Pre GE2025 Kuzorota kwa Huduma/Shirika gani litakufanya usiipigie tena kura CCM?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mashirika mengi ya umma rushwa ndio inazorotesha mambo.

TANESCO rushwa imetawala mno, unalipia umeme Ila hadi waje kukuwekea bila kutoka chochote kitu utakesha.

Ukiwapigia wanakwambia mara nguzo hamna but ukimwambia kuna ya chai hapo hapo nguzo imepatikana wanakuja fasta.
Jambo la kufanya siku moja, wanakuzungusha 2 weeks.
 
Kwa taarifa yako Mimi sijakata tamaa na uchaguzi, bali nimeupuuza. Ww ambaye bado unaamini kwenye huo upuuzi, waunganishe watu. Mimi nahamasisha watu wasipoteze muda kushiriki huo uhuni, tutapata njia nyingine ya kupata viongozi hata kama itakuwa ni kwa maumivu.
Hii ni maajabu
 
Hata ukienda kupiga kura ni kupoteza muda maana kura haziheshimiwi. Labda machafuko au mapinduzi ya kijeshi, lakini kupiga kura kwa tume na katiba hii, ni matumizi mabaya ya raslimali muda.
Shida inapoanzia ni wapinzani gani tuwaamini badala ya CCM ?
Maana wapinzani wenyewe hawaeleweki.
 
Hata ukienda kupiga kura ni kupoteza muda maana kura haziheshimiwi. Labda machafuko au mapinduzi ya kijeshi, lakini kupiga kura kwa tume na katiba hii, ni matumizi mabaya ya raslimali muda.
Hapana aisee! Uchaguzi huu tutalinda kura zetu aisee! Tumechoka haya mateso ya ccm.
 
Wakuu swalama?

Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele?

1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule aliyeimbwa na Nakasya Sumari, yaani TANESCO ni zaidi ya garasa, halifai kwa lolote.

2. Ya pili ni huduma ya Intaneti, 1000 unapata MB 450 kwa siku, yaani ukikohoa tu hata hujafungua simu zimeisha! Tupo kwenye ulimwengu ambao bila internet michongo haiendi, halafu tunapata huduma hii kwa gharama kubwa hivi ni kweli mnataka Tanzania ipige hatua? CCM ikikosa kura bwana Nape Nnauye jua na wewe umesababisha chama chako kuangukia pua.

3. Suala la miundombinu hasa barabara, jamani jamani, hapa ndio kichomi kabisa. Barabara zinajengwa kwa kiwango kibovu sababu rushwa zimejaa kwenye tenda lakini pia ni makusudi ili kuwe na matengenezo ya mara kwa mara watu wajipigie hela.

4. Huduma ya maji, hapo kwanza ncheke! Kama hujabambikiwa bili basi maji hakuna, ukibahatisha yamemetoka linakuja vumbi la maana ambalo nalo sio kwamba hulilipii! Yaani ukisimama nchale, ukigeuka nchale ukilala nchale na ukikaa nchake, piga pigo zote mwisho wa siku unaambulia kibuyu.

Je, wewe ni shirika/huduma gani ambayo kila ukiifikiria unasema hapa CCM lazima niile kichwa?
hayupo mTanzania mzalendo makini anaweza kudamka asubuhi na mapema, ati na kuthubutu kwenda kupiga kura kuchagua taasisi dahaifu, isiyo na uelekeo wala dira, inayobezwa mpaka na viongozi wake waandamizi, lakini mbaya zaidi inayo nyemelewa kuongozwa na kibaraka wa mabwenyenye wa magaharibi:pedroP:

mwenye gubu na mihemko pekee ndie anaweza kuichukia ccm, akaharibu kadi yake ya kupiga kura kwa hasira za mkizi, akazira, akagomea uchahuzi, au kususa kupiga kura, na eti hiyo ndio suluhu ya kuondoa ghadhabu zake:pedroP:

yaani ni sawa na mtu anae tuliza hasira na mihenko yake kwa kufakamia visungura :pedroP:
 
Wakuu swalama?

Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele?

1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule aliyeimbwa na Nakasya Sumari, yaani TANESCO ni zaidi ya garasa, halifai kwa lolote.

2. Ya pili ni huduma ya Intaneti, 1000 unapata MB 450 kwa siku, yaani ukikohoa tu hata hujafungua simu zimeisha! Tupo kwenye ulimwengu ambao bila internet michongo haiendi, halafu tunapata huduma hii kwa gharama kubwa hivi ni kweli mnataka Tanzania ipige hatua? CCM ikikosa kura bwana Nape Nnauye jua na wewe umesababisha chama chako kuangukia pua.

3. Suala la miundombinu hasa barabara, jamani jamani, hapa ndio kichomi kabisa. Barabara zinajengwa kwa kiwango kibovu sababu rushwa zimejaa kwenye tenda lakini pia ni makusudi ili kuwe na matengenezo ya mara kwa mara watu wajipigie hela.

