Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Wewe ndio Championship ?Anayeongoza kupewa penati ni Christiano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio Championship ?Anayeongoza kupewa penati ni Christiano.
Unamjua haaland vizuri?Hapa duniani hajawahi kutokea mchezaji anakimbia kama mbappe. Labda Bale na Henry wanaweza kumkaribia kwa kiasi lakini sio huyo di Maria.
Naongea uhalisia wangu..Wewe ni Tuisila Kisinda mkuu?
Je ulicheza ligi kuu? Au daraja la kwanza?Naongea uhalisia wangu..
Napenda mpira KWA sababu nimecheza toka mtoto mpaka leo japo sio level za juu, Naelewa mabadiliko ya kiuchezaji umri unapo songa mbele, Zamani nilikuwa nacheza kiungo mkabaji namba 6 ile ya kukata umeme katika umri wa uvulana, kila miaka inavyosogea nguvu na kasi ya kukaba inapungua....mpaka nikaamua mwenyewe kucheza pembeni winga, huwezi kupimana upepo na watoto ambao bado viungo vyao havijachoka.....uta aibika,
Kasi ya mchezaji inapungua kadri umri unayoongezeka.
Mkuu mimi naupiga mwingi mpaka leo japo nishakuwa veterani,ungekuwa huku nilipo ningekuonesha uwezo nilio nao miguuni kwangu japo hatukupata Nafasi ya kuonekana😄😄😄
Ball linatembea mkuu⚽⚽⚽⚽
Kwa mtizamo wako mchezaji kwako ni kama Ajibu!Huyo ni nguvu Tu na jitihada , hamna mchezaji pale ,
Sio uhakika,kufanishwa wamefananishwa wengi lakini wako wapi?Okay,Mkuu Ronaldo ana miaka 38 na bado hajastaafu so mbappe kafananishwa na ronaldo hivyo mpaka miaka hio atakua bado nae kiwango kipo juu
Ngoja tuendelee kumtizama...Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
Fear of unknown 😂😂😂Ni kweli mbappe statistics zinatuonesha anaweza kuvunja rekodi nyingi lakini kwa ile kasi yake bado nina mashaka kama atakuwa bora baada ya miaka 30.
SIJACHEZA LEVEL ZA JUU MKUU...Je ulicheza ligi kuu? Au daraja la kwanza?
Then vipi kuhusu ngono ukifanya Sana , inaua performance?
Sio uhakika,kufanishwa wamefananishwa wengi lakini wako wapi?
Kina Jack Wilshare wamefananishwa na kina Xavi Hernandez lakini hayupo tena kwenye ramani ya soka na bado ni kijana,Kikubwa tu ni yeye mwenyewe kuwa na nidhamu ya soka lake alilinde vipi mpaka aweze kudumu kuchukua KWA muda mrefu kama Ronaldo,Modric,Zlatan,Buffon na wengine waliokipiga zaidi ya miaka 35.
Mbape ni mchezaji wa kiwango cha juu KWA sasa Dunia...namkubali ana kitu kikubwa katika miguu na kichwa chake sio wa kumbeza kama ni mtu wa mpira huwezi kumkataa Mbape au Ronaldo hawa wameonyesha vitu vikubwa walivyo navyo.
Aaah sio issue ataYessu na Mtume Muhammad (S.W) walipingwa na baadhi ya watu iweje Messi akubaliwe na wote?Ronaldinho ndiye ana hizo raha zote uwanjani, MISS PENATI wenu hata kama angechukua balloon D'O mara trilioni bado sitamkubali kamwe hadi niingie mbinguni [emoji38]
Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
Angalia katika umri huo wa 23 Pessi alikuww na magoli mangapi plus assists, na kingine cha kuongeza ni kuwa katika umri huo tayari Mbappe alikuwa ana WCKwa hyo Mbappe ana UEFA cup kweny huo umri mkuu?acha kutupiga kamba bana
Mbappe kipaji ni zeroHuyo ni nguvu Tu na jitihada , hamna mchezaji pale ,
Tuisila Kisinda. TK MasterDuh hapa labda utuletee statistics ila mimi kwa kuangalia sijawahi kuona mchezaji mwenye kasi kama mbappe.
Tangu mpate baby mpya wengine tunaonekana mazezetaMtu amelala ameamka ghafla bin Vuu
Eti Mbappe atapotea [emoji1787]
Na bado [emoji91][emoji7][emoji3590]View attachment 2452253
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kwa nini unataka kuonesha mtoa Mada ana chuki na Mbappe? Umesoma comments zako mbona zinaonesha una chuki na Messi pia? Na hatusemi?Mleta mada anatakiwa asome comment yako,chuki yake kwa mbappe ni kubwa mno. Hivyo anatamani kijana apotee kama uliowasema wamepotea ila kakosea kufahamu christiano hajapotea kwenye miaka 30
Iwe jua iwe mvua nitasimama naTangu mpate baby mpya wengine tunaonekana mazezeta