Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Serikali haiingilii shughuli za ndani za taasisi za kidini. Huo upotoshaji wako umeshafeli kabla haujaanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusikiliza warakaKesho kama kawaida misa ya kwanza.
Bila shaka alitishwa , ila huyo kijana ni mamluki waoMillardayo alipost na kufuta nikajua atakuwa alipokea maelekezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumshukuru MUNGU kwa mema yote anayonitendea na anayolitendea taifa
Hii imeenda, Hii imeenda, Hii imeenda!!Dunia a leo bado unasikiliza radio. Tv na magazeti? Ujumbe umeshfika mapema sana.
View attachment 2721987
Uchafu Huo Kobas aliyejiunganishia majina ya wazungu.Mkuu una undugu na Sir Elton John??
Asali naona imekukoleaKasomeaneni makanisani ikibidi muongeze iwe sehemu ya maombi kabisa. Serikali haina dini.
Hayo mapochopocho yatawatokea puani soon wawaulize kina zembwelaKatika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye.
Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini ni njaa kali, kwa hii serikali ya wala rushwa na mafisadi yanayokula kwa urefu wa kamba zao wanawaambia waandishi wa habari chagua moja au ULE na sisi ukubali uwe chawa wa mama au UFE njaa na watanzania wenzako kwa kutete maslahi mapana ya TAIFA.
Waandishi wa habari walio wengi na vyombo vya habari ving vimechagua kula mapochopocho ya mafisadi ya awamu ya sita kuwa sharti moja tu. Hakuna Kuisema vibaya serikali hii.
Ndio maana waziri wa Habari nape anakuwa na jeuri ya kuvipangia vyombo vya habari, habari gani iripotiwe na habari gani isiripotiwe kwenye vyombo vya habari.
Kwa hili la WARAKA WA MAASKOFU vyombo vya habari vimejidhalilisha sana.
Dunia a leo bado unasikiliza radio. Tv na magazeti? Ujumbe umeshfika mapema sana.
View attachment 2721987
😃😃😃😃😃😃😃 Nimecheka sana hii postDunia a leo bado unasikiliza radio. Tv na magazeti? Ujumbe umeshfika mapema sana.
View attachment 2721987