Kuzaliwa mwanaume ni hatia

Kuzaliwa mwanaume ni hatia

Tupo kipindi ambacho kundi kubwa la wanaume wanatsmani wangezaliwa wanawake au basi wabadilishwe wawe wanawake. Hii ni kutokana na kauli za aina hii, hii yaani vuu vuu, Kila jinsia Ina changamoto zake.
Kama wana jamii lazima tukemee hate speech na kubelittle matatizo ya jinsia moja, tunatengeneza utengamani na dilemma. Hapo kwenye dilemma ndio zinaibuka akili ndogo zitakazotamani kuhama jinsia.

Mi nikiandika hivi naambiwa hii ni topic ya kiume niwaachie wanaume! Bila kujua sisi wengine ni wazazi na tunamiliki watoto wa kike na kiume, Ndio maana We advocate for a balanced society!
 
Mambo yote sawa isipokua hapo kwenye kiingereza ila nimekubali Kila kitu ulichosema.
 
Tupo kipindi ambacho kundi kubwa la wanaume wanatsmani wangezaliwa wanawake au basi wabadilishwe wawe wanawake. Hii ni kutokana na kauli za aina hii, hii yaani vuu vuu, Kila jinsia Ina changamoto zake.
Tufike hatua tujadiliane masuala kwa kuangalia topic iliyopo mezani, binafsi huwa sipendezwi na watu kama wewe ambao mnaoanisha masuala ya ushoga hata kwenye mada ambazo hazihusiani na maudhui ya ushoga
 
Tufike hatua ya kujadiliane masuala kwa kuangalia topic iliyopo mezani, binafsi huwa sipendezwi na watu kama wewe ambao mnaoanisha masuala ya ushoga hata kwenye mambo ambayo hayahusiani na maudhui ya mada.

Sasa, kwakua haumiliki JF, na hauna ubavu wa kushinikiza mtu achangie kitu Gani na kwa namna Gani, chukua hatua stahiki.

Kuandika ni haki yangu, kuelewa na kuchambua nilichokiandika sio dhamana yangu. Kama umeshindwa kuona ni Kwa namna Gani nilichokiandika kinahusiana na mada, endelea kutokupendezwa na Mimi, na hata hivyo Sina sababu ya kukupendeza kwa chochote.
 
Enhee Boss taratibu! Shuka hapo chini karibu na kwa Makamu wa Rais kunywa waini nitumie lipa namba!
 
Sasa, kwakua haumiliki JF, na hauna ubavu wa kushinikiza mtu achangie kitu Gani na kwa namna Gani, chukua hatua stahiki.

Kuandika ni haki yangu, kuelewa na kuchambua nilichokiandika sio dhamana yangu. Kama umeshindwa kuona ni Kwa namna Gani nilichokiandika kinahusiana na mada, endelea kutokupendezwa na Mimi, na hata hivyo Sina sababu ya kukupendeza kwa chochote.
Hauna akili
 
unfortunately mwanaume asiyewekeza nguvu ,rasilimali na muda wake kwetu hatuna time nae atabaki single and bitter kama wewe......kwa hio unachoshauri hapa ni wanaume wakazane kutafuta pesa wasiwe na mahusiano at all,jambo ambalo hata wanaume wenzako hawatakubaliana nalo...namaanisha wataendelea kutoa pesa wapate mahusiano. It is what it is...hutaki kunywa sumu.
Mtoa mada hajakataa wanaume kuwekeza rasilimali na muda kwa mwanamke, ila anatufungua macho na kutujulisha tuwekeze nguvu na rasilimali zetu kwa wanawake wa aina gani.

Kuna wanaume wengi wanawekeza rasilimali, nguvu, attention, muda na hela kwa wadada k.v kusomesha ila wanaishia kuambulia hasara, na kuna wanaume hawawekezi sana mda na pesa kwa wadada, ila wanapata benefits kama zote toka kwa wadada Rebeca 83
 
Nimpenda hiyo slogan ya "Pipe and Swipe" yaani "PS"
Merci beaucoup!
 
The women nature of attraction is very addictive to bad guys and this is because most bad guys possess high level of masculine qualities.

Qualities like confidence, assertiveness, toughness, physical strength, bravery and selfishness etc.

Bad guys may possess some dangerous characters that may be harmful to women like their violent nature, anger issues, stubbornness, addicted to smoking , womanizing and drugs and less kinder to people but then it doesn't concerns women.

What matter is that they possess these masculine traits that triggers their attraction button. It become worse when such bad boy possess money, power and fame.

Women will rather choose to go through the stress of trying and hoping to change a bad guy than to choose a Mr nice guy from the first place

The bad guys life is never boring, he is always engaged with adventurous activities and this are things that pricks women emotions.

The Mr nice guy life is very boring. A very predictable man, less dangerous, don't engaged in any interesting adventures, always pipe low, follow same routine everyday, don't correct woman, very agreeable etc.

At first women think they love the nice guy but with time, they will find his attitude boring and then they will go out to look for some who can bring live to them.

The only time the nice man will ever have a chance with woman is when she has been damaged beyond repair, women only need the Mr nice guys as a rehabilitation centre and nothing more.

DONT BE A NICE GUY.
Endelea kugongea
 
Back
Top Bottom