Uchaguzi 2020 Kwa afya ya Demokrasia nawaombea kwa Magufuli Wagombea wafuatao warudi bungeni

Wengine ni pumbafupumbafu tu!
1. Sugu
2. Joseph Haule
3. Msigwa
4. Mbowe
5. Lema

6. Upendo Peneza ☑️
7. Bulaya
8. Mdee
9. Wenje ☑️
10. Heche ☑️
11. Devotha Minja ☑️
12. Ester Matiko
13. Zitto
 
Wee jamaa niliwahi kukwambia kuwa huna akili hata kidogo. Ulichoandika kinadhihirisha jinsi ulivyo zuzu na hii inahakisi jamii nzima ya mnaoshabikiana.

Watu kama wewe ikitokea mkafa basi nchi itakuwa imepata faida kubwa sana.
Sasa kama unapanic hivi bila kuelewa hoja iliyopo unataka mimi nikusaidieje?
 
Siku hizi wabunge kumbe wanaombewa kwa Magufuli na Tume siyo wanachaguliwa na wananchi kwenye sanduku la kura kama haya uliyo andika ni kweli basi ni aibu sana kwa nchi yetu.
 
Sasa kama unapanic hivi bila kuelewa hoja iliyopo unataka mimi nilusaidieje?
Sasa hapo napanic vipi na hoja yako ya kipuuzi? Watu kama wewe sina shida nao maana najua wanalilia matumbo yao. Au wewe unajiona kuwa umetoa hoja sana nini?
 
Sasa hapo napanic vipi na hoja yako ya kipuuzi? Watu kama wewe sina shida nao maana najua wanalilia matumbo yao. Au wewe unajiona kuwa umetoa hoja sana nini?
Sasa kama huoni hoja na iko wazi kabisa unataka mimi nikusaidieje?
 
Siku hizi wabunge kumbe wanaombewa kwa Magufuli na Tume siyo wanachaguliwa na wananchi kwenye sanduku la kura kama haya uliyo andika ni kweli basi ni aibu sana kwa nchi yetu.
Hujasoma mada yote!

Nmesema wasipopata kura za kutosha.
 
Upendo peneza, ester Mariko, na Ezekiel Wenje ni choice nzuri Sana, Wana reasoning nzuri Sana katika kuchangia hoja, BULAYA na MDEE Pia wako vizuri but nadhani mmoja wao au wote wasiwe mjengoni at the same time..it is becoming too obvious now.
 
Unataka kusema Magufuli ndo anaamua nani arudi bungeni na nani kama ni hivyo huu uchaguzi unaosababisha watu waache kazi na kwenda kumsikiliza Magufuli pale taifa ni wa nini sasa?
Magufuli si angeteua tu nani awe mbunge wa wapi na nani asiwe? Kama CCM huko watu mnafikiria hivi,then I think CCM is now a group foolish individuals
 
Sasa kama wewe unajiita una akili sana lakini umeahindwa kuelewa mada unataka mimi nikusaidie vipi?

Nani kasema Magu ndio anapanga?

Nmesema wasipopata kura za kutosha yeye kama rais atumie busara yake kwa uhai wa democrasia!

Sasa hujaelewa nini hapo?
 
Inatakiwa asirud mbunge wa upinzani hata mmoja ili spika akileta mswad wa rais kutawala milele upite bila kupingwa.
[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
 
Mzee ukiona hivyo ujue ndio wanayo yapanga kuwa flani hawezi ludi ata akishinda huu mwaka ccm mtakuja kusimulia MTU ashinde halafu asitangazwe ndio mtajua hamjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…