Uchaguzi 2020 Kwa aina ya utoaji hoja wa Magufuli, atapata shida sana kwenye kampeni akipambana na mtu dizaini ya Tundu Lissu au Bernard Membe

Tulisumbuka kumjua Magufuli 2015, lakini leo hii tunajua tutapata nini kama akichaguliwa. Watanzania wanataka matokeo na sio maneno au ulevi. Muda wa kumtafakari umepita.

1. Umemjua Magufuli kwa lipi hasa na kivipi?

2. Atakupa nini hasa ambacho huna tangu enzi za Kikwete 2015 mpaka leo?

3. Ameongeza nini katika nchi hii anbacho hakikuwepo mwaka 2015 kurudi nyuma?

4. Kwangu mimi na wengine mamilioni, Magufuli is a disaster. He has brought more harm than good. Tanzania ya 2015 ni ileile, hakuna ajabu lolote....

5. Tangu mwaka 2015 tuna mambo mambo mapya mengi hasi (negative) yaliyoletwa/sababishwa na utawala wa Magufuli; mauaji, kutekwa binadamu na kupotezwa, watu kupigwa risasi hadharani mchana kweupe na hakuna uchunguzi kufanyika, hali za maisha ya watu kiuchumi kuporomoka kuliko kawaida, kuvunjwa kwa sheria na katiba waziwazi na watawala....

6. Kwa mara ya kwanza tangu Uhuru Tanzania imeongozwa na Rais mwoga, asiyependa kukosolewa na ukijaribu unatekwa, kupotezwa ama kuuwawa kabisa....

7. Kwa mara ya kwanza tangu uhuru, Tanzania imeongozwa na Rais "selfish", "egomanic" and "tyrant ". Watu wenye sifa hizi hawawezi kufanya jambo zuri....
 
JPM hana sababu ya kupiga campaign aliyoyoyafanya yanaonekana. Hata mataifa yanayompinga yanafahamu hilo kwamba yeye ni tishio kwa maendeleo yao kwa sababu shamba la bibi moja litakosekana.
 
Kuna ukweli ambao tutaupinga kwa sababu siasa inatuamrisha tufanye hivyo, upinzani unataka uzungumze yale ambayo hayajafanywa.

Lakini hakuna sehemu yeyote ya nchi ya Tanzania ambayo haijaona mkono wa Magufuli kwa hiki ama kile na maeneo mengi yameona karibu vitu vyote kwa pamoja.

Kila binadamu anafikiri kivyake na ana haki ya kusema kile ambacho anafikiri ni muhimu kuliko vingine. Ila kwa maendeleo ya pamoja yanayo wagusa wengi na kwa muda mfupi kwa Mkoa wa Kilimanjaro ni hii mara ya kwanza.

Siwezi kusemea mchango wa Rais Magufuli mikoa mikoa mingine ambayo sikupa bahati kuitembelea kwa hii miaka mitano.

This is blasphemy. Acha kukufuru ndugu usijivunie laana isiyo lazima kwako na watoto na kizazi chako.....!!

Acha uongo tafadhali. Acha kumtukuza Mtu asiye na uwezo hata kidogo tu wa kujiongezea japo inchi moja ya urefu wake mwenyewe....!!

Siujui wala sijawahi kuuona mkono wa Magufuli tulipo sisi...!!

Ninaishi Shinyanga Mkubwa. Niambie mkono wa Magufuli uko wapi na umenifanyia nini mimi na Shinyanga yetu zaidi ya maneno hewa tu....???

Huku Shinyanga ya 2015 iliyoachwa na Kikwete ni ileile na ndiyo hii ya Magufuli 2020. Nothing has changed....!

Huku tunaouona ni mkono wa Mungu Yehova peke yake. Hutuishi, kula ama kuvaa kwa HISANI ama MKONO wa mtu hasa huyu "Yesu fake" anayeabudiwa na wana CCM. Huku tunaishi, kula, kuvaa na kupumua kwa sababu Mungu amependa iwe hivyo na kamwe siyo mtu....

UTUKUFU, HESHIMA na SHUKRANI ni kwa Mungu Yehova wetu aliye hai, kamwe siyo mtu aitwaye "Magufuli".....

Kwa heri
 
JPM ni bidhaa halali sokoni hats hakuna haja ya kuwa na hoja. Nyie tafutilizeni hoja ughaibuni huko
 
This is blasphemy. Acha kukufuru ndugu usijivunie laana isiyo lazima kwako na watoto na kizazi chako.....!!

