Uchaguzi 2020 Kwa aina ya utoaji hoja wa Magufuli, atapata shida sana kwenye kampeni akipambana na mtu dizaini ya Tundu Lissu au Bernard Membe

Unfortunately ni rahisi sana kujenga hoja na kuzitetea kama una facts kuliko kujenga hoja wakati huna facts bali unashambulia tu.
 

Nyie madada ndio mnalalwa bure kwa sababu ya kupenda waongeaji

Tangia lini Tanzania hii people do care wanaoongea?

Lisu anayeongea matusi?
 
Yaah kabisa ingepaswa mdahalo kufanyika 2015.

Nna imani kabisa midahalo ni njia nzuri sana ya kumsoma kiongozi, sijui kwanini Tanzania huwa haifanyiki hii kitu
[emoji769]Uwezo haupimwi Kwa kuongea[emoji769]
Kama uwezo ungekuwa unapimwa kwa kuongea wanaosoma masomo ya Sanaa wangekuwa ndio wanafunzi best katika mashindandano ya ufaulu. Wanaojua kuongea hawana ufanisi katika vitendo na wasiojua kuongea wana ufanisi mzuri katika vitendo
 
We ukishaona mwanasiasa bubu?

Maana yake ni kwamba, siasa inahitaji muongeaji na mtoa hoja mzuri.
 
Nyie madada ndio mnalalwa bure kwa sababu ya kupenda waongeaji

Tangia lini Tanzania hii people do care wanaoongea?

Lisu anayeongea matusi?
Kuwa mpole kijana, huu mchezo hauhitaji hasira.

Wacha kampeni zianze ndo utajua umuhimu wa kupiga domo kwenye kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…