Wanasema mpira wetu kivyetu vyetuWalikuwa wanaribu ladha ya mpira kabisa, anatangaza anaacha mara achambue..hovyo hovyo tu
mess tumekubali ni goat, mmeanza na huku tenaKila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
Huyo ni nguvu Tu na jitihada , hamna mchezaji pale ,Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
Andika basi kuhusu Messi tukusikilize bossUkiandika wewe kuhusu wachezaji wengine inakuwa uhalisia, tukiandika sisi kuhusu Messi ni haters?
Waambie kombe la dunia hata gatuso analo.Yaani Messi kuchukua World cup wakuu kusifanye mkamuunderrate Ronaldo kiasi hicho.
Kombe la dunia nalo ulitaka tukaangalie kibanda umiza boss!Watu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki
Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?
Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki
Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?
Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
unafiki utakuuwaHuyo ni nguvu Tu na jitihada , hamna mchezaji pale ,
Yani kwa kifupi hili kombe tangu mwanzo ilikua ikiwa ni la argentina basi Litatumika kumu offend RonaldoYaani Messi kuchukua World cup wakuu kusifanye mkamuunderrate Ronaldo kiasi hicho.
Hajafika na kawazidi tayariMbappe akifikisha miaka 30 atakuwa amewazidi messi na ronaldo kwa pamoja
Giroud pia analo. Tena alichukua huku yy kama striker hajafunga goal hata moja.😂Waambie kombe la dunia hata gatuso analo.
Ingekuwa ndio hivyo basi jana angekuwa na furaha kupewa hela za golden boot.
Yes ana usongo sanaMbappe akifikisha miaka 30 atakuwa amewazidi messi na ronaldo kwa pamoja