Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubaya wa Mama Samia upo miongoni mwa watu wachache sana mlio kwenye baadhi ya mitandao.Samia asipojiangalia na kujirudi, ataishia kuwa pariah anayeepuka mikusanyiko ya kimataifa ya viongozi.
Naona Firstpost hawataki mchezo.
Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba.
Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina.
===================
Leaders of Tanzania's main opposition CHADEMA party were among 14 members briefly arrested in Dar es Salaam as police attempted to block a banned demonstration against President Samia Suluhu Hassan's government. CHADEMA said that its chairman, Freeman Mbowe, was taken into custody as he was preparing to lead a peaceful protest against alleged killings and abductions of government critics in recent times. As Opposition leaders were detained in Dar es Salaam, President Hassan was seen enjoying a traditional game of Mancala in the country's south. Her indifference to the crackdown on Opposition was widely slammed on social media.
View: https://youtu.be/Wbz-fr_Qy2A?si=wGWGEHVM_BsM1s6s
Ficha upumbav wako ,Ni aibu sana mwanamke kuwa dikteta kuwazidi madikteta wote duniani.
Unaposema mkoani una maanisha huo mkoa uko Kenya au ?Wenzake wako UNGA yeye kakimbilia mkoani kuzindua stoo ya nafaka
Naona Firstpost hawataki mchezo.
Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba.
Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina.
===================
Leaders of Tanzania's main opposition CHADEMA party were among 14 members briefly arrested in Dar es Salaam as police attempted to block a banned demonstration against President Samia Suluhu Hassan's government. CHADEMA said that its chairman, Freeman Mbowe, was taken into custody as he was preparing to lead a peaceful protest against alleged killings and abductions of government critics in recent times. As Opposition leaders were detained in Dar es Salaam, President Hassan was seen enjoying a traditional game of Mancala in the country's south. Her indifference to the crackdown on Opposition was widely slammed on social media.
View: https://youtu.be/Wbz-fr_Qy2A?si=wGWGEHVM_BsM1s6s
Naona Firstpost hawataki mchezo.
Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba.
Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina.
===================
Leaders of Tanzania's main opposition CHADEMA party were among 14 members briefly arrested in Dar es Salaam as police attempted to block a banned demonstration against President Samia Suluhu Hassan's government. CHADEMA said that its chairman, Freeman Mbowe, was taken into custody as he was preparing to lead a peaceful protest against alleged killings and abductions of government critics in recent times. As Opposition leaders were detained in Dar es Salaam, President Hassan was seen enjoying a traditional game of Mancala in the country's south. Her indifference to the crackdown on Opposition was widely slammed on social media.
View: https://youtu.be/Wbz-fr_Qy2A?si=wGWGEHVM_BsM1s6s
Wapi nimesema Kenya we jamaa? Nimesema mkoani. Ruvuma ni mkoa. So ni mkoani kama mikoa mingine. Wewe fanya kazi tuache majobless tuhangaike mitandaoniUnaposema mkoani una maanisha huo mkoa uko Kenya au ?
Acheni rais afanye kazi na sie tufanye kazi
Naona Firstpost hawataki mchezo.
Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba.
Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina.
===================
Leaders of Tanzania's main opposition CHADEMA party were among 14 members briefly arrested in Dar es Salaam as police attempted to block a banned demonstration against President Samia Suluhu Hassan's government. CHADEMA said that its chairman, Freeman Mbowe, was taken into custody as he was preparing to lead a peaceful protest against alleged killings and abductions of government critics in recent times. As Opposition leaders were detained in Dar es Salaam, President Hassan was seen enjoying a traditional game of Mancala in the country's south. Her indifference to the crackdown on Opposition was widely slammed on social media.
View: https://youtu.be/Wbz-fr_Qy2A?si=wGWGEHVM_BsM1s6s
Toa upumbavu wakoFicha upumbav wako ,
Ko kufinya sio udiktetaHajawahi kuwa dikteta
Lazima afinye kidogo…. Wabongo ukituchekea tutakunyea hadi mdomoni
Failed maandamano yametokana na kukosa watu
If people were on streets, yangrendelea tu
It is insane idea to believe that all these shits happens spontaneoslyTaking on opposition is a planned attack, but so far three attacks.
