Uchaguzi 2020 Kwa afya ya Demokrasia nawaombea kwa Magufuli Wagombea wafuatao warudi bungeni

Hata kama hawatapata kura za kutosha naomba tume na Magufuli tumieni hekima yenu ili wabunge wagombea wafuatao kutoka vyama vya upinzani warudi bungeni. Hili litasababisha nchi yetu kuchangamka kimijadala na pia kufanya selikali isilale.

Itakuwa ni bahati mbaya sana tukikosa kabisa wabunge wa kufanya amsha amsha kwa maendeleo ya taifa letu.

Najua hawa watu hupinga kila kitu ila kwa afya tu ya demokrasia naomba wanachi wa maeneo haya wapigieni kura kwa wingi ili taifa letu lisiwe kama la mabubu hapo baaada ya Oktoba hii:

1. Sugu
2. Joseph Haule
3. Msigwa
4. Mbowe
5. Lema
6. Upendo Peneza
7. Bulaya
8. Mdee
9. Wenje
10. Heche
11. Devotha Minja
12. Ester Matiko
13. Zitto

Nawaombeni sana Tume na Magufuli hawa watu hata wakipata kura kidogo wapelekeni bungeni. Najua hili hata usalama wa taifa watalizingatia sana.

Najua Majimbo mengine nje ya hao nliowataja CHADEMA hawatapata mbunge hata mmoja hivyo kupita kwao hawa taifa letu litachangamka sana kwenye mijadala mbalimbali.

Na pia mtaisaidia CHADEMA kusavaivu kwenye ruzuku maana Lissu hana nguvu ya kupata kura nyingi kama zile za EL 2015, au mnataka CCM huku bara wabaki peke yao?

Shukrani.
Crimea kura zispotosha watateuliwa. Serikali ina kazi nyingi sana
Nina uhakika wataunga mkono juhudi zetu

Na maendeleo hayana chama
 
Hata kama hawatapata kura za kutosha naomba tume na Magufuli tumieni hekima yenu ili wabunge wagombea wafuatao kutoka vyama vya upinzani warudi bungeni. Hili litasababisha nchi yetu kuchangamka kimijadala na pia kufanya selikali isilale.

Itakuwa ni bahati mbaya sana tukikosa kabisa wabunge wa kufanya amsha amsha kwa maendeleo ya taifa letu.

Najua hawa watu hupinga kila kitu ila kwa afya tu ya demokrasia naomba wanachi wa maeneo haya wapigieni kura kwa wingi ili taifa letu lisiwe kama la mabubu hapo baaada ya Oktoba hii:

1. Sugu
2. Joseph Haule
3. Msigwa
4. Mbowe
5. Lema
6. Upendo Peneza
7. Bulaya
8. Mdee
9. Wenje
10. Heche
11. Devotha Minja
12. Ester Matiko
13. Zitto

Nawaombeni sana Tume na Magufuli hawa watu hata wakipata kura kidogo wapelekeni bungeni. Najua hili hata usalama wa taifa watalizingatia sana.

Najua Majimbo mengine nje ya hao nliowataja CHADEMA hawatapata mbunge hata mmoja hivyo kupita kwao hawa taifa letu litachangamka sana kwenye mijadala mbalimbali.

Na pia mtaisaidia CHADEMA kusavaivu kwenye ruzuku maana Lissu hana nguvu ya kupata kura nyingi kama zile za EL 2015, au mnataka CCM huku bara wabaki peke yao?

Shukrani.

Hao ndiyo wamepita bila kupingwa indirect kwahiyo ni 20:13 hadi sasa
 
B

Bora umeeleza ukweli. Jiwe ndo anaamua nani anaingia bungeni na nani anagota. Uchaguzi ni gelesha tu!
Sometimes mnampa jiwe sifa asizostahili.uwezo huo hana,kwanza hata yeye hatima yale haijui sasa anawezaje amua hatima ya watu wengine?lakini pia kama ana uwezo huu mnaompa hapa,basi itakuwa ni kweli dish lake limeyumba,maana mama yeye ndo anaamua wakati huu akiamua mamilioni ya pesa za walipa kodi ziteketezwe, kama si uendawazimu ni nini?
 
Hata kama hawatapata kura za kutosha naomba tume na Magufuli tumieni hekima yenu ili wabunge wagombea wafuatao kutoka vyama vya upinzani warudi bungeni. Hili litasababisha nchi yetu kuchangamka kimijadala na pia kufanya selikali isilale.

Itakuwa ni bahati mbaya sana tukikosa kabisa wabunge wa kufanya amsha amsha kwa maendeleo ya taifa letu.

Najua hawa watu hupinga kila kitu ila kwa afya tu ya demokrasia naomba wanachi wa maeneo haya wapigieni kura kwa wingi ili taifa letu lisiwe kama la mabubu hapo baaada ya Oktoba hii:

1. Sugu
2. Joseph Haule
3. Msigwa
4. Mbowe
5. Lema
6. Upendo Peneza
7. Bulaya
8. Mdee
9. Wenje
10. Heche
11. Devotha Minja
12. Ester Matiko
13. Zitto

Nawaombeni sana Tume na Magufuli hawa watu hata wakipata kura kidogo wapelekeni bungeni. Najua hili hata usalama wa taifa watalizingatia sana.

Najua Majimbo mengine nje ya hao nliowataja CHADEMA hawatapata mbunge hata mmoja hivyo kupita kwao hawa taifa letu litachangamka sana kwenye mijadala mbalimbali.

Na pia mtaisaidia CHADEMA kusavaivu kwenye ruzuku maana Lissu hana nguvu ya kupata kura nyingi kama zile za EL 2015, au mnataka CCM huku bara wabaki peke yao?

Shukrani.
Nikupe gari, nyumba, nikulipe mshahara alafu umtangaze mpinzani
 
Ndio maana nikakwambia mwaka huu hawa warudi maana wasiporudi hali itakuwa mbaya zaidi
Ni kweli, wasiporudi Hali itakuwa mbaya Sana kwa wanyonge.

Huoni unamuaibisha mtetezi wa wanyonge?
 
Back
Top Bottom