Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Mwiba mchungu sana huu [emoji1]Na Messi hawezi kuwa GOAT kwasababu hajabeba World Cup 3 kama pele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwiba mchungu sana huu [emoji1]Na Messi hawezi kuwa GOAT kwasababu hajabeba World Cup 3 kama pele
[emoji16]Aiseee kumbe mbape ni GOAT,giroud,griezman,kante,pogba,de gea,ramos,rivaldo,kaka, Ronaldinho na wengineo woooteeeee waliobeba world cup
Kwanini MISS PENATI alilalamikiwa tuzo zake zote za balloon D'O 2010 & 2020 ambapo ilipaswa wapewe Iniesta na Lewandosky [emoji848]Hapana hakuwa nayo ila alishakuwa na UCL na Ballon d'or ambazo mbappe hana. Mbappe hata Euro hana. Hana super cup wala club world. Hajawahi kugusa tuzo ya FIFA best player of the year wala ile ya UEFA kwahiyo bado ni mtoto sana kwa king Messi.
Nakazia; Alete perfect hat trick hata 1 tu ya MISS PENATI wao BEBWA BEBWA ili tukubali kuwa ni Mbuzi kama wanavyomuita [emoji28]Nimekuuliza Messi ana WC ngapi?
MISS PENATI mwenyewe mbona ana ego kibao, tena hata PSG kashagombana na Kocha mara kibao lakini sababu Jamaa ni Litaahira linakaza tu fuvu kumwona MISS PENATI kama malaika vile [emoji847]Tofauti na Man U wapi tena aligombana na kocha?
Watu wafupi mnateseka sana kukaza mafuvu kwamba Mtu yeyote ana mahaba niuwe na huyo MISS PENATI wenu [emoji3526]Sasa kwa uwezo wa Messi kwenye kabumbu unaanzaje kum criticize. Mtu anakila kitu Ball balance, ball skills and ball brain. Yule ata akikaa miaka miwili bila ya kutrain akiingia uwanjan still ataweza kufanya maajabu tofauti na hao wachezaji wengine manguvu kibao wakifika 30+ wanakuwa maflop
Ronaldinho ndiye ana hizo raha zote uwanjani, MISS PENATI wenu hata kama angechukua balloon D'O mara trilioni bado sitamkubali kamwe hadi niingie mbinguni [emoji38]Kiuhalisia Mbape anatumia nguvu nyingi sana akiwa na Mpira! Messi so soft mpira wake unaweza sema vitu rahisi anavyofanya uwanjan!
Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
[emoji106]Chanzo cha umaskini wa wa Africa ni kuhangaika na maisha ya watu.
Unasemaje kuhusu TBC kukuletea na kukuonesha bureee kabisa michuano hii ya kombe la dunia?😀Wanasema mpira wetu kivyetu vyetu
Yani wanataka kujitofautisha na commentators wa huko ulaya kwa kuongeza uswahili
Unaweza kuta mtangazaji anaacha kutangaza kile kinachofanyika uwanjani akajikita kwenye kampeni za CCM
Inategemea na nidhamu yake kwenye mazoezi na misosi.Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
Hapa hawaongelei hela...wanaongelea kiwango chake kudumu muda mrefu...sio mambo ya pesa....Mbape akiacha kucheza mpira leo hii bado atqbaki na ubilionea wake daima.
Nimesema angalau world cup moja halafu hapo uongeze na vigezo vingine kama copa america, club world, ballon d'or angalau tatu, FIFA player of the year angalau tatu, UCL angalau tatu.
Hapo Messi peke yake anakidhi vigezo.
Tumfate Mbappe na Neymar PSG ‘UEFAThe Gifted one
Our Mbappe.
King of Football 😍❤️
Wakiingia fainali akiyanani nitakuwa upande wao hawa mahandsome with football brain.Tumfate Mbappe na Neymar PSG ‘UEFA
😄😁
Kwa uhandishi huu wewe ndiye unayetesekaWatu wafupi mnateseka sana kukaza mafuvu kwamba Mtu yeyote ana mahaba niuwe na huyo MISS PENATI wenu [emoji3526]
Sasa Kama wewe ukuangalia mpira kupitia tbc ulijuaje kama hayo maneno kasema Nazareth Upete..Watu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki
Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?
Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?