Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Hata kama hawatapata kura za kutosha naomba tume na Magufuli tumieni hekima yenu ili wabunge wagombea wafuatao kutoka vyama vya upinzani warudi bungeni. Hili litasababisha nchi yetu kuchangamka kimijadala na pia kufanya selikali isilale.
Itakuwa ni bahati mbaya sana tukikosa kabisa wabunge wa kufanya amsha amsha kwa maendeleo ya taifa letu.
Najua hawa watu hupinga kila kitu ila kwa afya tu ya demokrasia naomba wanachi wa maeneo haya wapigieni kura kwa wingi ili taifa letu lisiwe kama la mabubu hapo baaada ya Oktoba hii:
1. Sugu
2. Joseph Haule
3. Msigwa
4. Mbowe
5. Lema
6. Upendo Peneza
7. Bulaya
8. Mdee
9. Wenje
10. Heche
11. Devotha Minja
12. Ester Matiko
13. Zitto
Nawaombeni sana Tume na Magufuli hawa watu hata wakipata kura kidogo wapelekeni bungeni. Najua hili hata usalama wa taifa watalizingatia sana.
Najua Majimbo mengine nje ya hao nliowataja CHADEMA hawatapata mbunge hata mmoja hivyo kupita kwao hawa taifa letu litachangamka sana kwenye mijadala mbalimbali.
Na pia mtaisaidia CHADEMA kusavaivu kwenye ruzuku maana Lissu hana nguvu ya kupata kura nyingi kama zile za EL 2015, au mnataka CCM huku bara wabaki peke yao?
Shukrani.