Kwa aina ya mpira anaocheza Kylian Mbappe, atapotea baada ya kufikisha miaka 30

Kwa aina ya mpira anaocheza Kylian Mbappe, atapotea baada ya kufikisha miaka 30

Atapotea kama alivyopotea Ronaldo! Aisee kuna watu ni mburula

Iv unajua kuwa Ronaldo tangu alipofikisha miaka 30 amefunga magoli zaid ya 400+?
Ronaldo for club
Games: 330
Goals: 285
Assists: 70

Rinaldo for country
Games: 68
Goals: 63
Assists: 11

Hebu nyie watoto warisya wa secondar muwe mnafatilia record kabla ya kuandika ujinga
 
Wenzetu ni wazalendo hasa oale ni timu ya Taifa,asingeweza kuchekelea wakati wamepoteza kombe muhimu. Pesa za kutosha anapata PSG
Hata Messi 2014 alibeba golden boot world cup na alihuzunika. Uzalendo ni muhimu ili kubeba world cup ndio maana Ronaldo hajabeba kwasababu alishaanza hadi kuzinguana na kocha alipokula benchi.
 
Kwanza naye alikuwa haoni vizuri kama sisi tu

Nimeshuhudia matukio mawili akiyatafsiri ndivyo sivyo kulingana na low quality ya streaming

Hadi kwenye sub napo alikuwa anachemka anataja watu wasio husika kama ndio wanaofanya mabadiliko
Hayo mapungufu hata Super Sport yalikuwepo, punguzeni chuki na kujitia ujuaji.
 
Ronaldo hapo kaingia kwasababu wewe ni mshabiki wake.😂

Mbappe asifananishwe na Messi mpaka atakapobeba UCL kadhaa, ballon d'or angalau tatu, Euro moja nk
Kwani hizo habari nani kazileta hapo kati ya mimi na wewe?
 
Aiseee kumbe mbape ni GOAT,giroud,griezman,kante,pogba,de gea,ramos,rivaldo,kaka, Ronaldinho na wengineo woooteeeee waliobeba world cup
Nimesema angalau world cup moja halafu hapo uongeze na vigezo vingine kama copa america, club world, ballon d'or angalau tatu, FIFA player of the year angalau tatu, UCL angalau tatu.

Hapo Messi peke yake anakidhi vigezo.
 
Katika goli alizotengeneza fainali kuna aliyotumia mbio?

Hiya halitosis kukualert anabadilika kutokana na mazingira?
 
Ronaldinyo alipofungwa kule Uruguay, Messi na Etoo ndio waliokuwa wanampa kampani

Kwa hiyo Ronaldinho kumsapoti Messi ilikuwa ni doing something in return

Btw wapo wachezaji wengi waliomtakia heri Ronaldo afike mbali ila sio big deal kwakua fans wake hatushoboki na vitu vidogo kama hivyo
Ronaldo ego yake imemfanya amalize soka kama kituko cha dunia. Kila sehemu anagombana na makocha.
 
Katika goli alizotengeneza fainali kuna aliyotumia mbio?

Hiya halitosis kukualert anabadilika kutokana na mazingira?
Lile goli la pili bila mbio angelifunga? Ile mikimbio yake hukuiona kuanzia dakika ya 80?
 
Watu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki

Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?

Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
Umeongea ukweli mkuu uchambuzi hakuna kabisa kazi kwenda na upepo tu
 
Atapotea kama alivyopotea Ronaldo! Aisee kuna watu ni mburula

Iv unajua kuwa Ronaldo tangu alipofikisha miaka 30 amefunga magoli zaid ya 400+?
Ronaldo for club
Games: 330
Goals: 285
Assists: 70

Rinaldo for country
Games: 68
Goals: 63
Assists: 11

Hebu nyie watoto warisya wa secondar muwe mnafatilia record kabla ya kuandika ujinga
Kwani Ronaldo hajapotea? Mbona kuanzia nusu fainali ya kombe la dunia hajaonekana?
 
Team Messi huwa mnajiona nyinyi ndio wenye haki ya kuwasema negative wachezaji wengine ila ikitokea mtu kam-criticize Messi mtamuita hater.
Sasa kwa uwezo wa Messi kwenye kabumbu unaanzaje kum criticize. Mtu anakila kitu Ball balance, ball skills and ball brain. Yule ata akikaa miaka miwili bila ya kutrain akiingia uwanjan still ataweza kufanya maajabu tofauti na hao wachezaji wengine manguvu kibao wakifika 30+ wanakuwa maflop
 
Back
Top Bottom