Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Wanasema mpira wetu kivyetu vyetuWalikuwa wanaribu ladha ya mpira kabisa, anatangaza anaacha mara achambue..hovyo hovyo tu
Yani wanataka kujitofautisha na commentators wa huko ulaya kwa kuongeza uswahili
Unaweza kuta mtangazaji anaacha kutangaza kile kinachofanyika uwanjani akajikita kwenye kampeni za CCM