Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutumia world cup kama kigezo cha kumbeza ronaldo sio sawa kumbuka mashindano ya namna hii sometimes unaweza kuwa na bahati tu kama messi mwaka huu bado kidogo achukue jiatu kwa penati tu ambazo nyingi hazikua halali., giroud kachukua world cup akiwa hana on target hata moja achilia mbali goli alafu yeye ndo staiker pale mbele juan mata kachukua world cup akiwa hajacheza mechi hata moja, takwimu za messi pamoja na kipaji chake vinatosha kabisa kumfunika ronaldo ila sio hicho kigezo cha kuchukua world cupRonaldo tumeshasema afananishwe na wenzie wasiokuwa na world cup kama lewandowski na Ibrahimovic.
Haland ni kwavile tu man city wanamlisha fresh yeye kazi yake ni kumalizia ila akihama timu huwenda mambo yakabadilika ni mawazo yangu tuMbappe mtu mdogo sana soon tu hallaad ana muweka pembeni
Kwamba alipokuwa FC Red Bull Salzburg/Dortmund alikuwa mbovu,?Haland ni kwavile tu man city wanamlisha fresh yeye kazi yake ni kumalizia ila akihama timu huwenda mambo yakabadilika ni mawazo yangu tu
Kweli kabisa mkuu. Ukijumlisha na makampuni ya betting ndo kabisaaa.Tatizo kwa sasa soka ni siasa na biashara sio passion kama zamani na system tayari ishawachagua messi na ronaldo. Yaan messi/ronaldo anatakiwa kuwa na moment moja tu nzuri uwanjani kuwafunika wengine wote na story nzima ikawa juu yake hata kama kuna mchezaji mwingine alikua vzr zaidi yake kwa siku iyo ila story ikiandikwa kupitia jina la messi au ronaldo itapata views nyingi, likes nyingi, shares nyingi n.k... yaan hawa jamaa wawili watundike daruga tu angalao kutakua na usawa kwa kiasi fulni
Hatuwezi kufurahia walichotupa uwanjani bila sisi kuwa na mahaba mshindo? Halafu kuna wachezaji wengi tu wenye WC na sio wazuri kama Ronaldo, Lewandowski na Ibrahimovic. Kusema Ronaldo ni mzuri hakutabadili mafanikio makubwa aliyoyapata Messi.Ronaldo tumeshasema afananishwe na wenzie wasiokuwa na world cup kama lewandowski na Ibrahimovic.
I fear a man who has practiced one kick 10000 times but I don't fear a man who has practiced 10000 kicks once.Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
Yule jamaa ni certified zwazwa, muda mwingi anapiga Umbea badala ya kutangaza mpiraYule mtangazaji ni fala sana😂 Kila sekunde...anatamka (Acuna) akunya akunya akunya hata asipokuwa na mpira.
Mara aongea kiarabu mara kiiraq aah tafrani tu
Hapo kwenye sub ndio nilijua jamaa ni mbungiraKwanza naye alikuwa haoni vizuri kama sisi tu
Nimeshuhudia matukio mawili akiyatafsiri ndivyo sivyo kulingana na low quality ya streaming
Hadi kwenye sub napo alikuwa anachemka anataja watu wasio husika kama ndio wanaofanya mabadiliko
Iwe jua iwe mvua nitasimama na
Mbappe.
Na wale wasiompenda wajiandae kupata heart attack maana Dogo anaendelea kuushangaza ulimwengu.
Our Mbappe
King of Football
#New Generation👌
Ya kale yamepita sasa ni mapya ya mtaalam Kylian🙌🔥🔥
Kwa nini unataka kuonesha mtoa Mada ana chuki na Mbappe? Umesoma comments zako mbona zinaonesha una chuki na Messi pia? Na hatusemi?
Mbappe ni fowadi wa ufaransa ambayo huwa nashabikia hivyo siwezi kumchukia. Argentina nilisimama nao mwaka huu kwa ajili ya Messi.Mleta mada anatakiwa asome comment yako,chuki yake kwa mbappe ni kubwa mno. Hivyo anatamani kijana apotee kama uliowasema wamepotea ila kakosea kufahamu christiano hajapotea kwenye miaka 30
Cristiano ana miaka 37 sawa na Modric.
Lkn bado ukija national team Giroud ni no 1 over wote mastriker wa ufaransa.🙌Sio hajafunga goli tu michuano yote hakupiga on target hata moja sio kwa kichwa wala mguu