kama kusema ukweli ni kujiabisha basi nadhani nitafanya bidii zaidi ili niabike sana...Unajiabisha sana Mkuu hizi porojo kapeleke vijijini huko .
Watu wanapotea
Watu wanafukuzwa maeneo yao
Bandari zinauzwa
Tozo ambazo matumizi yake hayaeleweki
Pangua pangua iii kila aliye karibu na utawala apate ulaji.
Huduma za kibinadamu zimekuwa mbovu
Halafu na wewe unamzungumzia Lissu mbona unateseka sana ?
Matatizo ni mengi kuliko hata utatuzi wake.
Duh,Kwa aina ya Siasa anazofanya Tundu Lissu hata akigombea Ubunge hapati
hapana,Duh,
Hapa ni ama pesa ya Abdul inafanya kazi au uliwahi kuhisi TL kukut#mbea, maana siyo kwa kumuandama huku!!!
Huwezi kushinda kwa hicho chama kimeshajidhalilisha vyakutosha na sasa hivi wanakuwa hawajiamini wapo wapo. Tu na wanatukana tukana kwa sasa wananchi wamejichokea wapo wapo tu na tshirts zao za kijanikama kusema ukweli ni kujiabisha basi nadhani nitafanya bidii zaidi ili niabike sana...
by the way,
ulichoandika hakina uhusiano hata kidogo na Lisu kukataliwa singida na kupigwa chini kugombea urasi kupitia Chadema π
Vipi kuhusu Tume Huru ya uchaguzi, kwa nini mnaiogopa mno?hapana,
singida wamemkataa kabisa wanadai ana omba sana kuchangiwa,
chadema wanamuona kama ni puppet tu anaetaka kuvuruga chama chao halafu atembee mbele π
Haha,ni muhimu zaidi kuandikia uzi maalumu juu ya hilo bila kuathiri hoja mahususi iliyopo mezani π
unatafuta ban kinguvu, unakebehi kazi za watu au unawafundisha watu kazi zao right?πHaha,
Hoja ipi hapa bro?
Au unapenda tu kujaza server bila sababu ya msingi?
Ili kuokoa muda, niwaombe mods waunganishe huu uzi na ule wa..
Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...www.jamiiforums.com
Huyo anayewalipa naye atakua hajielewi.πππππ
Kiekweli umenifanay nicheke sana, mimi naona humu mnakula pesa za bure, hivi kweli mtu ambaye anaingia Jamiiforums anaweza kweli kuamini hiz cheap propaganda zenu.? Kwanini msiwe mnaenda Facebook huko ambako kuna wadada wa kazi na wengineo ambao wanaamini ukichagua upinzani basi vita vitatokea
ni kwakua anapigwa chini ubunge singida, anapigwa chini nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema,Unazani kwanini Mh.Prezda aliwashauri wamwite yule SIMBA DUME jina la Tundu Lissu?
Ingali kulikuwa na wanyama wengine?
Akachagua simba.
so,
umevunjika moyo sana Dr.Samia Suluhu Hassan kupeleke huduma za kijamii kama maji, umeme, kilimo, afya, elimu, biashara, ulinzi, usalama n.k mpaka kule chini kwa common mwananchi,
na kwamba hakuna hoja tena kwamba mambo yote yamefanywa na huyu kipenzi cha waTanzania wote Rais Dr Samia Suluhu Hassan, right?π
nadhani,Huwezi kushinda kwa hicho chama kimeshajidhalilisha vyakutosha na sasa hivi wanakuwa hawajiamini wapo wapo. Tu na wanatukana tukana kwa sasa wananchi wamejichokea wapo wapo tu na tshirts zao za kijani
Kwa ujinga wa kusifia jimama ulionao hata D hukupataIkitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.
Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.
Soma Pia:
Hata hiyo,
- Barua ya wazi kwa ndugu Tundu Antipas Lissu! Kumsihi aachane na nia yake ya kugombea urais 2025-2030
- Kuelekea 2025 - Lissu athibitisha kuandika barua ya kugombea Urais, asema CCM wameweka fedha katika Akaunti yake, tatizo liko wapi?
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.
Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.
Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote π
Unaonyesha utoto tu katika hii mada, hujui kitu na kamwe hutajua wala kuelewa. Unakaza fuvu kwa jambo usilolielewa wala lisilokuhusu ni aina ya ukichaa.nadhani,
nimetekeleza wajibu wangu vyema kuwaandaa kisaikolojia baada ya huyo muungwana kupigwa chini ubunge na kupigwa chini kugombea urasi kupitia Chadema...
sasa hivi mtakua mnaenda kumtembelea ndugu yake huko mbugani ili kukuza utalii wa ndani π
Siwezi kupanic kwa hizi ngonjera zako ila nakucheka kwa dharaaaau kwa huu utoto unaofanya. Ni mpumbavu tu anayeweza kuuamini.mtu mzima umepanic dah π€£
unyesha utu uzima wako sasa kwa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mezani,Siwezi kupanic kwa hizi ngonjera zako ila nakucheka kwa dharaaaau kwa huu utoto unaofanya. Ni mpumbavu tu anayeweza kuuamini.
Haha,unatafuta ban kinguvu, unakebehi kazi za watu au unawafundisha watu kazi zao right?π