4. Huduma ya maji, hapo kwanza ncheke! Kama hujabambikiwa bili basi maji hakuna, ukibahatisha yamemetoka linakuja vumbi la maana ambalo nalo sio kwamba hulilipii! Yaani ukisimama nchale, ukigeuka nchale ukilala nchale na ukikaa nchake, piga pigo zote mwisho wa siku unaambulia kibuyu.

Je, wewe ni shirika/huduma gani ambayo kila ukiifikiria unasema hapa CCM lazima niile kichwa?
Hapo kwenye maji ndio nachoka maana mimi hulipia bills ya dumu 400 za litre 20 kila mwezi sawa sawa na unit 8 ila nikiangalia hata hayo maji nusu yake simalizi kwa mwezi.😁
 
Hapana aisee! Uchaguzi huu tutalinda kura zetu aisee! Tumechoka haya mateso ya ccm.
Duuu, waliokuwa wanalinda kura si ndio hao waliwekwa ndani kuwa wanataka kuharibu uchaguzi?
 
B.O.T >>Wameshindwa kuja na sera ya kuzuia thamani Tsh kuporomoka

CMSA>>Wameshindwa weka sera ya kushawishi makampuni mengi yawe Public kwenye DSE

NHC>>>>wameshindwa kuja na mradi wa makazi wenye kujenga Vijana Maskini wanaonza maisha.
BOT wanaweza kuja na policies kusaidia shilingi isianguke lakini mwisho wa siku ni uchumi in general ndio utaamua thamani ya shilingi Kwa hiyo Kuna limit wanachoweza kufanya, NHC inaionea bure tuu maana hawana uwezo huo na kiukweli sio kazi yao kujenga vijana, kama serikali inashindwa kulipa mishahara unategemea NHC ijenge nyumba kwa maskini? makampuni yanaingia DSE sio Kwa kushawishiwa na CMSA, yanaingia kama kuna faida na DSE wana vigezo, sio Kila kampuni inaweza kukubaliwa DSE, DSE is capitalist market hakuna siasa pale maana numbers don't lie, dawa ni kuongeza uzalishaji, uongozi mzuri na policies nzuri ndio zitasaidia kukuza uchumi, CCM wamefeli Kila kitu ndio maana nchi maskini sana
 
Tatizo la BOT kushindwa kuimarisha shilingi yetu lipo kwa gavana.

Mhitimu wa Mzumbe kuteuliwa gavana wa BOT ni sawa sawa na kumpa dereva wa bodaboda aendeshe ndege ya abiria, A380.
 
Wakuu swalama?

Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele?

1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule aliyeimbwa na Nakasya Sumari, yaani TANESCO ni zaidi ya garasa, halifai kwa lolote.

2. Ya pili ni huduma ya Intaneti, 1000 unapata MB 450 kwa siku, yaani ukikohoa tu hata hujafungua simu zimeisha! Tupo kwenye ulimwengu ambao bila internet michongo haiendi, halafu tunapata huduma hii kwa gharama kubwa hivi ni kweli mnataka Tanzania ipige hatua? CCM ikikosa kura bwana Nape Nnauye jua na wewe umesababisha chama chako kuangukia pua.

3. Suala la miundombinu hasa barabara, jamani jamani, hapa ndio kichomi kabisa. Barabara zinajengwa kwa kiwango kibovu sababu rushwa zimejaa kwenye tenda lakini pia ni makusudi ili kuwe na matengenezo ya mara kwa mara watu wajipigie hela.

4. Huduma ya maji, hapo kwanza ncheke! Kama hujabambikiwa bili basi maji hakuna, ukibahatisha yamemetoka linakuja vumbi la maana ambalo nalo sio kwamba hulilipii! Yaani ukisimama nchale, ukigeuka nchale ukilala nchale na ukikaa nchake, piga pigo zote mwisho wa siku unaambulia kibuyu.

Je, wewe ni shirika/huduma gani ambayo kila ukiifikiria unasema hapa CCM lazima niile kichwa?
Barabara na Lucas mwashamba
 
Tatizo la BOT kushindwa kuimarisha shilingi yetu lipo kwa gavana.

Mhitimu wa Mzumbe kuteuliwa gavana wa BOT ni sawa sawa na kumpa dereva wa bodaboda aendeshe ndege ya abiria, A380.
Huyo Gavana hata kama angekuwa amesoma Harvard matokeo yangekuwa sawa tuu, uchumi mbovu Kila sekta, nchini haina uzalishaji na wafanyabiashara wakubwa wengi kazi yao kubwa ni kama machinga tuu ya kuuza made in China, energy zero na mpaka siku ukiona tunazalisha at least 10,000MW za umeme ndio uanze Kuwa na matumaini, kilimo zero bado jembe la mkono linatawala, madini imejaa mikataba mibovu, utalii hawawezi hata kukufanya pesa, Elimu ya kukariri isiyo na research yeyote ya maana, safari ni ndefu sana tunahitaji mapinduzi ya fikra na watu wenyewe akili sana
 
Hata Kenya wakati wa KANU walisema wapinzani hawawezi, Leo hii KANU haipo, na Kenya ina uchumi mzuri kuliko wetu. Sishangai ww kuja na dhana potofu.
Huenda nikawa na dhana potofu kwa mtazamo wako. Sidhani kama nimesema wapinzani hawawezi.
Hoja yangu ni kuwa ni wapinzani gani tuwaamini ? Shida inaanzia hapo. Wapinzani wa Kenya na hawa wetu ni tofauti kabisa.
Wapinzani wetu wengi ni mapandikizi hawana jipya ndio maana nikauliza wapinzani gani nadhani ungetaja hao wapinzani tuwatazame kama wanaaminika.
Upinzani wa maana uliishia 2015 baada ya hapo wamerudi nyuma sana.
 
