Uchaguzi 2020 Kwa afya ya Demokrasia nawaombea kwa Magufuli Wagombea wafuatao warudi bungeni

Unae muomba hana uwakika wala hawezi kurudi ikulu. Uoni kama wewe ni mjinga
 
Mtu asipopata kura za kutosha maana yake nini wewe kilaza?huoni unaendelea kuendekeza utopolo wako?by the way nadrive from moro to ila maeneo ambayo huwezi kukosa mapolice, leo hawapo,je wallenda kuongea idadi ta vichwa taifa?
Ndio wapo uwanja wa taifa kusikiliza sera! Ulitaka waende kumsindikiza Lisu kwenda kununua nyanya kariakoo?
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu.Mmeteswa sana miaka 5 bila ongezeko la mshahara,kupanda madaraja,increments,malimbikizo n.k.

Mpigie lissu kura ubarikiwe pia.
 
Mkuu chadema wana hali mbaya sana!

Wasiwasi wangu tunaweza tusiwe na mbunge hata mmoja wa upinzani ndio maana nikasema rais na tume watumie busara ili demicrasia ya vyama vingi iendelee kuonekana.
 
Wee jamaa niliwahi kukwambia kuwa huna akili hata kidogo. Ulichoandika kinadhihirisha jinsi ulivyo zuzu na hii inahakisi jamii nzima ya mnaoshabikiana.

Watu kama wewe ikitokea mkafa basi nchi itakuwa imepata faida kubwa sana.
Jifunze kuwa na akili mkuu ,tafuta maneno mazuri ya kutumia kwani matusi Ndo kufikisha ujumbe ,,,
 
Huo ujinga wa kupata nafasi kwa ridhaa ya rais cdm Hawana maana wanaungwa mkono vya kutosha na wananchi. Usitake kuweka mazingira kuwa ww ndio uliwaombea wapitishwe. Tunataka uchaguzi wa haki, wakishinda au kishindwa iwe ni kwa haki na sio kwa utashi wa rais. Tuko radhi cdm wasipate hata Diwani au mbunge mmoja kwa halali, na sio kupata viti 100 kwa kubebwa. Hivyo viti vya mbeleko wapeni wabunge wa NCCR, CUF nk wao ndio hawana uwezo wa kishinda kihalali. Cdm haihitaji hisani yoyote ya ccm maana Ina jeuri ya watu.
 
Tuewapitisha hawa

1. Sugu Tulia Ackson
2. Joseph Haule
3. Msigwa
4. Mbowe
5. Lema Gambo
6. Upendo Peneza
7. Bulaya
8. Mdee Gwajima
9. Wenje
10. Heche
11. Devotha Minja
12. Ester Matiko
13. Zitto

Hao wengine wapamban na hali zao!!
 
Mkuu chadema mwaka huu ina hali mbaya sana!

Wasi wasi wangu tunaweza tusiwe na mbunge hata mmoja wa upinzani! Ndio hoja yangu ilipo.
 
Mkuu chadema mwaka huu ina hali mbaya sana!

Wasi wasi wangu tunaweza tusiwe na mbunge hata mmoja wa upinzani! Ndio hoja yangu ilipo.

Acha mbunge hata tusipopata diwani, Ila tunataka tushindwe kihalali. Huo ulemavu wa kutegemea kushinda kwa mbeleko bakini nao huo huko ccm. Mwanafunzi mwenye akili hahitaji kununua mtihani. Kwa Uzi huu nimekudharau vibaya sana.
 
Hata ukinidharau mkuu hainipunguzii kitu!

Mimi nataka tume na Magu endapo hao nliowataja hawatapata kura za kutosha wapewe ubunge ili kuchangamsha bunge ambalo litakuwa kimeja wana ccm pekee!

Chadema mwaka huu hali ni mbaya sana mkuu.
 
Apo anayeweza kurudi labda no2. Hao wengine hawana ham tena ktk majimbo yao.
 
Hata ukinidharau mkuu hainipunguzii kitu!

Mimi nataka tume na Magu endapo hao nliowataja hawatapata kura za kutosha wapewe ubunge ili kuchangamsha bunge ambalo litakuwa kimeja wana ccm pekee!

Chadema mwaka huu hali ni mbaya sana mkuu.

Narudia tena cdm Hawana hali mbaya wala hawajawahi kuwa nayo toka uchaguzi wa 2005, na toka wakati huo hawajawahi kuwa na hali mbaya. Kinachofanyika hivi sasa dhidi ya cdm, ni matumimizi mabaya ya madaraka ya urais kuwahujumu cdm. ingekuwa ni hali mbaya ya kukataliwa na wapiga kura, hapo hii hoja yako ingekuwa na mashiko. Cdm hawahitaji nafasi zozote za huruma boss maana wana watu. Hiyo hisani kawapeni vyama vilivyochoka kushawiwishi wananchi ikiwemo ccm.
 
B
Inaonekana unampenda sana Lissu ila umejificha kwa kivuli cha mbogamboga, maana hadi umemuweka kwenye avatar yako.. Hongera sana.

#NiYeYe2020
Bora umeeleza ukweli. Jiwe ndo anaamua nani anaingia bungeni na nani anagota. Uchaguzi ni gelesha tu!
 
Magu njia ya ikulu ni nyeupe 95%
Sio kwa kura boss. Sasa hivi tunajitambua kuliko maelezo, tatizo kidogo tu lipo kwa watu kuwa na woga, huo uoga ukiondoka mtacheka kichina.
 
Ndio wapo uwanja wa taifa kusikiliza sera! Ulitaka waende kumsindikiza Lisu kwenda kununua nyanya kariakoo?
Kwa hiyo leo ni siku ya mapumziko kwenye hii dona country
 
Mkuu chadema wana hali mbaya sana!

Wasiwasi wangu tunaweza tusiwe na mbunge hata mmoja wa upinzani ndio maana nikasema rais na tume watumie busara ili demicrasia ya vyama vingi iendelee kuonekana.
Sidhani kama CDM wanahitaji "busara"ya JPM wanachohitaji ni uchaguzi huru na wa haki. Kama watakosa viti basi tuende mbele bila wao bungeni kwani hiyo ndiyo demokrasiaya JPM na CCM yake waliyotaka. CDM watajipanga upya ikibidi. JPM atafurahi na maisha yataendelea. Kama unataka demokrasia ya vyama vingi iendelee kuonekana basi tubadili hili likatiba libovu na tuwe na katiba inayo akisi vyama vingi siyo hii ya viraka viraka ambayo inapendelea chamadola.
 
Kwa hiyo leo ni siku ya mapumziko kwenye hii dona country
Yap watu wameacha shughli zao kwenda kumsikiliza Magu kipenzi cha watz!

Yule mwingine ngoja aendelee kujadiliana na Amaterdam juu ya mambo ya faragha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…