Kwa aina ya mpira anaocheza Kylian Mbappe, atapotea baada ya kufikisha miaka 30

Kwa aina ya mpira anaocheza Kylian Mbappe, atapotea baada ya kufikisha miaka 30

Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.

Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
sawa mwalim kashaha.kwahio unataka acheze hadi umri gani? miaka 40au? hebujibu wewe mchambuzi maandazi.
 
Yani kwa kifupi hili kombe tangu mwanzo ilikua ikiwa ni la argentina basi Litatumika kumu offend Ronaldo
hili kila shabiki wa ronaldo alikua analijua litatokea, kwanzia jana na milele itakua ni kashfa tu
Ronaldo afananishwe na wenzie wasiokuwa na world cup kina lewandowski na Ibrahimovic
 
Yani kwa kifupi hili kombe tangu mwanzo ilikua ikiwa ni la argentina basi Litatumika kumu offend Ronaldo
hili kila shabiki wa ronaldo alikua analijua litatokea, kwanzia jana na milele itakua ni kashfa tu
Ronaldo ana kundi kubwa sana la watu wanaomchukia kuliko tunavyodhani

Yani pamoja na wao kuchukua kombe lakini bado wanaona haitoshi kumfanyia ridiculous
 
Hakua na furaha sababu ya kupoteza ushindi,huwezi ukawa na furaha wakati timu haijashinda ni ubinafsi mkubwa
Basi kumbe cha muhimu kwa mchezaji ni mafanikio ya timu na sio hela peke yake.
 
Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.

Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.

Wewe unatumia nini? Labda tuanzie hapo? Mbappe hata akistaafu leo mafanikio aliyopata mpaka sasa huwezi kuyafikia.

Achana na wivu wa kijinga mkuu!
 
The Gifted one
Our Mbappe.
King of Football 😍❤️
 
Attachments

  • JamiiForums1326404544.jpeg
    JamiiForums1326404544.jpeg
    181.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom