Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Rubbish topic and you know exactly what I'm talking about...The topic is beyond of your thinking capacity by far.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rubbish topic and you know exactly what I'm talking about...The topic is beyond of your thinking capacity by far.
Lengo la mfano wangu ni kuonyesha namna jamii inavyompendelea mwanamke hata katika gumu ambalo linamkuta mwanaume pia. Huo ni mfano tu ambapo reflection yake haiishii kwenye tukio la wizi tu ambalo nimelitumia mimi kama rejea.Duuh kwahiyo mwanaume kuwa mwizi ni mfumo ambao hawezi kuukwepa au ni mifumo gani hiyo ambayo unaongelea, sasa tendo linalohusisha jinsia mbili linawezaje kuwa sawa kwa jinsia moja halafu liwe kosa kwa jinsia nyingine wewe unaona kuna logic hapo, hivi hata tukija kwenye uhalisia tu kati ya mwanaume na mwanamke ni nani amewekewa mifumo kandamizi inayomtesa
Mwanaume haonewi huruma,ila Mwanamke anaonewa huruma na kupewa pesa bureRubbish topic and you know exactly what I'm talking about...
Waache wakumbushane ila hakuna litakalobadilika, hio ni nature..adapt or die.Mwanaume haonewi huruma,ila Mwanamke anaonewa huruma na kupewa pesa bure
Acha wadau wakumbushane
Kabisa mkuuKijana usipoteze muda, nguvu wala pesa na mwanamke wa age yako. Mwenzako kutoboa ni suala la kulala na kuamka tu lakini wewe kutoboa ni mchakato.
Mi nimefurahi sana kuona comment yako Rebeca 83 , muda mrefu mno!unfortunately mwanaume asiyewekeza nguvu ,rasilimali na muda wake kwetu hatuna time nae atabaki single and bitter kama wewe......kwa hio unachoshauri hapa ni wanaume wakazane kutafuta pesa wasiwe na mahusiano at all,jambo ambalo hata wanaume wenzako hawatakubaliana nalo...namaanisha wataendelea kutoa pesa wapate mahusiano. It is what it is...hutaki kunywa sumu.
Sasa ulitegemea mwanaume apewe upendeleo gani kwenye jambo ambalo limekuwa ni jukumu lake toka enzi na enzi na ana ujuzi nalo, mwanamke anapewa upendeleo kwenye mambo ambayo zamani alizuiliwa kuyafanya kwa kuonekana hayawezi kisa uanamke wake, by the way suala siyo kuhalalisha umalaya ila ni ile stereotype ya kwamba ngono akifanya mwanamke ni kosa ila akifanya mwanaume ni sawa na mitazamo mingine mingi kama hiyo ya kumbagua mwanamke wewe unaona kuna logic yoyote hapoLengo la mfano wangu ni kuonyesha namna jamii inavyompendelea mwanamke hata katika gumu ambalo linamkuta mwanaume pia. Huo ni mfano tu ambapo reflection yake haiishii kwenye tukio la wizi tu ambalo nimelitumia mimi kama rejea.
Mwanamke akiwa masikini jamii itapambana kumuinua yataandaliwa makongamano ya mwanamke akiwezeshwa anaweza, hata wanaume waliojipata wataona wanawajibika kumuinua kiuchumi huyu mwanamke.
Ni tofauti na mwanaume akiwa masikini., hatopewa upendeleo katika nyanja yoyote ataishia kuonekana laughing stock tu.
Wewe ndie ulikuja na mfano wa kuhalalisha umalaya wa mwanamke kama justice reaction ya mifumo ya ukandamizaji aliyowekewa mwanaume.
Haya, umeshinda.Sasa ulitegemea mwanaume apewe upendeleo gani kwenye jambo ambalo limekuwa ni jukumu lake toka enzi na enzi na ana ujuzi nalo, mwanamke anapewa upendeleo kwenye mambo ambayo zamani alizuiliwa kuyafanya kwa kuonekana hayawezi kisa uanamke wake, by the way suala siyo kuhalalisha umalaya ila ni ile stereotype ya kwamba ngono akifanya mwanamke ni kosa ila akifanya mwanaume ni sawa na mitazamo mingine mingi kama hiyo ya kumbagua mwanamke wewe unaona kuna logic yoyote hapo
Ukila hela kubali kupigwa Dudu,sio ule hela bureunfortunately mwanaume asiyewekeza nguvu ,rasilimali na muda wake kwetu hatuna time nae atabaki single and bitter kama wewe......kwa hio unachoshauri hapa ni wanaume wakazane kutafuta pesa wasiwe na mahusiano at all,jambo ambalo hata wanaume wenzako hawatakubaliana nalo...namaanisha wataendelea kutoa pesa wapate mahusiano. It is what it is...hutaki kunywa sumu.
Hii ikae kwenye jalada 😀Kijana usipoteze muda, nguvu wala pesa na mwanamke wa age yako. Mwenzako kutoboa ni suala la kulala na kuamka tu lakini wewe kutoboa ni mchakato.
Topic zako wenye akili ndogo hawezi kujibu ona huyo alivyojubu utumbo, hoja zingine usijibu unajidhalilisha, utaonekana nawewe ni mbumbumbu kama wao.Lengo la mfano wangu ni kuonyesha namna jamii inavyompendelea mwanamke hata katika gumu ambalo linamkuta mwanaume pia. Huo ni mfano tu ambapo reflection yake haiishii kwenye tukio la wizi tu ambalo nimelitumia mimi kama rejea.
Mwanamke akiwa masikini jamii itapambana kumuinua yataandaliwa makongamano ya mwanamke akiwezeshwa anaweza, hata wanaume waliojipata wataona wanawajibika kumuinua kiuchumi huyu mwanamke.
