Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

Serikali haiingilii shughuli za ndani za taasisi za kidini. Huo upotoshaji wako umeshafeli kabla haujaanza
 
Na bado kuna watu wanafuatilia hizo Station? Binafisi nina miaka mingi siangaliahi huo ujinha bora niaangali Move youtube
 
Hayo mapochopocho yatawatokea puani soon wawaulize kina zembwela
 
Yaani TEC inavyojibaraguza unaweza kudhani wanawagawia Unga sukari na Mboga waumini wao.

Kumbe hata mtoto wamuumuni aliekosa ada anafukuzwa kwenye shule zao.
 
Mnajitekenya kucheka,waraka umeshasomwa hata kabla haujatoka.

Walitumia kuwaambia wana jumuia lakini wengine wanasema haya mambo ya siasa kwenye dini hawayataki.

Waumini wanalala njaa,Maaskofu wanakuka na kusaza.
Unadhani nirahisi kuwashawishi kupigania maslahi ya watu wachache
 
Ni wakati Sasa neppy ajue ukubwa wa kanisa katoliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…