Kuzuiliwa kwa maandamano ya CHADEMA yaleta taswira tofauti kwa Rais Samia kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!

Samia hawezi tena kukanyaga ulaya na USA halafu atarajie kukutana na friendly media,suluhisho ni ziara za mikoani kuzindua stoo za nafaka tu.
 
Naona Firstpost hawataki mchezo.

Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba.

Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina.
===================
Leaders of Tanzania's main opposition CHADEMA party were among 14 members briefly arrested in Dar es Salaam as police attempted to block a banned demonstration against President Samia Suluhu Hassan's government. CHADEMA said that its chairman, Freeman Mbowe, was taken into custody as he was preparing to lead a peaceful protest against alleged killings and abductions of government critics in recent times. As Opposition leaders were detained in Dar es Salaam, President Hassan was seen enjoying a traditional game of Mancala in the country's south. Her indifference to the crackdown on Opposition was widely slammed on social media.

View: https://youtu.be/Wbz-fr_Qy2A?si=wGWGEHVM_BsM1s6s

Safi sana , Mabeberu na vibaraka wao Bado hawajasema Hadi waseme.

Ni kawaida Kwa 🇹🇿 kuwa na Viongozi wanaogonga headlines Kimataifa,huu ni Mwanzo Bado dhahama inakuja
 
Naona Firstpost hawataki mchezo.

Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba.

Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina.
===================
Leaders of Tanzania's main opposition CHADEMA party were among 14 members briefly arrested in Dar es Salaam as police attempted to block a banned demonstration against President Samia Suluhu Hassan's government. CHADEMA said that its chairman, Freeman Mbowe, was taken into custody as he was preparing to lead a peaceful protest against alleged killings and abductions of government critics in recent times. As Opposition leaders were detained in Dar es Salaam, President Hassan was seen enjoying a traditional game of Mancala in the country's south. Her indifference to the crackdown on Opposition was widely slammed on social media.

View: https://youtu.be/Wbz-fr_Qy2A?si=wGWGEHVM_BsM1s6s

Mda wa kutafuta

Hao wakimataifa yakwao yanawashinda ,,hakuna sehem kwenye siasa safi
Huko marekani mnapopasujudia wameshaua rais wao 2 kama sio 3 na mgombea uraisi Trump Mara mbili kakoswa kuliwa kichwa
Nchi hio itakufunza vipi democracy?
 
Unaposema mkoani una maanisha huo mkoa uko Kenya au ?
Acheni rais afanye kazi na sie tufanye kazi
Wapi nimesema Kenya we jamaa? Nimesema mkoani. Ruvuma ni mkoa. So ni mkoani kama mikoa mingine. Wewe fanya kazi tuache majobless tuhangaike mitandaoni
 
Naona Firstpost hawataki mchezo.

Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba.

Asipoangalia na kujirudi ataishia kuwekwa kwenye kundi moja na akina Sheikh Hasina.
===================
Leaders of Tanzania's main opposition CHADEMA party were among 14 members briefly arrested in Dar es Salaam as police attempted to block a banned demonstration against President Samia Suluhu Hassan's government. CHADEMA said that its chairman, Freeman Mbowe, was taken into custody as he was preparing to lead a peaceful protest against alleged killings and abductions of government critics in recent times. As Opposition leaders were detained in Dar es Salaam, President Hassan was seen enjoying a traditional game of Mancala in the country's south. Her indifference to the crackdown on Opposition was widely slammed on social media.

View: https://youtu.be/Wbz-fr_Qy2A?si=wGWGEHVM_BsM1s6s

Taking on opposition is a planned attack, but so far three attacks.

The first attack was in Mbeya when all opposition party of Chadema were attending a meeting in preparation of International Youth Day on 12 August as they have their own youth wing BAVICHA.

Then came the second brutal attack when one of their leaders and strategist Mzee Omary Kibao was abducted from inside the bus which was traveling to Tanga in North East. The paramilitary force which is believed to have affiliation with government or state apparatus was believed to be behind the kidnaping, torturing and murder of Mzee Kibao.

