Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,403
- 5,315
Video za ushahidi tuwekee hapaTop speed ya mbappe ni 35.3 km kwa saa na top speed ya di maria ni 33.2 km kwa saa ivyo Mbappe ana kasi zaidi ya di maria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video za ushahidi tuwekee hapaTop speed ya mbappe ni 35.3 km kwa saa na top speed ya di maria ni 33.2 km kwa saa ivyo Mbappe ana kasi zaidi ya di maria
Kombe la dunia sio rahisi kihivyo na huyo benzema amekuwa bora sana msimu mmoja tu tena akiwa na miaka 34. Uamuzi wa kocha nauona ulikuwa sahihi kwasababu benzema hakuwa na match fitness.Benzema aliitwa kwa makubaliano ataanza kucheza kuanzia robo fainal ila mpaka kufikia hatua iyo giroud alikua anafanya vizuri nafikiri kocha aliamua kumtema benzema ili asialibu molali ya giroud ingawa imemgharimu maana game ya fainali baada ya giroud kuchemka hapakua na straiker mwingine wa kuingia ilibidi pale mbele mbappe na thulam wawe wanabadilishana nafasi kila wakati nafikiri angekuwepo benzema uenda ufaransa angekua na uhai zaidi kule mbele especially second half kipindi ambacho aliukamata mchezo
Sijajaribu hilo na tupo tofauti sana linapokuja suala la burudani ya soka.Hapa unajaribu kumweka Cristiano kwenye level za Messi? Haitakuja kuwezekana tena. Ronaldo afananishwe na wenzie wasiokuwa na world cup.
Umejuaje kama Nazareth Upete aliyasema hayo?Watu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki
Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?
Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
Kuna watu ni muhimu sana inabidi uwaite tu ronaldo msimu huu kala benchi man u na kaitwa, di maria na dybala wameitwa wakitoka kwenye majeruhi world cup iliyopita salah aliumia final ya champions league na bado akaitwa kaanza kicheza mechi ya 3 ya group stage na sio kweli benzema amekua na msimu mzuri mmoja tu sema majukumu yake yalibadilika timu yoyote inakua na mtu wa kumlenga pale mbele ambaye anakua ndio finishing center ya mashamulizi ya timu hapo kabla pale madrid alikwepo ronaldo ila benzema alikua anatimiza majukumu yake vizuri tu vikosi vyote vilivyochukua uefa 4 mfululizo pale madrid benzema alikua anaanza baada ya ronaldo kuondoka ilo jukumu la kuwa finishing centerndio likaangukia mikononi mwa benzema.. benzema amekua na misimu mizuri mingi sana pale madrid sio msimu mmoja tu kilichotokea huo msimu mmoja ni alibadilishiwa majukumu tuKombe la dunia sio rahisi kihivyo na huyo benzema amekuwa bora sana msimu mmoja tu tena akiwa na miaka 34. Uamuzi wa kocha nauona ulikuwa sahihi kwasababu benzema hakuwa na match fitness.
Ule ni mzimu ,mapafu ya punda kabisa na accuracy yake haipunguiIvi tuwe wakweli ALLISTER SIO ULIKUWA NI MZIMU ULEE??
Wanaomchukia na kumunderrate Ronaldo ni mashbiki wa Messi ,sijawah kumuona mtu ambaye hayuko upande wa Messi au Ronaldo akamuongelea vibaya cr7 .Ronaldo ana kundi kubwa sana la watu wanaomchukia kuliko tunavyodhani
Yani pamoja na wao kuchukua kombe lakini bado wanaona haitoshi kumfanyia ridiculous
😂😂😂 Siku hizi mtu akijibu kwa niaba ya mwingine anatuhumiwa ni ID yake nyingine.
COMPUTED STATISTICS FOR EACH PLAYER IN PERCENTAGES (%)1. Ronaldo hajapotea akiwa na miaka 30, sasas hivi ana miaka 38 na msimu uliopita tu alikuwa anagombania ufungaji bora, mchezaji akifika miaka 38 ni mkubwa sana, malegend wengi wanastaafu chini ya miaka 35.
2. Mbappe hahitaji hata kufika miaka 30 kuweka legacy yake, jamaa ana stats za kutisha sana, kama Rooney, Owen, Neymar na golden boy wengine huwa wanastaafu mapema sababu wameanza kucheza at top level wakiwa wadogo.
View attachment 2452173
RONALDO 33.66337% | 23.7624% | TOTAL 57.4257% |
MESSI 53.43511% | 25.9542% | 79.3893% |
MBAPPE 64.28571% | 36.3636% | 100.649% |
Habari mbaya kwa man U izi😂Ule ni mzimu ,mapafu ya punda kabisa na accuracy yake haipungui
Di Maria game aliiweza sana ile juzi.Di Maria yule mtu na nusu,jana kounde alimshukuru kocha fala wa Argentine kumtoa na kuingia Acuna.
Mbappe anachenga ya aina moja tu na mbio ndio maana jana imemchukua dakika 78 kuanza kuonekana uwanjani.
We jamaa umenichekesha sana, 🙌.Watu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki
Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?
Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
kama chupi za mkeweWatu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki
Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?
Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
Mbape alichukua 2018 na alifunga so is not a new dealFIFA
Di Maria game aliiweza sana ile juzi.