Acha uongo tafadhali. Acha kumtukuza Mtu asiye na uwezo hata kidogo tu wa kujiongezea japo inchi moja ya urefu wake mwenyewe....!!

Siujui wala sijawahi kuuona mkono wa Magufuli tulipo sisi...!!

Ninaishi Shinyanga Mkubwa. Niambie mkono wa Magufuli uko wapi na umenifanyia nini mimi na Shinyanga yetu zaidi ya maneno hewa tu....???

Huku Shinyanga ya 2015 iliyoachwa na Kikwete ni ileile na ndiyo hii ya Magufuli 2020. Nothing has changed....!

Huku tunaouona ni mkono wa Mungu Yehova peke yake. Hutuishi, kula ama kuvaa kwa HISANI ama MKONO wa mtu hasa huyu "Yesu fake" anayeabudiwa na wana CCM. Huku tunaishi, kula, kuvaa na kupumua kwa sababu Mungu amependa iwe hivyo na kamwe siyo mtu....

UTUKUFU, HESHIMA na SHUKRANI ni kwa Mungu Yehova wetu aliye hai, kamwe siyo mtu aitwaye "Magufuli".....

Kwa heri
We kama hujaona wapo walioona acha ubinafsi. Nenda na hii hoja yako kwa wakazi wa Segese waliopewa na serikali hii mgodi wa Ntambalale wachimbe dhahabu kwa uhuru tofauti na kipindi cha nyuma ambapo maeneo yote ya wachimbaji wadogo potential walikuwa wananyang'anywa na kupewa wawekezaji wakubwa. Watu watakusikiliiza wakikuheshimu watainuka na kukuacha mwenyewe kijiweni ila kinyume na hapo watakuangalia watatema mate chini wataondoka. Kila sehemu kuna kitu kimefanywa kulingana na mahitaji ya hapo kama mahitaji ni taa za kuongozea barabara hawatawawekea fly over
 
Nimemuangalia Rais Magufuli kwenye mikutano mingi sana akihutubia. Niseme tu kuna uhodari fulani anaukosa kwenye kuhutubia ambao ni 'Precision' - usahihi na umakini wa maneno.

Usahihi na umakini ni silaha muhimu sana unapoongea kwenye umati wa watu ambao wanatofautiana utamaduni, imani, na uwezo wa kimaisha.

Ukifuatilia hotuba za Magufuli vizur, utagundua imekuwa ni kawaida kupata utata mwingi sana, ambao mara nyingi unagawa hisia za watu.

Kwa darubini hiyo, endapo Magufuli akipambana na mtu ambaye ni makini kwenye utoaji wa hoja kwenye jukwaa kama Tundu Lissu au Bernard Membe, ni wazi kabisa Magufuli atateseka sana kwenye uwanja wa kampeni.

Maana watatumia hiyo weakness yake kumkaanga kwa kutumia reference ya alichokiongea kwenye jukwaa.

Mfano tu, kwa haiba ya Magufuli, sitashangaa akihutubia kwa Kisukuma akipiga kampeni kanda ya ziwa, kitu ambacho najua kitakuwa kinampunguzia credibility kwa watanzania, kwamba kuna harufu ya ukabila na ukanda ambacho pia hakitasaidia sana CCM maeneo mengine ya nchi.

Mambo kama hayo na mengi mengine, ndio yanaenda kufanya huu uchaguzi wa mwaka huu kuwa wa kipekee sana.

CCM wana dola, lakini wajue tu kwamba Dola haitapanda jukwaani kupiga kampeni.

Ikiwa CCM wakijisahau sana, kampeni zitaenda kuchochea hisia za wananchi kuelekea upande wa upinzani kama ilivotokea mwaka 2010 na 2015 ambapo nguvu ya umma ilisaidia sana upinzani kwenye kupata viti vya ubunge na udiwani.

Hii ina maanisha, itakuwa ni kazi ngumu sana kwa dola kuhakikisha aliyeshindwa kwenye kampeni lazima atawale, maana watakuwa wanashindana na nguvu ya umma ya wananchi, kitu ambacho kitaweka shakani amani ya nchi.

Kwa hili, ndo maana nna imani kabisa, kama upinzani wakifanikiwa vizur kwenye kampeni kuanzia urais hadi udiwani, kitu ambacho kitapelekea kupata kura nyingi za wananchi, mambo yatakuwa ni tofauti sana.

