Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Kwa hio wewe utawekeza rasilimali na muda wako kwa mwanamke wa aina gani nikuulize?! ...Mtoa mada hajakataa wanaume kuwekeza rasilimali na muda kwa mwanamke, ila anatufungua macho na kutujulisha tuwekeze nguvu na rasilimali zetu kwa wanawake wa aina gani.
Kuna wanaume wengi wanawekeza rasilimali, nguvu, attention, muda na hela kwa wadada k.v kusomesha ila wanaishia kuambulia hasara, na kuna wanaume hawawekezi sana mda na pesa kwa wadada, ila wanapata benefits kama zote toka kwa wadada Rebeca 83
Kuambulia hasara ni matokeo tu...hii haimaanishi hautawekeza kwenye mahusiano utakayopata, hata walioambulia hasara haikuwa mwisho waliendelea kuwekeza kwenye mahusiano mengine...both wanaume na wanawake wanakua kwenye uhusiano sababu they are gaining something in return, hakuna mahusiano ambayo mtu habenefit anything...so wewe kusema kuna wanaume hawafanyi lolote na bado wako na mahusiano na wadada Is total fallacy...you don't offer anything and expect mtu akupe muda wake?