Uchaguzi 2020 Kwa afya ya Demokrasia nawaombea kwa Magufuli Wagombea wafuatao warudi bungeni

Uchaguzi 2020 Kwa afya ya Demokrasia nawaombea kwa Magufuli Wagombea wafuatao warudi bungeni

Mkuu wengi hapo wameshapiga yao 10 bado tu unataka waendelee,

Kwanini wasiachie vijana nao tukasikia mawazo yao kwa maana ya kwao tumeshayapata.

Hivi kwanini waafrika tunapenda sana kung'angania madaraka,

Wapeni vijana nafasi, alaa.
 
Nimekumbuka Ile katuni ya Hadi yeye Rais, yeye Polisi, yeye hakimu SASA hivi Naona yeye ameshakuwa Tume pia mpiga Kura.
 
Mkuu wengi hapo wameshapiga yao 10 bado tu unataka waendelee,

Kwanini wasiachie vijana nao tukasikia mawazo yao kwa maana ya kwao tumeshayapata.

Hivi kwanini waafrika tunapenda sana kung'angania madaraka,

Wapeni vijana nafasi, alaa.
 
Kama wananchi hawatawachagua Tume, usalama na raisi hawana watakaloweza.

Acha kudanganya watu kuwa kuna linalowezekana kufanyika nje ya utaratibu na katiba. Ujinga.
 
Huu ubwege sasa who is Magufuli to apportion who to be in the parliamentary house?
 
Mkuu wengi hapo wameshapiga yao 10 bado tu unataka waendelee,

Kwanini wasiachie vijana nao tukasikia mawazo yao kwa maana ya kwao tumeshayapata.

Hivi kwanini waafrika tunapenda sana kung'angania madaraka,

Wapeni vijana nafasi, alaa.
 
Mkuu wengi hapo wameshapiga yao 10 bado tu unataka waendelee,

Kwanini wasiachie vijana nao tukasikia mawazo yao kwa maana ya kwao tumeshayapata.

Hivi kwanini waafrika tunapenda sana kung'angania madaraka,

Wapeni vijana nafasi, alaa.
 
BAVICHA utawajua tu,,
Kaweka wote wa CHADEMA
Alafu amekwepa
Kwa Mbatia
Selemani Said Bungala( bwege
Maftah na Chuma
Magdalena Hamisi Sakaya
Yeye kaona uzalendo ni kuweka wabunge wa CHADEMA badala ya kusema wabunge wa upinzani..
 
Kwahiyo unamaanisha hekima ya Magufuli na tume ni kuiba kura??

Sanduku lisinajisiwe, wananchi wachague viongozi wanaowataka. Awe wa CDM/CCM/ACT/CHAUMA/NCCR/CUF akishinda kihalali atangazwe, akishindwa akae kando.
 
Nashindwa kuelewa tume inaingiaje hapa (labda kama unatuambia tume ina mbinu za kumfanya mtu aliyeshindwa ashinde (LoL)). Tume kazi yake ni kusimamia uchaguzi (mchakato) huru na wa haki. Wananchi wao wana amua. Raisi anayechaguliwa ana viti 10 tu kwa likatiba hili libovu, kumbuka nae ana watu wake ambao sio wanasiasa lakini anataka kuwatumia bungeni au kiuwaziri. Sasa kama JPM ndiye atakae shinda ni wazi ombi lako haliwezi kufanikiwa kwani toka achaguliwe ameonyesha nia ya, na vitendo vya, wazi vya kuitenga na kuihujumu CDM. Kwa ufupi tamanio lako halina uhalisia na unalijua hilo. Hayo mengine uliyo andika ni kuendeeza kejeli zako kwa CDM.
 
CCM mmewaponza kila Lijua...... afu mkawafix kwamba eti NCCR itakuwa chama kikuu cha upinzani..aisee nyie mna dhambi nyingi....!!
 
Kwahiyo unakiri kuwa kupata ubunge nchi hii ni mpaka Magufuli apende?
Unajisikuaje unapokuwa na reality kama hii.
 
Unataka kusema Magufuli ndo anaamua nani arudi bungeni na nani kama ni hivyo huu uchaguzi unaosababisha watu waache kazi na kwenda kumsikiliza Magufuli pale taifa ni wa nini sasa?
Magufuli si angeteua tu nani awe mbunge wa wapi na nani asiwe? Kama CCM huko watu mnafikiria hivi,then I think CCM is now a group foolish individuals
Nchi imeshaharibika hii.

Ushindi wa ccm siyo ushawishi wa kisiasa tena bali ubabe wa Magufuli.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama wewe unajiita una akili sana lakini umeahindwa kuelewa mada unataka mimi nikusaidie vipi?

Nani kasema Magu ndio anapanga?

Nmesema wasipopata kura za kutosha yeye kama rais atumie busara yake kwa uhai wa democrasia!

Sasa hujaelewa nini hapo?
Mtu asipopata kura za kutosha maana yake nini wewe kilaza?huoni unaendelea kuendekeza utopolo wako?by the way nadrive from moro to ila maeneo ambayo huwezi kukosa mapolice, leo hawapo,je wallenda kuongea idadi ta vichwa taifa?
 
Back
Top Bottom