Mshindi lazima tu atatangazwa na ni yule ataeshinda. CCM wakishindwa kwenye kampeni na wakishindwa kushawishi wananchi, wasahau kabisa ushindi wa mezani. Hata Dola itashindwa kuwahakikishia ushindi.

Ndo maana ya ule usemi, mwenye nacho huongezewa. Kama CCM haitakuwa nacho kwenye kampeni, isitegemee kuongezewa au favour. Haitakuwepo
Kwa jinsi ambavyo Magufuli mwenyewe anavyomjua Lissu sidhani kama kampeni za Lissu zitakuwa za kitoto. Kwanza Neema kubwa aliyonayo Lissu ni uwezi mkubwa wa kujenga hoja na kukubalika. Yaani Lissu hata kama unampinga unajikuta unatikisha kichwa cha kukubaliana naye.

Yule jamaa ni very knowlegeable na anaongea vitu simple na kueleweka. Anakipaji cha kukubalika ngoja atue uone. Upepo utabadilika mno.
 
Lisu ni mwanasheria ana uwezo wa kujenga na kupangua hoja. Magufuli hicho kipawa hajajaliwa, na ndo itaanzia hapo.

Lazima ulimi umtoke, kupambana na mtu kama Lissu inahitaji uwe na moyo mgumu sana vinginevyo atakupa hasira kila mara.
 
We kama hujaona wapo walioona acha ubinafsi. Nenda na hii hoja yako kwa wakazi wa Segese waliopewa na serikali hii mgodi wa Ntambalale wachimbe dhahabu kwa uhuru tofauti na kipindi cha nyuma ambapo maeneo yote ya wachimbaji wadogo potential walikuwa wananyang'anywa na kupewa wawekezaji wakubwa. Watu watakusikiliiza wakikuheshimu watainuka na kukuacha mwenyewe kijiweni ila kinyume na hapo watakuangalia watatema mate chini wataondoka. Kila sehemu kuna kitu kimefanywa kulingana na mahitaji ya hapo kama mahitaji ni taa za kuongozea barabara hawatawawekea fly over

Nilijua tu kama ungejibu ungesema hili

Najua pia hata hili la mtu wenu huyu (Magufuli) kupita barabarani akigawa maburungutu ya pesa kwa baadhi ya kama kichaa fulani, ni maendeleo....!!

Nilijua ungesema huo ndio "mkono wa Magufuli kila sehemu"....

Nilijua ungesema kanunua ndege za Bombardier na Dreamliner ama sijui Stiglers Gorge ama sijui Reli ya SGR...

Na nilijua tu kuwa ungesema, kwani Shinyanga reli ya SGR haijengwi? Mkono wa Magufuli....

Nilijua tu ungesema " kawapa wachimbaji madini wadogo wadogo eneo la kuchimba huko sijui wapi..." kana kwamba hiyo ardhi imetengenezwa na Magufuli....!!

SIKILIZA NDUGU;

Wananchi tunataka mipango na Sera za kiuchumi zinazoleta matokeo chanya kwa jamii yote ya Watanzania kwa ujumla na mapana yake na siyo kugawa mapesa barabarani au kugawa kipande cha ardhi kwa kikundi cha watu 10 au 20....!!

Hili ndilo eneo ambalo hawezi na ameshindwa for hard 5 years na kwa hulka yake hawezi kulifanyia kazi kwa sababu siyo MTU SAHIHI kwa kazi hii ya kuongoza nchi hii...!!

Mimi najua. Wewe unajua. Wenzio huko CCM na Magufuli Praise Team yote inaujua ukweli huu juu ya uwezo wa mtu wenu na ndiyo maana mnatetea na kufunika madhaifu yake kwa jasho na damu usiku na mchana....

Kama huyu mtu wenu angekuwa na mkono wake kila sehemu ya nchi hii, msingekuwa mnaua ama kuteka watu kulazimisha watu kuona vitu visivyokuwepo....!!!
 
Nimemuangalia Rais Magufuli kwenye mikutano mingi sana akihutubia. Niseme tu kuna uhodari fulani anaukosa kwenye kuhutubia ambao ni 'Precision' - usahihi na umakini wa maneno.

Usahihi na umakini ni silaha muhimu sana unapoongea kwenye umati wa watu ambao wanatofautiana utamaduni, imani, na uwezo wa kimaisha.

