Pre GE2025 Kwa aina ya Siasa anazofanya Tundu Lissu, hata akigombea Ubunge hapati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Si ndio vizuri ili mumshinde kirahisi? Hata hivyo kwa uchaguzi gani ulioko hapa Tanzania, au haya maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
 
watu singida wamemkataa kwaajili ya tabia mbaya sana ya kuomba omba,

chadema nao wananenda kumtosa kugombea urais kwa fedheha sana...

angalau myama moja apewe jina lake kukuza utalii wa ndani kwasababu kisiasa hatakuwapo tena kwenye medani
Siyo kweli, unajua kwa nini Diamond anajiita Simba? Kama hauna D mbili huwezi kuelewa
 
Si ndio vizuri ili mumshinde kirahisi? Hata hivyo kwa uchaguzi gani ulioko hapa Tanzania, au haya maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
vyovyote itakavyokua uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa katiba, na serikali itaundwa bila mbamamba ya mtu yoyote...

na wakati huo,
watu wa singida wamesha mkataa omba omba wao na chadema wametosa mdekaji kuu na mlalamishi huyo na kibaraka wa mabenyenye ya magharibi
 
Pale Lumumba hii kazi wenye akili wote hawaitaki, wanapambania kufanya uchawa kwa staili advanced kidogo.


Basi hii kazi wanaachiwa mleta mada na kina Luca. Hata hivyo malipo ni madogo nani anataka?
kwahivyo ndugu muerevu umekuja na mihemko na habari ya malipo, kwani huna kazi au ajira?

mbona aridhi ya kilimo na mazingira ya biashara na ni fursa nzuri sana ya kujipatia kipato?
 
Haya ndio matamanio ya kila jizi la ccm. Kwa taarifa yako atashiriki huo uchaguzi wa kishenzi, na muandae hela za kuhonga mazombie, na kuiba kura za hao wapiga kura wachache watakaojitokeza. Hao wazee mnaosema watamshauri, waambie hii sio dunia ya wazee, hao wazee wakawashauri nyie majizi ya kura muache.
 
Kwa hiyo ni kipi kinacho kuhangaisha akili hapa kama siyo hofu iliyo tanda huko!
Sijasoma takataka ulizo weka huko, nimesoma kichwa cha habari tu basi.
 
Ila anaweza kukushangaza pia ukabaki na butwa
 
Kwenye rangi nyekundu........ 🙂
 
Ndoto ya mchana, Mama Samia mwenyewe anamkubali haachi kumtajataja kila mara. Hayo huyajui?
 
Ndoto ya mchana, Mama Samia mwenyewe anamkubali haachi kumtajataja kila mara. Hayo huyajui?
ndoto ya usiku itakua siku ya uteuzi wa chadema kwa nafasi mgombea urais wake,

Lisu atakatwa mapema sana na kamatu kuu
 
Ingekuwa fursa kihivyo ungekuwa uko busy hapa na uchawa?
kazi ya mang"ombe inasonga vizuri sana na hii ya kulima tumemaliza majuzi kuvuna sasa hiv ni kazi ya wananchi tunafanya kama hivi kuwafungua fikra
 
acha mihemko na kuwadhihaki wananchi gentleman, jitahid kua mstaarabu kidogo na kuheshimu mawazo ya wazee kwa kijana wao
 
Kwa hiyo ni kipi kinacho kuhangaisha akili hapa kama siyo hofu iliyo tanda huko!
Sijasoma takataka ulizo weka huko, nimesoma kichwa cha habari tu basi.
kwan umelazimishwa gentleman ebooh

sasa unakuja kumbwelambwela na kubabaika nini na huelewe kitu mahususi ndani ya mjadala, umeanza umbea sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…