Then came the third attack on last Sunday when the police in Dar-es-Salaam targeted Chadema main leaders Chairman Freeman Mbowe and his vice chairman Tundu Lissu.

All these wave of arrests point to pre-election crackdown or trial period as CCM is preparing for next year presidential and parliamentarians elections, this is used as trial run for local government elections which are due to take place between October and November this year.

President Samia who called herself as a reformer following the death of John Magufuli, has yet to fulfil her promise of reforms by allowing political parties level playing field despite releasing Mbowe from prison and changing repressive laws on media imposed by her predecessor.

President Samia has two major problems one, is failing to implement substantive political reforms in which political parties will be able to set their agendas and execute their plans to electorate freely without intimidations from her security apparatus.

Secondly, her struggle within the ruling party CCM to asset herself as their truly leader and consolidate her grip on presidency by honing with the party hardliners who had supported the late John Magufuli.

So, its a double knock effect of the vacuum left by late Magufuli which has been seized by hardliners who want to challenge her authority and her running for presidency next year and also the opposition who are trying so hard to derail her campaign which so far she has failed to initiate.

The results of all these are there for all of us to see, that her team different groups and beneficiary of her regime to stop those challenges they see as sabotage for her running for presidency by attacking the opposition and at the same time to stamp her authority.
 
Hajawahi kuwa dikteta

Lazima afinye kidogo…. Wabongo ukituchekea tutakunyea hadi mdomoni

Failed maandamano yametokana na kukosa watu

If people were on streets, yangrendelea tu
Ko kufinya sio udikteta
 
It is insane idea to believe that all these shits happens spontaneosly

I mean without a bark from the top dog
 
Hili nimeliona hasa Katibu Mkuu kajiweka mbali na siasa za chuki na uonevu.

Sasa nimeanza kuelewa kwanini Comrade Kinana aliamua kujiweka kando.

Hizi siasa za kina Bashite tulianza kuzisahau ghafla amekuwa star.

Nahisi kuna kikundi kinampeleka nginja nginja tunarejea taratibu siasa za Mwendazake.
Atapata anachokitala
 
Wewe kichwani tope tupu, bila mzungu hakuna mshahara utalipwa na hayo magari ya wizi hapo mtapack Kwa kukosa mafuta, hakuna nchi huru hapo ni utoporo tuu
Hujielewi. Nchi huru bajet inategemea mikopo. Fanta
 
Mnamuonea HURUMA mwenzenu aliisha pata pa kukimbilia, Siku hizi haendi nchi za ULAYA tena. Utamsikia CHINA,RUSSIA, UAE na nchi za mlengo huo.

Ulaya na Amerika wanatumwa wawakilishi kama enzi zile za mwenda zake, tulikuwa tuna muona ziara za nje ni Samia.

Sasa tumenza kumuona Dotto Biteko, Majaliwa na Mpango wakimuwakilisha kwa sana.
Mambo yanajirudia yale yale i dont know km tunawashauri wa raisi au tunawatu wa ndio. As a country bado tunafeli pakubwa mno yani huwezi maliza rai wote wanaokukosoa since mama ameingia alianza vzuri naona sasa hv keshakua hataki la kusikia wala la kuambiwa yale yale ya professa asad unakuta mtu kiongozi hajui afanye nn
 
Madaraka matamu sana, Hasa haya ya kulazimisha na kudanganya umma kwamba wameshinda kwa kishindo. Wanaimba demokrasia lakini hawataki demokrasia.

Hawataki kufuata haki, wanalazimisha TAMISEMI wasimamie UCHAGUZI wakati tunayo Tume ya Uchaguzi. Na kwanini basi hata wasinge toa hayo mamlaka kwa Wizara ya sheria na katiba badala yake wanalazimisha TAMISEMI, siyo kwamba wao wizara ya sheria na katiba wana haki, lakini inge leta mantiki japo kidogo.

Wakubali uchaguzi huru tuone ushindi wa kishindo.
 
Back
Top Bottom