Kwa taarifa yako hata chama kinachotawala Kenya ni tofauti kabisa na kinachotawala hapa kama hoja yako ni tofauti. Kama wapinzani hawawezi, mbona wanaopindua nchi huweza kuziendesha bila kuwa na hizo protocol za vyama vya siasa? Hapo Zambia tulikuwa tunasikia wapinzani hawataweza kuendesha nchi, je Zambia wamekuja kutuomba msaada wa kuendeshewa nchi?