The first attack was in Mbeya when all opposition party of Chadema were attending a meeting in preparation of International Youth Day on 12 August as they have their own youth wing BAVICHA.
Then came the second brutal attack when one of their leaders and strategist Mzee Omary Kibao was abducted from inside the bus which was traveling to Tanga in North East. The paramilitary force which is believed to have affiliation with government or state apparatus was believed to be behind the kidnaping, torturing and murder of Mzee Kibao.
Then came the third attack on last Sunday when the police in Dar-es-Salaam targeted Chadema main leaders Chairman Freeman Mbowe and his vice chairman Tundu Lissu.
All these wave of arrests point to pre-election crackdown or trial period as CCM is preparing for next year presidential and parliamentarians elections, this is used as trial run for local government elections which are due to take place between October and November this year.
President Samia who called herself as a reformer following the death of John Magufuli, has yet to fulfil her promise of reforms by allowing political parties level playing field despite releasing Mbowe from prison and changing repressive laws on media imposed by her predecessor.
President Samia has two major problems one, is failing to implement substantive political reforms in which political parties will be able to set their agendas and execute their plans to electorate freely without intimidations from her security apparatus.
Secondly, her struggle within the ruling party CCM to asset herself as their truly leader and consolidate her grip on presidency by honing with the party hardliners who had supported the late John Magufuli.
So, its a double knock effect of the vacuum left by late Magufuli which has been seized by hardliners who want to challenge her authority and her running for presidency next year and also the opposition who are trying so hard to derail her campaign which so far she has failed to initiate.
The results of all these are there for all of us to see, that her team different groups and beneficiary of her regime to stop those challenges they see as sabotage for her running for presidency by attacking the opposition and at the same time to stamp her authority.
Actions speaks louder than wordsView attachment 3105912
Kwisha habari yake
Atapata anachokitalaHili nimeliona hasa Katibu Mkuu kajiweka mbali na siasa za chuki na uonevu.
Sasa nimeanza kuelewa kwanini Comrade Kinana aliamua kujiweka kando.
Hizi siasa za kina Bashite tulianza kuzisahau ghafla amekuwa star.
Nahisi kuna kikundi kinampeleka nginja nginja tunarejea taratibu siasa za Mwendazake.
And that's exactly what I have just explained.It is insane idea to believe that all these shits happens spontaneosly
I mean without a bark from the top dog
Hujielewi. Nchi huru bajet inategemea mikopo. FantaWewe kichwani tope tupu, bila mzungu hakuna mshahara utalipwa na hayo magari ya wizi hapo mtapack Kwa kukosa mafuta, hakuna nchi huru hapo ni utoporo tuu
Mambo yanajirudia yale yale i dont know km tunawashauri wa raisi au tunawatu wa ndio. As a country bado tunafeli pakubwa mno yani huwezi maliza rai wote wanaokukosoa since mama ameingia alianza vzuri naona sasa hv keshakua hataki la kusikia wala la kuambiwa yale yale ya professa asad unakuta mtu kiongozi hajui afanye nnMnamuonea HURUMA mwenzenu aliisha pata pa kukimbilia, Siku hizi haendi nchi za ULAYA tena. Utamsikia CHINA,RUSSIA, UAE na nchi za mlengo huo.
Ulaya na Amerika wanatumwa wawakilishi kama enzi zile za mwenda zake, tulikuwa tuna muona ziara za nje ni Samia.
Sasa tumenza kumuona Dotto Biteko, Majaliwa na Mpango wakimuwakilisha kwa sana.
Madaraka matamu sana, Hasa haya ya kulazimisha na kudanganya umma kwamba wameshinda kwa kishindo. Wanaimba demokrasia lakini hawataki demokrasia.Mambo yanajirudia yale yale i dont know km tunawashauri wa raisi au tunawatu wa ndio. As a country bado tunafeli pakubwa mno yani huwezi maliza rai wote wanaokukosoa since mama ameingia alianza vzuri naona sasa hv keshakua hataki la kusikia wala la kuambiwa yale yale ya professa asad unakuta mtu kiongozi hajui afanye nn
Ni upumbavu tu!Ni aibu sana mwanamke kuwa dikteta kuwazidi madikteta wote duniani.