Kuzaliwa mwanaume ni hatia

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ job true true au sio
Wewe mimi nawazidishia visukari labda niamke na roho mtakatifu
Na vile NHIF sasa imepunguza matibabu ya kusukari kwenye list maana imeonekana kuna watu wanajitafutia kisukari kwa makusudi,utaua watu
 
Uwe unaniita nikusaidie kuwajibu πŸ˜‚
Unapenda kununua ugomvi weye!kwenye ule uzi wangu last weekend mwafula alikuja mwendo wa ngiri nikatamani nikupambanishe nae sema ulikuwa guangzhou busy na maboxπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hata tangu utotoni mpaka ukubwani, mahitaji ya jinsia ya kiume ni gharama sana.
 
Uzi ulikua mzuri kabla ya wazee wa haki sawa kutia timu.

Wazee wa haki sawa kata stimu sana.
 
πŸ˜…Huyo ukimwita hadi atakula ban,usimwite tafadhali bado tunamuhitaji mawazo yake humu
Roger that wise one πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ila kwa ninavyozijua akili zangu inabidi huyu mtoto Lamomy tumpige stop kuwa karibu na mimiπŸ˜€πŸ˜€ instead awe karibu na wewe tu mpaka tukjiridhisha umemuambukiza hekima za kutosha na roho mtakabifu kamtoka.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Hope umekua na ibada njema leo mtumishi
 
Yaani UKAWA wenu utakuwa mbaya kuliko ule wa Lipumba na mbowe,huyo mwaache nataka nipige neno awe binti binti Yerusalem...by the way leo nimesali tu nyumbani nipo peke yangu nataka nisikie The most high anasema nini na mimi...
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ umeona ee!
Nishamuacha.πŸ˜€πŸ˜€
Ingekua dangerous duo isingejulikana nani dada nani lastbornπŸ˜€

Sawa mtumishi.
Mambo ya meditation nini?
 
Kumbee upoo dada, nilikumic mnoo.
 
Na vile NHIF sasa imepunguza matibabu ya kusukari kwenye list maana imeonekana kuna watu wanajitafutia kisukari kwa makusudi,utaua watu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Watakufa km imetolewa, na sie huku hatuna huruma tunakipandisha mwanzo mwishoooo
 
Unapenda kununua ugomvi weye!kwenye ule uzi wangu last weekend mwafula alikuja mwendo wa ngiri nikatamani nikupambanishe nae sema ulikuwa guangzhou busy na maboxπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Weeh mwafula anajitakia kisukari cha jumla jumla 🀣🀣🀣
Sema ile week nilitingwa sana, ss hivi naibia ibia halafu njoo tsap..
 
Uzi ulikua mzuri kabla ya wazee wa haki sawa kutia timu.

Wazee wa haki sawa kata stimu sana.
kuna mafeminist nimeyaona uko juu nime-scoll down tu bila hata kusoma maongezi yao, ni majinga halafu yanajionaga smart kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…