Unahangaika sana kuiziba Nyota ya LISSU lakini umeambulia patupuπbaada ya uchaguzi mkuu ujao atakua kivutio cha utalii msituni tu dah, japo yeye atakua zake ngambo kwa mabwenyeye wanao mfadhili dah π
relax,Hakuna research umefanya wewe umeandika utoto tu ulioongozwa na chuki kwa Lissu na upinzani . Lissu amekuwa Mbunge kwa vipindi viwili hadi pale Magufuli alipoamua auwawe kwa kupigwa risasi jambo ambalo halikufanikiwa. Uliyoandika yote ni upupu tu unaongozwa na njaa na uchawa wako.
kwamba wanaomsifia Dr.Samia Suluhu Hassan sana, wamekua kero kwa wasiopenda maendeleo right?π
Mada ilitakiwa iwe imefungwa kwa jibu muluaaaa kabisa π€£π€£π€£Kwa aina ya tume yenu ya uchaguzi iliyopo, hata Rais aliyeko madarakani sasa akigombea nafasi yoyote mfano ubalozi wa nyumba 10, udiwani, ubunge, nk kupitia chama cha upinzani; na yeye hawezi kushinda.
Ccm yamejaa majinga ndio maana badala kushawishi wananchi mmebaki kuunda Karakana za kuuwa watu chang'ombe wajinga kabisaIkitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.
Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.
Soma Pia:
Hata hiyo,
- Barua ya wazi kwa ndugu Tundu Antipas Lissu! Kumsihi aachane na nia yake ya kugombea urais 2025-2030
- Kuelekea 2025 - Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.
Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.
Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote π
Hiyo uliyoandaa ni takataka katupe shambani au wahusishe watoto wenzako. Unazidi kujidhalilisha tu unaandika ujinga halafu mwenyewe umekomalia kuwa hayo ni madini ni wendawazimu tu huo.relax,
binafsi kazi yangu nimemaliza vizuri, nimekuandaa kisaikolojia vizuri kwa akipigwa chini ubunge nilikujulisha mapema, kugimbea urasi Chadema nako akipigwa chini nimeshakuajulisha mapema,
so sitegemei athari zozote za kisaikolojia kwa mfuasi yeyote wa Lisu sawa π
na hivyo ndivyo atakavyohitimisha safari yake ya siasa kwa fedheha sana kwasabb ya papara zake π
Mbona anayesema hivyo hata ujumbe wa nyumba kumi hapati?Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.
Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.
Soma Pia:
Hata hiyo,
- Barua ya wazi kwa ndugu Tundu Antipas Lissu! Kumsihi aachane na nia yake ya kugombea urais 2025-2030
- Kuelekea 2025 - Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.
Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.
Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote π
Ni chawa tu anayeishi kwa matumaini yakuteuliwa.Mbona anayesema hivyo hata ujumbe wa nyumba kumi hapati?
sasa mwenye first class brain mbona unababaika na mimi personally badala ya kudeal na kodeconstruct hoja ya msingi? hiyo ni blunders no1 na uthibitisho kwamba umefikia ukomo wako wa mawazo mapya na fikra mbadala...Kama hujawahi kuambiwa, ni budi tukueleze ukweli.
Wewe ni low IQ. Kwa sababu huna reasoning ability, unahangaika kuweka upuuzi wa kila aina ili tu urushiwe hivyo vielfu kumi kumi upate kuishi. Ufahamu kuwa, hakuna mtu mwenye hata average IQ ambaye anaweza kukubali kuwa chawa. Kuwa chawa inamaanisha huna njia nyingine ya kuishi zaidi ya kutafuta watu wa kukurushia hivyo vielefu kumi kumi kwa gharama ya kudhalilisha utu wako. Ungekuwa japo na akili kidogo, kabla hujaleta hii mada dhaifu, ungejiuliza:
1) Kama unayotaka kuyaandika, ni habari au hisia?
2) Kama ni habari, chanzo cha habari ni nini?
3) Kama ni hisia, je, hisia zimejengwa kwa misingi ya kisayansi kwa kuzingatia matokeo ya utafiti wowote?
3) Kama ni matamanio yako, je, matamanio hayo yana backup yoyote kama vile historia na matokeo ya tafiti za karibuni, etc? Au ni matamanio hewa?
4) Kama ni matamanio hewa, unaowapelekea wana akili kidogo kama wewe kiasi cha kuwafanta waamini kuwa matamanio yako ndiyo ihalisia?
Kwa kuwa haya yote hukujiuliza, basi ni dhahiri, IQ yako ipo below average low.
so,Kama mko kwenye kupima maji, mkiwa wakweli:
"mnao mrejesho wa kumvunja moyo mno aliyewatuma."
Hapana ila ni huyu anayeuliza na kujimwambafai.unazungumzia huyu mtoa hoja mbobevu, kiongozi muandamizi wa wanainchi mwenye dhamana nzito na muhimu sana kwa maslahi mapana ya waTanzania wote?π
sasa si ungekuja na dustbin ndrugu yangu ulie timamu π€£Hiyo uliyoandaa ni takataka katupe shambani au wahusishe watoto wenzako. Unazidi kujidhalilisha tu unaandika ujinga halafu mwenyewe umekomalia kuwa hayo ni madini ni wendawazimu tu huo.
Babuu mambooπππππ₯°πππ€©πKwa aina ya tume yenu ya uchaguzi iliyopo, hata Rais aliyeko madarakani sasa akigombea nafasi yoyote mfano ubalozi wa nyumba 10, udiwani, ubunge, nk kupitia chama cha upinzani; na yeye hawezi kushinda.