Ukifuatilia hotuba za Magufuli vizur, utagundua imekuwa ni kawaida kupata utata mwingi sana, ambao mara nyingi unagawa hisia za watu.

Kwa darubini hiyo, endapo Magufuli akipambana na mtu ambaye ni makini kwenye utoaji wa hoja kwenye jukwaa kama Tundu Lissu au Bernard Membe, ni wazi kabisa Magufuli atateseka sana kwenye uwanja wa kampeni.

Maana watatumia hiyo weakness yake kumkaanga kwa kutumia reference ya alichokiongea kwenye jukwaa.

Mfano tu, kwa haiba ya Magufuli, sitashangaa akihutubia kwa Kisukuma akipiga kampeni kanda ya ziwa, kitu ambacho najua kitakuwa kinampunguzia credibility kwa watanzania, kwamba kuna harufu ya ukabila na ukanda ambacho pia hakitasaidia sana CCM maeneo mengine ya nchi.

Mambo kama hayo na mengi mengine, ndio yanaenda kufanya huu uchaguzi wa mwaka huu kuwa wa kipekee sana.

CCM wana dola, lakini wajue tu kwamba Dola haitapanda jukwaani kupiga kampeni.

Ikiwa CCM wakijisahau sana, kampeni zitaenda kuchochea hisia za wananchi kuelekea upande wa upinzani kama ilivotokea mwaka 2010 na 2015 ambapo nguvu ya umma ilisaidia sana upinzani kwenye kupata viti vya ubunge na udiwani.

Hii ina maanisha, itakuwa ni kazi ngumu sana kwa dola kuhakikisha aliyeshindwa kwenye kampeni lazima atawale, maana watakuwa wanashindana na nguvu ya umma ya wananchi, kitu ambacho kitaweka shakani amani ya nchi.

Kwa hili, ndo maana nna imani kabisa, kama upinzani wakifanikiwa vizur kwenye kampeni kuanzia urais hadi udiwani, kitu ambacho kitapelekea kupata kura nyingi za wananchi, mambo yatakuwa ni tofauti sana.

Mshindi lazima tu atatangazwa na ni yule ataeshinda. CCM wakishindwa kwenye kampeni na wakishindwa kushawishi wananchi, wasahau kabisa ushindi wa mezani. Hata Dola itashindwa kuwahakikishia ushindi.

Ndo maana ya ule usemi, mwenye nacho huongezewa. Kama CCM haitakuwa nacho kwenye kampeni, isitegemee kuongezewa au favour. Haitakuwepo
Nguvu ya Maghu,ipo ktk kujua utumishi wa umma unavyofanya kazi,kujua majizi yapo wapi,na yanaibaje,
Lakini sio meneja mzuri wa uchumi,hajuhi diplomasia,ni mkabila sana,msema hovyo,
Haambiliki,much know nyingi,anaitakia nchi mema,lakini kashindwa kupata timu bora,kakosa watu,angepata watu kama Jafo,Lukuvi,Mbalawa,ktk sekta nyeti,tungefika mbali
 
Hoja yangu imejikita kwenye ufundi wa kufanya kampeni. Na ukumbuke kampeni ndo mchezo wenyewe wa siasa.

Wewe unadhani Magufuli amefanya mengi kwa mtizamo wako, ila hayo unayoyaona ni mengi kwenye ulingo wa kampeni, story itakuwa tofauti sana.

Magufuli anatakiwa kuwa imara wa hoja kwenye kampeni, kampeni ni vita vya hoja.

Na ujuzi wa wapinzani kwenye kampeni unaweza kukufanya ukajuta hata kwanini ukiongozwa na Magufuli.

Ufundi wa kampeni
Bado hujatumia kichwa kufikiri vizuri
 
Nilijua tu kama ungejibu ungesema hili

Najua pia hata hili la mtu wenu huyu (Magufuli) kupita barabarani akigawa maburungutu ya pesa kwa baadhi ya kama kichaa fulani, ni maendeleo....!!

Nilijua ungesema huo ndio "mkono wa Magufuli kila sehemu"....

Nilijua ungesema kanunua ndege za Bombardier na Dreamliner ama sijui Stiglers Gorge ama sijui Reli ya SGR...

Na nilijua tu kuwa ungesema, kwani Shinyanga reli ya SGR haijengwi? Mkono wa Magufuli....

