Pre GE2025 Kwa aina ya Siasa anazofanya Tundu Lissu, hata akigombea Ubunge hapati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.

Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.

Soma Pia:
Hata hiyo,
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.

Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.

Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒

Si ndio vizuri ili mumshinde kirahisi? Hata hivyo kwa uchaguzi gani ulioko hapa Tanzania, au haya maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
 
watu singida wamemkataa kwaajili ya tabia mbaya sana ya kuomba omba,

chadema nao wananenda kumtosa kugombea urais kwa fedheha sana...

angalau myama moja apewe jina lake kukuza utalii wa ndani kwasababu kisiasa hatakuwapo tena kwenye medani:pedroP:
Siyo kweli, unajua kwa nini Diamond anajiita Simba? Kama hauna D mbili huwezi kuelewa
 
Si ndio vizuri ili mumshinde kirahisi? Hata hivyo kwa uchaguzi gani ulioko hapa Tanzania, au haya maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
vyovyote itakavyokua uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa katiba, na serikali itaundwa bila mbamamba ya mtu yoyote...

na wakati huo,
watu wa singida wamesha mkataa omba omba wao na chadema wametosa mdekaji kuu na mlalamishi huyo na kibaraka wa mabenyenye ya magharibi:pedroP:
 
Pale Lumumba hii kazi wenye akili wote hawaitaki, wanapambania kufanya uchawa kwa staili advanced kidogo.

Basi hii kazi wanaachiwa mleta mada na kina Luca. Hata hivyo malipo ni madogo nani anataka?
kwahivyo ndugu muerevu umekuja na mihemko na habari ya malipo, kwani huna kazi au ajira?

mbona aridhi ya kilimo na mazingira ya biashara na ni fursa nzuri sana ya kujipatia kipato?:pedroP:
 
vyovyote itakavyokua uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa katiba, na serikali itaundwa bila mbamamba ya mtu yoyote...

na wakati huo,
watu wa singida wamesha mkataa omba omba wao na chadema wametosa mdekaji kuu na mlalamishi huyo na kibaraka wa mabenyenye ya magharibi:pedroP:
Haya ndio matamanio ya kila jizi la ccm. Kwa taarifa yako atashiriki huo uchaguzi wa kishenzi, na muandae hela za kuhonga mazombie, na kuiba kura za hao wapiga kura wachache watakaojitokeza. Hao wazee mnaosema watamshauri, waambie hii sio dunia ya wazee, hao wazee wakawashauri nyie majizi ya kura muache.
 
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.

Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.

Soma Pia:
Hata hiyo,
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.

Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.

Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒
Kwa hiyo ni kipi kinacho kuhangaisha akili hapa kama siyo hofu iliyo tanda huko!
Sijasoma takataka ulizo weka huko, nimesoma kichwa cha habari tu basi.
 
nadhani,
nimetekeleza wajibu wangu vyema kuwaandaa kisaikolojia baada ya huyo muungwana kupigwa chini ubunge na kupigwa chini kugombea urasi kupitia Chadema...

sasa hivi mtakua mnaenda kumtembelea ndugu yake huko mbugani ili kukuza utalii wa ndani 🐒
Ila anaweza kukushangaza pia ukabaki na butwa
 
Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia inayoongozwa kwa misingi ya utawala wa sheria na katiba... Sasa mbona unamsema Lissu?

huifuatia maelekezo ya mtu wala watu eti Demokrasia yafaa iwe hivi au vile, ati uchaguzi uwe hivi wala vile. huo ni ushirikina.
Tanzania inatumia katiba kujiongoza.
hakuna huruma wala upendeleo kwenye hilo...

habari ya eti sijui kungekua na nini na nini hizo ni ramli na imani potofu...

ni wakati muafaka sasa wananchi wote kujiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa November 27, 2024 na uchaguzi mkuu 2025...

ukisusa, ukizira, ukigoma kwasabb zako binafsi hiyo ni haki yako pia wengine tutasonga mbele 🐒
Kwenye rangi nyekundu........ 🙂
 
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.

Siasa zake za kulalamika, kuomba omba kuchangiwa, kuonewa huruma, imotional stori telling with hopeless and empty promises zimewafanya wanachama wa chama chake wengi kubadilisha uelekeo na uamuzi na kuamua kumuunga mkono kiongozi na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Aina hiyo ya siasa yamewafedhehesha na kuwavunja moyo sana watu wachapakazi wa Singida kwa sababu wao hawana tabia ya kuomba omba, na kwahivyo hawamuamini na wala hawataki kubeba aibu zaidi hiyo aliyowapa inatosha.

Soma Pia:
Hata hiyo,
Tundu Lisu hana sera mahususi tena, hana uelekeo kabisa, kapoteza credibility completely kwa Umma nadhani hata yeye amegundua hilo ndio maana sasa anajarbu tu kupambana kudhibiti kila hoja anayoibua Mwenyekiti wake ili yeye ndio awe relevant zaidi mitandoni.

Kwakweli anaelekea kukata tamaa kabisaa.

Actually,
Mwenyekiti wake anampendelea zaidi Dr.Slaa kua mgombea Urasi wa CHADEMA zaidi ya mtu mwingine yeyote 🐒
Ndoto ya mchana, Mama Samia mwenyewe anamkubali haachi kumtajataja kila mara. Hayo huyajui?
 
ndoto ya usiku itakua siku ya uteuzi wa chadema kwa nafasi mgombea urais wake,

Lisu atakatwa mapema sana na kamatu kuu:pedroP:
 
Ingekuwa fursa kihivyo ungekuwa uko busy hapa na uchawa?
kazi ya mang"ombe inasonga vizuri sana na hii ya kulima tumemaliza majuzi kuvuna sasa hiv ni kazi ya wananchi tunafanya kama hivi kuwafungua fikra:pedroP:
 
Haya ndio matamanio ya kila jizi la ccm. Kwa taarifa yako atashiriki huo uchaguzi wa kishenzi, na muandae hela za kuhonga mazombie, na kuiba kura za hao wapiga kura wachache watakaojitokeza. Hao wazee mnaosema watamshauri, waambie hii sio dunia ya wazee, hao wazee wakawashauri nyie majizi ya kura muache.
acha mihemko na kuwadhihaki wananchi gentleman, jitahid kua mstaarabu kidogo na kuheshimu mawazo ya wazee kwa kijana wao:pedroP:
 
Kwa hiyo ni kipi kinacho kuhangaisha akili hapa kama siyo hofu iliyo tanda huko!
Sijasoma takataka ulizo weka huko, nimesoma kichwa cha habari tu basi.
kwan umelazimishwa gentleman ebooh:pedroP:

sasa unakuja kumbwelambwela na kubabaika nini na huelewe kitu mahususi ndani ya mjadala, umeanza umbea sio:pedroP:
 
Back
Top Bottom