Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna sehemu niliyosema wapinzani hawawezi kuendesha Nchi nimesema ni wapinzani wapi tuwaamini ? Nadhani swala ni kuwataja tu. Wapinzani Nchi hii niKwa taarifa yako hata chama kinachotawala Kenya ni tofauti kabisa na kinachotawala hapa kama hoja yako ni tofauti. Kama wapinzani hawawezi, mbona wanaopindua nchi huweza kuziendesha bila kuwa na hizo protocol za vyama vya siasa? Hapo Zambia tulikuwa tunasikia wapinzani hawataweza kuendesha nchi, je Zambia wamekuja kutuomba msaada wa kuendeshewa nchi?
Hakuna mpinzani atashindwa kuendesha nchi hii.Hakuna sehemu niliyosema wapinzani hawawezi kuendesha Nchi nimesema ni wapinzani wapi tuwaamini ? Nadhani swala ni kuwataja tu. Wapinzani Nchi hii ni
1. ACT Wazalendo
2. CHADEMA
3. CUF
4. TLP n.k sasa je katika hao ni wapinzani wapi unaona wanatufaa ?
Wapi nimesema wapinzani hawawezi kuendesha Nchi ?Hakuna mpinzani atashindwa kuendesha nchi hii.