Ni tofauti na mwanaume akiwa masikini., hatopewa upendeleo katika nyanja yoyote ataishia kuonekana laughing stock tu.
Wewe ndie ulikuja na mfano wa kuhalalisha umalaya wa mwanamke kama justice reaction ya mifumo ya ukandamizaji aliyowekewa mwanaume.
Huo mfano wa mwizi wa kike kutopigwa na mwizi wa kiume kupigwa ambao ndo upo kwenye uzi, hajausema kabisa, anatoa magazeti nje ya mada.Haya, umeshinda.
Nimesikitika sanaaaNimekumbuka mtani kwetu miaka ya nyuma, alitokea mwizi mwanamke, alikamatwa bila kupigwa hata kibao tu walitokea watu wakazuia asipigwe.
Baada ya yule dada kuhojiwa alitoa story ya simanzi pale akachangiwa sembe, mchele, sukari na vyakula vingine vingi akale na familia yake, akapewa na nauli ya kurudi nyumbani.
Miezi imeenda akakamatwa mwizi mwanaume raia walikuwa wakali wakataka apigwe kukomesha wizi, ikabidi washkaji tufanye maarifa kumuokoa kijana mwenzetu.
Umejifunza nini? Mwizi wa kwanza alionewa huruma na kusaidiwa kwa sababu ni mwanamke, mwizi wa pili raia walitaka apigwe kwa sababu ni mwanaume.
Wote kosa lao moja lakini treatments tofauti kwa sababu ya jinsia zao.
Umenielewa sasa? Wewe kama mwanaume elewa kwamba ukizaliwa mwanaume basi upo peke yako. Ni hatia kuwa mwanaume katika hii dunia. Pressure na expectations za jamii kwako ni kubwa sana na hakuna excuse utaitoa ukaeleweka.
Wanawake hawatajali chochote kuhusu wewe, wanaume wenzako hawatajali chochote kuhusu wewe, ulimwengu hautajali chochote kuhusu wewe.
Ukijidanganya kwamba unaweza kupata favor kama mwanamke utapata tabu sana. Hata hao marafiki zako wengi tu wanaweza kukutosa na kumsaidia mwanamke just because of pussy.
Nini ufanye kuondokana na hii hatia ya kuzaliwa mwanaume? Pambania mafanikio, mafanikio yako pekee ndio yatakuondolea hatia yako ya kuwa mwanaume hapa duniani. Upendo wa bure utaupata nyumbani kwako kutoka kwa mama, baba, kaka na dada, ukiingia huku mtaani utapendwa kutokana na unacho-provide.
Ndio maana nawasisitiza vijana wenzangu, wakati wa kujitafuta usipoteze muda, pesa au nguvu kumsaidia mwanamke au kutengeneza mahusiano yako na mwanamke. Katika hiyo age yako mwanamke awe ni kwa ajili ya pipe and swipe tu, baaaasi.
Huyo demu wako hatokuwa mkeo, huyo ni mke au mchepuko mtarajiwa wa wanaume wengine ambao kwa sasa wapo 30's au 40's, kajiweka tu kwako kwa sababu rain maker bado hajajitokeza.
Mwanamke ameshafanikiwa kimaisha kukuzidi wewe mwanaume kwa sababu tu ya jinsia yake. Wapo wanaume wengi ambao tayari wameshajipata wanaweza kumuokoa cheaply, lakini wewe kama mwanaume hakuna wa kukuokoa.
Usipoteze pesa, nguvu, rasilimali au muda wako kwa ajili ya mwanamke, sio mwenzako huyo, ukiishiwa atahamia kwa mwanaume mwingine mwenye nazo, wewe utabaki na umasikini wako.
My brothers, don't go broke, you will be a criminal in this world.
Kuwa mwanamke tu tayari umetengenezewa silaha yako kwenye mifumo ya kijamii, Mwanaume unaweza unaweza ukapewa kesi yoyote ile na Mwanamke akiamua na vyombo lukuki vya kijamii vikasimama naye.Lengo la mfano wangu ni kuonyesha namna jamii inavyompendelea mwanamke hata katika gumu ambalo linamkuta mwanaume pia. Huo ni mfano tu ambapo reflection yake haiishii kwenye tukio la wizi tu ambalo nimelitumia mimi kama rejea.
Mwanamke akiwa masikini jamii itapambana kumuinua yataandaliwa makongamano ya mwanamke akiwezeshwa anaweza, hata wanaume waliojipata wataona wanawajibika kumuinua kiuchumi huyu mwanamke.
Ni tofauti na mwanaume akiwa masikini., hatopewa upendeleo katika nyanja yoyote ataishia kuonekana laughing stock tu.
Wewe ndie ulikuja na mfano wa kuhalalisha umalaya wa mwanamke kama justice reaction ya mifumo ya ukandamizaji aliyowekewa mwanaume.
Ilo nimeshaligundua ndio maana kuna wengine uko juu nimewaambia waende jukwaa la mapishi au mange kimambi app. ndipo kuna maudhui ambayo ni level ya akili zao.hoja zingine usijibu unajidhalilisha, utaonekana nawewe ni mbumbumbu kama wao.
Iyo karibuni!! mbona kama imekaa kishari shari vileTopic nzuri kwa wanaume, ila kinachonichekesha ni wanaodhani kuwa mwanamke ni rahisi. There’s price for everything.
Karibuni!!
Topic nzuri kwa wanaume, ila kinachonichekesha ni wanaodhani kuwa mwanamke ni rahisi. There’s price for everything.
Karibuni!!