Nilijua tu ungesema " kawapa wachimbaji madini wadogo wadogo eneo la kuchimba huko sijui wapi..." kana kwamba hiyo ardhi imetengenezwa na Magufuli....!!

SIKILIZA NDUGU;

Wananchi tunataka mipango na Sera za kiuchumi zinazoleta matokeo chanya kwa jamii yote ya Watanzania kwa ujumla na mapana yake na siyo kugawa mapesa barabarani au kugawa kipande cha ardhi kwa kikundi cha watu 10 au 20....!!

Hili ndilo eneo ambalo hawezi na ameshindwa for hard 5 years na kwa hulka yake hawezi kulifanyia kazi kwa sababu siyo MTU SAHIHI kwa kazi hii ya kuongoza nchi hii...!!

Mimi najua. Wewe unajua. Wenzio huko CCM na Magufuli Praise Team yote inaujua ukweli huu juu ya uwezo wa mtu wenu na ndiyo maana mnatetea na kufunika madhaifu yake kwa jasho na damu usiku na mchana....

Kama huyu mtu wenu angekuwa na mkono wake kila sehemu ya nchi hii, msingekuwa mnaua ama kuteka watu kulazimisha watu kuona vitu visivyokuwepo....!!!
Unajichanganya kwa hoja zako mwenyewe na una prove una chuki tu na jamaa. Vitu vyote ulivyo viorodhesha hapo vinawanufaisha makumi kwa maelfu ya watu. Nimekutolea mfano mdogo tu wa eneo la Segese ambako tayari watu kibao wananufaika na sera zake nzuri za rasrimali, kusema pameajiri watu 10 na kuwa ilikuwa haki yao wapewe unakuwa umejivika kwa maksudi upofu wa historia ilivo watreat wazawa kama wakimbizi linapokuja suala la kufaidi rasrimali hasa madini.
SGR na Stiegler's we mwenyewe hata kama utajivika uelewa wa mtoto mchanga utagundua hii miradi haiajili au kunufaisha watu 10 au 20. Ni juzi tu Yepi Merkazi wametangaza ajira zaidi ya 1000 halafu we hater uko hapa kukashfu na kubeza kuwa miradi husika haina faida yoyote. Usipoona na kuthamini kinachofanywa huenda hautokaa uone chochote vizuri coz unaendeshwa na chuki, roho mbaya na upofu akilini. Sitaki kukuhusisha na chama chochote maana kwa akili yako hamna chama kitakubaliana na mwanachama mwenye akili za hivi. Endeleeni kujivika upofu ila mwisho wa siku ukweli utajulikana tu
 
Huwa nashindwa kuelewa ninapoambiwa miradi mikubwa haiboreshi Maisha ya Watu na haiwagusi watu.
Kwamba unapojenga barabara ya lami Mbinga mpaka Nyasa hauboreshi maisha ya watu na hilo sio hitaji la Watu?
Unapofanya mradi ambao utahikikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika na ziada kwamba hilo sio la muhimu?
Sasa la muhimu litakua lipi? Kugawana fedha zinazokusanywa na kuruhusu mianya ya rushwa?
Naamini watu waliokua wanatembea kwenye Barabara ya mashimo wakawekewa lami watampigia Magufuli Kura hata ikiwa hataongea wala kwenda kupiga kampeni.
 
1. Umemjua Magufuli kwa lipi hasa na kivipi?

2. Atakupa nini hasa ambacho huna tangu enzi za Kikwete 2015 mpaka leo?

3. Ameongeza nini katika nchi hii anbacho hakikuwepo mwaka 2015 kurudi nyuma?

4. Kwangu mimi na wengine mamilioni, Magufuli is a disaster. He has brought more harm than good. Tanzania ya 2015 ni ileile, hakuna ajabu lolote....

5. Tangu mwaka 2015 tuna mambo mambo mapya mengi hasi (negative) yaliyoletwa/sababishwa na utawala wa Magufuli; mauaji, kutekwa binadamu na kupotezwa, watu kupigwa risasi hadharani mchana kweupe na hakuna uchunguzi kufanyika, hali za maisha ya watu kiuchumi kuporomoka kuliko kawaida, kuvunjwa kwa sheria na katiba waziwazi na watawala....

6. Kwa mara ya kwanza tangu Uhuru Tanzania imeongozwa na Rais mwoga, asiyependa kukosolewa na ukijaribu unatekwa, kupotezwa ama kuuwawa kabisa....

