Kwa aina ya mpira anaocheza Kylian Mbappe, atapotea baada ya kufikisha miaka 30

Kombe la dunia sio rahisi kihivyo na huyo benzema amekuwa bora sana msimu mmoja tu tena akiwa na miaka 34. Uamuzi wa kocha nauona ulikuwa sahihi kwasababu benzema hakuwa na match fitness.
 
Hapa unajaribu kumweka Cristiano kwenye level za Messi? Haitakuja kuwezekana tena. Ronaldo afananishwe na wenzie wasiokuwa na world cup.
Sijajaribu hilo na tupo tofauti sana linapokuja suala la burudani ya soka.

Nilifurahia kumtazama Messi anavyocheza bila kujua ana magoli mangapi Uefa, ana mataji mangapi n.k Nafurahia kile anachofanya uwanjani. Ronaldinho alinipa burudani zaidi kuliko Messi na Cr7.

Mambo ya nani zaidi katika rikodi za vikombe na rikodi za makaratasi ni muhimu kwa wachezaji na makampuni ya biashara kuliko kwangu. Kilichomuhimu kwangu ni ile burudani uwanjani. Nadhani hapa ndipo tunapotofautiana.
 
Watu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki

Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?

Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
Umejuaje kama Nazareth Upete aliyasema hayo?
 
Kombe la dunia sio rahisi kihivyo na huyo benzema amekuwa bora sana msimu mmoja tu tena akiwa na miaka 34. Uamuzi wa kocha nauona ulikuwa sahihi kwasababu benzema hakuwa na match fitness.
Kuna watu ni muhimu sana inabidi uwaite tu ronaldo msimu huu kala benchi man u na kaitwa, di maria na dybala wameitwa wakitoka kwenye majeruhi world cup iliyopita salah aliumia final ya champions league na bado akaitwa kaanza kicheza mechi ya 3 ya group stage na sio kweli benzema amekua na msimu mzuri mmoja tu sema majukumu yake yalibadilika timu yoyote inakua na mtu wa kumlenga pale mbele ambaye anakua ndio finishing center ya mashamulizi ya timu hapo kabla pale madrid alikwepo ronaldo ila benzema alikua anatimiza majukumu yake vizuri tu vikosi vyote vilivyochukua uefa 4 mfululizo pale madrid benzema alikua anaanza baada ya ronaldo kuondoka ilo jukumu la kuwa finishing centerndio likaangukia mikononi mwa benzema.. benzema amekua na misimu mizuri mingi sana pale madrid sio msimu mmoja tu kilichotokea huo msimu mmoja ni alibadilishiwa majukumu tu
 
Ronaldo ana kundi kubwa sana la watu wanaomchukia kuliko tunavyodhani

Yani pamoja na wao kuchukua kombe lakini bado wanaona haitoshi kumfanyia ridiculous
Wanaomchukia na kumunderrate Ronaldo ni mashbiki wa Messi ,sijawah kumuona mtu ambaye hayuko upande wa Messi au Ronaldo akamuongelea vibaya cr7 .
Si unaona hata huyo mtoa Uzi hampendi Ronaldo team Messi huyo .

Hao ndio team messi
 
Si unaona hata huyo mtoa Uzi hampendi Ronaldo team Messi huyo
Nyie haters mlikuwa mnasubiri kwa hamu ufaransa ashinde siku ile mlete kejeli kwa Messi hivyo hatutawaacha kamwe. Tutaendelea kuwanyoosha.
 
COMPUTED STATISTICS FOR EACH PLAYER IN PERCENTAGES (%)
RONALDO 33.66337%​
23.7624%​
TOTAL 57.4257%​
MESSI 53.43511%​
25.9542%​
79.3893%​
MBAPPE
64.28571%​
36.3636%​
100.649%​
 
Matahira wa Messi wanakosa usingiza kwa kijana Mbappe. Polen sana
 
Di Maria yule mtu na nusu,jana kounde alimshukuru kocha fala wa Argentine kumtoa na kuingia Acuna.

Mbappe anachenga ya aina moja tu na mbio ndio maana jana imemchukua dakika 78 kuanza kuonekana uwanjani.
Di Maria game aliiweza sana ile juzi.
 
Watu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki

Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?

Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
We jamaa umenichekesha sana, 🙌.
 
Watu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki

Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?

Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
kama chupi za mkewe
 
Na ndio sababu alikuwa akilia kila ufaransa walipokuwa wanasawazisha goli halafu wanazidi kupata nguvu dhidi ya Argentine.
Di Maria game aliiweza sana ile juzi.
 
Jamani striker anastahili yake uchezaji na hata chenga, sio lazima wafanane. Kuna goal better, ambao mnawaita haters sijui na kuna wengine yeye ndiye anaanzisha mashambulizi na kufunga hao ndio akina Ronaldo, Mbappe nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…