Kuzuiliwa kwa maandamano ya CHADEMA yaleta taswira tofauti kwa Rais Samia kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!

Kuzuiliwa kwa maandamano ya CHADEMA yaleta taswira tofauti kwa Rais Samia kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Naona Firstpost hawataki mchezo.

Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba.

Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina.
===================
Leaders of Tanzania's main opposition CHADEMA party were among 14 members briefly arrested in Dar es Salaam as police attempted to block a banned demonstration against President Samia Suluhu Hassan's government. CHADEMA said that its chairman, Freeman Mbowe, was taken into custody as he was preparing to lead a peaceful protest against alleged killings and abductions of government critics in recent times. As Opposition leaders were detained in Dar es Salaam, President Hassan was seen enjoying a traditional game of Mancala in the country's south. Her indifference to the crackdown on Opposition was widely slammed on social media.


View: https://youtu.be/Wbz-fr_Qy2A?si=wGWGEHVM_BsM1s6s
 
Dah
20240910_144517.jpg
 
Mnamuonea HURUMA mwenzenu aliisha pata pa kukimbilia, Siku hizi haendi nchi za ULAYA tena. Utamsikia CHINA,RUSSIA, UAE na nchi za mlengo huo.

Ulaya na Amerika wanatumwa wawakilishi kama enzi zile za mwenda zake, tulikuwa tuna muona ziara za nje ni Samia.

Sasa tumenza kumuona Dotto Biteko, Majaliwa na Mpango wakimuwakilisha kwa sana.
 
Wenzake ndani ya chama kimyaaaa, inawezekana wameshaona possibility 🤣
Hili nimeliona hasa Katibu Mkuu kajiweka mbali na siasa za chuki na uonevu.

Sasa nimeanza kuelewa kwanini Comrade Kinana aliamua kujiweka kando.

Hizi siasa za kina Bashite tulianza kuzisahau ghafla amekuwa star.

Nahisi kuna kikundi kinampeleka nginja nginja tunarejea taratibu siasa za Mwendazake.
 
Kwa anavyopenda kusafiri kwenda viwanja, naamini kabisa safari ya UN kachomoa kutokana na kinachojiri nchini.

Hawezi kukabiliana na maswali magumu ya international media.
That's the point. Lazima tu angehojiwa kuhusu hii crackdown, abductions and killings. Na ile kauli kuwa yeye huwa hatumi balozi kuhoji angeombwa kuitolea maelezo sijui angeongea nini. Ngoja tuone mwakilishi wake kama watambana.
 
Ni aibu sana mwanamke kuwa dikteta kuwazidi madikteta wote duniani.
Hajawahi kuwa dikteta

Lazima afinye kidogo…. Wabongo ukituchekea tutakunyea hadi mdomoni

Failed maandamano yametokana na kukosa watu

If people were on streets, yangrendelea tu
 
Hajawahi kuwa dikteta

Lazima afinye kidogo…. Wabongo ukituchekea tutakunyea hadi mdomoni

Failed maandamano yametokana na kukosa watu

If people were on streets, yangrendelea tu
Umevembewa upumbavu sasa tumbo limekujaa gas na imekubana vilivyo ekzosti peke yake haitoshi sasa inatokea na mdomoni na nyingine ime spill into brain pole sana
 
Back
Top Bottom