7. Kwa mara ya kwanza tangu uhuru, Tanzania imeongozwa na Rais "selfish", "egomanic" and "tyrant ". Watu wenye sifa hizi hawawezi kufanya jambo zuri....
Mkuu Watanzania kama wewe mnapoteza muda kujenga hoja ambazo hazina mashiko, Una wadanganya watu kuwa mkazi wa Shinyanga na hauja ona chochote Shinyanga.

Sitaki kubishana na wewe kwa kuwa sijui hali yako ya afaya yawezekana ni KIPOFU au MLEMAVU ASIO ONA. Nimepita shinyanga mara mbili kabla ya Magufuli na baada ya yeye Kushika madaraka . Shinyanga mjini naamini hata mitaa ya lami mliiona lini na sasa mji wa Shinya una lami.

Sitaki kuongelea mengi kama mabadiliko ya shule , kwa mfano Sekondari ya Shybush. Na mengi ambayo watu wa Shinyanga wanayazungumza.

Punguza chuki kama hukuona ambayo Magufuli amefanya basi itakuwa taabu kiongozi yeyote ajae kujua mchngo wake.

Yawezekana hata riport ya Benki ya Dunia ya kukua kwa uchumi wa Tanzania kwako inawezekana unaona Rais wa Benki ya Dunia una muona ni muongo.
Badilika usipo fanya hivyo matokeo ya wazi ya mabadiliko yatakubadilisha.
 
Kwani kuna kitu Magufuli anahitaji kuwaleza watanzania wasio kijua au kukielewa? Magufuli ahitaji kujieleza chochote kwa mtanzania ...matendo na mambo yake yanaonekana wazi!
Ruttashobolwa, pamoja na mtizamo wako kujulikana, wewe ni mtu mwelewa.
Mafanikio ya JPM yanayoonekana wazi hayana uwezo wa kumpa ushindi.
Nakubali kuwa yapo yanayoonekana: SGR, Nyerere Hydropower dam, Ndege Mpya, Flyovers na Ubungo Interchange, Masoko, Stendi za Mabasi, nk nk.
Rutta, yote hayo hapo juu, yanasaidiaje kupata kura za Liwale?
Kura za ushindi, kwa zaidi ya asilimia 60, zipo maeneo kama Liwale na kwingineko ambako hayo mafanikio hayana mguso.
Lakini pia usisahau, sisi binadamu tunahukumiana kwa mapungufu, kuliko mafanikio, siku zote.
Kigoma ukiwaeleza kuwa Reli ya Kati inatoka Dar mpaka Mwanza, hawakuelewi.
Unaposema unajenga reli kwa hela zao, kisha Reli ya Kati ikapinda njia kuelekea Mwanza, watakuambia unaleta Ukabila, ambao Baba wa Taifa alifanya kazi kubwa kuufuta.
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Chato je?
Mbuga ya Wanyama ya Rubondo na Msitu Mkubwa wa pili kwa ukubwa Chato vinaweza kueleweka, lakini Chato International Airport?
Ukisema umeme umevifikia Vijiji kwa asilimia 75, inawezekana ikawa kweli.
Tatizo linakuja pale ambapo katika Vijiji hivyo, waliopata umeme ni chini ya asilimia kumi kwa kila kijiji.
Tafsiri hapa ni kwamba, Watanzania waliopata umeme ni asilimia 10 ya asilimia 75, sawa na ASILIMIA 7.5 tu.
Umeme kuwafikia Watanzania asilimia 7.5 inatosha kumpa ushindi mhusika?
Wote tunajua kuwa Uchaguzi ni mgumu, ndiyo sababu Tume ya Uchaguzi na Jeshi la Polisi ni nyezo za kuukandamiza Upinzani ili CCM iendelee kutangazwa Mshindi, hata pale inaposhindwa dhahiri, na mifano ni mingi.
 
Watanzania tunakazi kubwa, wenye kupofuka macho bado wapo na hawawezi kutofautisha jana na leo. TUTAELEWANA TUU ,MAENDELEO YA KUACHA ALAMA.
 
Kwa sisi wakazi wa Ubungo maji kufuata morogoro road mpaka picha ya ndege kibaha. Magufuri asitegemee kura, hatumpi. Alituambia ameamua kutuvunjia nyumba na makazi yetu na kuharibu biashara zetu sababu hatukumpigia kura. Manina hatumpi kura hata kwa uchawi.
 
Back
Top Bottom