TANROADS NA TAA iko shida kwenye miradi yao,bila kusahau TPA
TPA washapata muwekezaji bado TAA , Licha ya kuwekezwa pesa nyingi ila waanaendesha viwanja vya ndege kwa uwezo mdogo ndio tabu ya kujaza form four .
 
Tatizo la BOT kushindwa kuimarisha shilingi yetu lipo kwa gavana.

Mhitimu wa Mzumbe kuteuliwa gavana wa BOT ni sawa sawa na kumpa dereva wa bodaboda aendeshe ndege ya abiria, A380.
Yupo smart ila hana mazingira mazuri ya kumfanya apindue meza , nchi ya kisiasa mipango ya uchumi ovyo yeye atafanya nn?
 
Maoni yangu
UDART wapewe wawezekaji nadhani suala lipo kweny mchakato.
TAA ( Mmalaka ya viwanja vya ndege) , hii Taasisi ipewe muwekezaji kama walivyofanya zanzibar au waiunganishe na TCAA iwe ni moja , hii Taasisi imejaza watu wa darasa la saba na fomr four kwa vile ilianza 1999 mpaka leo hakuna jipya ..Kiufupi hawataKI kubadilika maslahi duni wakti wanafanya kazi kwa miongozo ya kimataifa.

TANESCO , hawa ndio watu wa ovyo licha ya kusema umeme mwingi ila bado wanakata kitu kileta changamoto kweny kuzorota kwa shughuli nyingi za kiuchumi , kama wangekuwa na umeme wa uhakika mambo mengi yangekuwa safi hata kupunguza gharama za nishati.

NHIF na NSSSF , hawa ndugu matatizo yao yanafanana kushindwa kuweka mbele maslahi ya wachangiaji wao waansimama upande wa serikali.
 
Huenda nikawa na dhana potofu kwa mtazamo wako. Sidhani kama nimesema wapinzani hawawezi.
Hoja yangu ni kuwa ni wapinzani gani tuwaamini ? Shida inaanzia hapo. Wapinzani wa Kenya na hawa wetu ni tofauti kabisa.
Wapinzani wetu wengi ni mapandikizi hawana jipya ndio maana nikauliza wapinzani gani nadhani ungetaja hao wapinzani tuwatazame kama wanaaminika.
Upinzani wa maana uliishia 2015 baada ya hapo wamerudi nyuma sana.
Kwa taarifa yako hata chama kinachotawala Kenya ni tofauti kabisa na kinachotawala hapa kama hoja yako ni tofauti. Kama wapinzani hawawezi, mbona wanaopindua nchi huweza kuziendesha bila kuwa na hizo protocol za vyama vya siasa? Hapo Zambia tulikuwa tunasikia wapinzani hawataweza kuendesha nchi, je Zambia wamekuja kutuomba msaada wa kuendeshewa nchi?
 
Mitaa, vitongoji na vijiji vunjilia mbali maana kazi yao kubwa ni tozo tu
 
Wakuu swalama?

Kuzorota kwa huduma gani au shirika gani kutafanya usiipigie tena kura CCM ikafie mbele?

1. Kwakweli kwangu TANESCO ni namba moja, naashum TANESCO ni mbunge, anafanana na yule aliyeimbwa na Nakasya Sumari, yaani TANESCO ni zaidi ya garasa, halifai kwa lolote.

2. Ya pili ni huduma ya Intaneti, 1000 unapata MB 450 kwa siku, yaani ukikohoa tu hata hujafungua simu zimeisha! Tupo kwenye ulimwengu ambao bila internet michongo haiendi, halafu tunapata huduma hii kwa gharama kubwa hivi ni kweli mnataka Tanzania ipige hatua? CCM ikikosa kura bwana Nape Nnauye jua na wewe umesababisha chama chako kuangukia pua.

3. Suala la miundombinu hasa barabara, jamani jamani, hapa ndio kichomi kabisa. Barabara zinajengwa kwa kiwango kibovu sababu rushwa zimejaa kwenye tenda lakini pia ni makusudi ili kuwe na matengenezo ya mara kwa mara watu wajipigie hela.

4. Huduma ya maji, hapo kwanza ncheke! Kama hujabambikiwa bili basi maji hakuna, ukibahatisha yamemetoka linakuja vumbi la maana ambalo nalo sio kwamba hulilipii! Yaani ukisimama nchale, ukigeuka nchale ukilala nchale na ukikaa nchake, piga pigo zote mwisho wa siku unaambulia kibuyu.

Je, wewe ni shirika/huduma gani ambayo kila ukiifikiria unasema hapa CCM lazima niile kichwa?
TBC
 
Back
Top Bottom