwajibu siku yao iende vizuri, wengine yakinishindwa yanaanza kunibebisha 😂😂😂
Kuna muda unaingia unakuta mention kibao halafu za kipuuzi tupu unabaki unacheka basi sasa utafanyaje?! 😹
Wengine wanakuwa na maumivu y’a kweli hao pole yao.. sina la kuwasaidia wapambane na stress zao..!
Uwe unaniita nikusaidie kuwajibu 😂😀😀
Kabisa usikubali kuambukizwa stress.
Mi sijui ni uzee yaani huwa naishiwa kabisa nguvu za kujibu siku hizi😀