Kwa aina ya mpira anaocheza Kylian Mbappe, atapotea baada ya kufikisha miaka 30

Kwa aina ya mpira anaocheza Kylian Mbappe, atapotea baada ya kufikisha miaka 30

Ronaldo hajapotea akiwa na miaka 30, bado yupo na anafanya vizuri tu kwa umri wake, unless uchambuzi uhusishe mahaba yasiyopimika.

Mbappe anaweza potea hata akiwa na miaka 25 au asipotee mpaka anastaafu na miaka 35 na zaidi au akapotea na 30. Inategemeana na mambo mengi kama majeraha, kujituma, malengo binafsi, ushindani n.k

Kuna watu wana mihemko na messi na Ronaldo mpaka hawawezi kula. Mahaba kupitiliza ni Kilema cha akili, ni hitilafu. Ndo mwisho wa siku mpira hauwi burudani tena unagubikwa na uchambuzi usio na uhalisia na ubishani wa kimahaba.View attachment 2452448
Hapa unajaribu kumweka Cristiano kwenye level za Messi? Haitakuja kuwezekana tena. Ronaldo afananishwe na wenzie wasiokuwa na world cup.
 
Alitoa assist za kutosha ndio maana kocha anampenda kuliko benzema.
Kwa kipindi hicho benzema alifungiwa kucheza timu ya taifa na world cup hii inaanza alikua majeruhi ila hakuna kocha atakaemweka benchi benzema kwa ajiri ya giroud
 
Mkuu nitafutie uzi nilioanzisha humu JF kumponda Messi kama mleta mada anavyo mshambulia Ronaldo kwa kisingizio cha mbappe

Yanii ulivyoumia ni either hii ID ni fekero la mleta mada au ni demu wa mleta mada umeumizwa na mashambulizi anayopokea bwana ako take a chill pill shostie
I knew it you are too fragile to take critisms. Ungejibu vizuri ungepungukiwa nini?
 
Kutumia world cup kama kigezo cha kumbeza ronaldo sio sawa kumbuka mashindano ya namna hii sometimes unaweza kuwa na bahati tu kama messi mwaka huu bado kidogo achukue jiatu kwa penati tu ambazo nyingi hazikua halali., giroud kachukua world cup akiwa hana on target hata moja achilia mbali goli alafu yeye ndo staiker pale mbele juan mata kachukua world cup akiwa hajacheza mechi hata moja, takwimu za messi pamoja na kipaji chake vinatosha kabisa kumfunika ronaldo ila sio hicho kigezo cha kuchukua world cup
Ukishasema penati za Messi hazikuwa halali nakuona sio mtu wa mpira. Kwahiyo waamuzi wote wale pamoja na var hawakuona ila wewe ndio uone? Mbona kwenye fainali ufaransa kapewa penati nyingi against Argentina? Kama lengo ilikuwa kumbeba Messi basi zile penalti zisingetolewa.

Ronaldo afananishwe na wenzie wasiokuwa na world cup.
 
[emoji41]
1684119231.jpg
 
Lkn bado ukija national team Giroud ni no 1 over wote mastriker wa ufaransa.🙌
Vizazi vinatofautiana mkuu zamani kulikua na ushindani wa namba miaka ya karibuni giroud kaingia zama ambazo mafoward ni yeye na benzema tu alafu benzema akapigwa ban national team kwaio akabaki peke ake panga pangua lazima acheze vinginevyo awe majeruhi alafu kumbuka zamani kulikua na world cup na uero tu tofauti sasa hivi kuna mpaka national league kwaiyo mechi zimekua nyingi.. giroud angekikuta kizazi cha wakina henry, anelka, trezeget asingeweza kuwa top scorer
 
Ukiambiwa upeleke criticism utapeleka povu lako aiseee mirembe inakuhusu
Nimeuliza vizuri lakini ulivyonijibu nimeshangaa sana ni kama vile tuna ugomvi? Umekosolewa kidogo umeleta personal attacks? Badilika mkuu. Upo fragile namna hii siku zote?
 
Yule sio football commentator ni mtangazaji wa movie kama Lufufu Eder Militao alikua anamuita Milato Nika mute sauti bora niangalie bila sauti kuliko kujazwa taka taka masikioni
Ismaila Sarr alikuwa anamuita Ismail
Kieran Tripier (inatamkwa Tripia) yeye alikuwa anamuita Tripa.
Alikuwa ana maneno meengi kama anawatangazia vipofu.
 
Mkuu nitafutie uzi nilioanzisha humu JF kumponda Messi kama mleta mada anavyo mshambulia Ronaldo kwa kisingizio cha mbappe

Yanii ulivyoumia ni either hii ID ni fekero la mleta mada au ni demu wa mleta mada umeumizwa na mashambulizi anayopokea bwana ako take a chill pill shostie
😂😂😂 Siku hizi mtu akijibu kwa niaba ya mwingine anatuhumiwa ni ID yake nyingine.
 
Sio mbaya akipotea ili wahi awe kocha sio lazima uzekeemo Kama Ronaldo.tokamo bado ukihitajika jamani ndio Raha ilipo.control tamaa ,
 
Lkn bado ukija national team Giroud ni no 1 over wote mastriker wa ufaransa.🙌
Giroud huwa anafunga lakini pia ana vitu vingi sana anavyochangia akiwa hana mpira.
 
Ukishasema penati za Messi hazikuwa halali nakuona sio mtu wa mpira. Kwahiyo waamuzi wote wale pamoja na var hawakuona ila wewe ndio uone? Mbona kwenye fainali ufaransa kapewa penati nyingi against Argentina? Kama lengo ilikuwa kumbeba Messi basi zile penalti zisingetolewa.

Ronaldo afananishwe na wenzie wasiokuwa na world cup.
Naona hatuwezi kuelewana kwa sababu upo kishabiki sana ili tusipoteze muda tufanye umeshinda
 
Kwa kipindi hicho benzema alifungiwa kucheza timu ya taifa na world cup hii inaanza alikua majeruhi ila hakuna kocha atakaemweka benchi benzema kwa ajiri ya giroud
Benzema alishapona tangu hatua ya 16 bora na bado kocha alimkatalia asirudi. Tena alimrudisha kabisa Madrid badala ya kumbakisha Qatar.
 
Benzema alishapona tangu hatua ya 16 bora na bado kocha alimkatalia asirudi. Tena alimrudisha kabisa Madrid badala ya kumbakisha Qatar.
Benzema aliitwa kwa makubaliano ataanza kucheza kuanzia robo fainal ila mpaka kufikia hatua iyo giroud alikua anafanya vizuri nafikiri kocha aliamua kumtema benzema ili asialibu molali ya giroud ingawa imemgharimu maana game ya fainali baada ya giroud kuchemka hapakua na straiker mwingine wa kuingia ilibidi pale mbele mbappe na thulam wawe wanabadilishana nafasi kila wakati nafikiri angekuwepo benzema uenda ufaransa angekua na uhai zaidi kule mbele especially second half kipindi ambacho aliukamata mchezo
 
Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.

Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
Umesema kweli kabisa
 
Back
Top Bottom